imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Sidhani kama Karume mwenyewe angefurahi kwa Ndugu zake wa Bara wangekuwa wanachapwa Mijeledi kwa sababu tu ya kula chakula na kushushia Balimi kadha za baridiHakuna kitu icho, Muungango ulitokana na Janjajanja ya Nyerere, Kwa kifupi alim blackmail Mzee Karume