Sidhani kama Karume mwenyewe angefurahi kwa Ndugu zake wa Bara wangekuwa wanachapwa Mijeledi kwa sababu tu ya kula chakula na kushushia Balimi kadha za baridiHakuna kitu icho, Muungango ulitokana na Janjajanja ya Nyerere, Kwa kifupi alim blackmail Mzee Karume
Sidhani kama Karume mwenyewe angefurahi kwa Ndugu zake wa Bara wangekuwa wanachapwa Mijeledi kwa sababu tu ya kula chakula na kushushia Balimi kadha za baridi
Nina imani angekuwepo leo angeshabadilisha Mtizamo waangalie akina Fatuma Karume wamekuwa ni English Family Mini skirts na Whiskey kwenda mbele.Mkuu Karume ndio alitoa decree ya kukamatwa anaekula hadharani ambayo ndio inayotumika mpaka sasa.
Nina imani angekuwepo leo angeshabadilisha Mtizamo waangalie akina Fatuma Karume wamekuwa ni English Family Mini skirts na Whiskey kwenda mbele.
Fatuma Karume msomi yule unasema ni punguani?Mwanawe Amani Karume alikuwepo na hakuiondoa. Fatma Karume amepunga akili hayupo sawa yule
Fatuma Karume msomi yule unasema ni punguani?
Wakati Mababu zetu wanasombwa na Mwarabu kupelekwa Zanzibar Utumwani hawakuwa Waisilamu msifosi Dini ya kuja na Majahazi.
Zanzibar iko Afrika Dini isitumike kumkandamiza Mwafrika Dini iwe jambo la hiyariMkuu Islamic ipo Zanzibar for more than 1000 years. Punguza mihemko mkuu, hao mababu zenu waliposombwa wakapelekwa kule waliukuta.
Zanzibar iko Afrika Dini isitumike kumkandamiza Mwafrika Dini iwe jambo la hiyari
Unataka mgeni aharibu tamaduni ya wenyeji?. Hivi wewe utakubali mgeni wako atowe amri ya muda wa kula na kulala ndani ya nyumba yako?.Dini ya kobazi ni ya kijima sana! Mtu akila mbele yako wewe inakuathiri nini kama si kujiendekeza?
Hao wazungu wasipokuja kutalii thamani ya Zanzibar itakua nini? Ile minyoo mnayosoma imewaharibu sana akili!
Kweni hao wanaopigwa Mijeredi hukuwaona?kwani kuna alielazimishwa?
Kweni hao wanaopigwa Mijeredi hukuwaona?
Sidhani kama Karume mwenyewe angefurahi kwa Ndugu zake wa Bara wangekuwa wanachapwa Mijeledi kwa sababu tu ya kula chakula na kushushia Balimi kadha za baridi
Pole sana, chuki ni ugonjwa mbaya sanaMwarabu+Uislamu= USHENZI...
Mjinga hachukiwi Mjinga anaelimishwa.Pole sana, chuki ni ugonjwa mbaya sana
Au wewe na mwenzio ndio wa kuelimishwa!Mjinga hachukiwi Mjinga anaelimishwa.
Elimu ya Toilet?Au wewe na mwenzio ndio wa kuelimishwa!
Nani kalazimshwa afunge? Na hilo limetokea wapi? Lini?Atataka kulazimisha afunge kwa sababu tu yeye kafunga! Huu ndio upumbavu na ujinga kabisa!