THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
- Thread starter
-
- #21
Nani hafahmu kuwa wabara mmekuwa mnakimbilia fursa kama hizo Zanzibar?Wawe imara na utamaduni wa kubeba Mabinti wa kizungu wakiwa na 'bikini' pale forodhani (makachu kachu)
We jamaa kuna mawili inaonekana huna akiliNani kakatazwa kusherehekea pasaka,kwani pasaka Zanzibar zimeanza Leo?why tusiskie hayo Karne na Karne tuje tusikie Leo, Zanzibar imeshikilia msimamo wake na haitorudi nyuma,kama hutaki bakia kwenu.
Wwewe unachekesha sana yaani wewe ulokuja ndio mpemba akufate hii unavyotaka haipo popote duniani mgeni ndio aheshimu Mila za wewenyeji.nenda huko ulaya upeleke huo uafrika wako uone kama utakubaliwaHakuna kinachoitwa mila za Zanzibar sahihi sema hiyo ardhi inakaliwa na watu makabila mbalimbali wenye mila zao wanaopaswa kuheshimiana huwezi leo 21 century kuwataka watu waishi maisha ya kijima eti wafate mila za kipemba au sijui kiarabu,kwani hii jamii ina nini hasa kizuri cha kuigwa hata ilazimishe wengine kuifuata?
Kinachotakiwa hapo waambieni hao wapemba na wao waheshimu tamaduni za watu hiyo tamaduni yao siyo tamaduni smart kiasi kila mmoja alazimike kuifuata.
Lengo lenu la kutaka kuifanya Zanzibar iwe kitivo Cha uovu haitafanikiwa.Kinchi kisicho na chochote hiki kinachowategemea wageni (watalii) ndiyo unachotaka kiwagomee wageni??
Mashoga na mateja waliotapakaa kila kaya huko Zanzibar, ni shemu ya Mila na tamaduni? Mbona hatuawahi kuwasikia mkiendesha kampeni ya kuwachapa viboko mateja na mashoga?
Kilichofanyika Zanzibar ni ushenzi unaoweza kuzalisha magaidi wa kidini. Kwani wewe kama umefunga, anakukwaza nn ambaye anakula? Tanzania bara Kuna waislam wengi sana lkn hakuna ushetani huo. Acha mawazo ya kijinga kama haya.
Bora wakatae kabisa, kwanza ukipata dharura na ukatakiwa kujifungua kwa upasuaji na ukakosa 150k basi upo hatarini kupoteza uhai wa Mama na Mtoto kama ilivyotokea mara 2 miezi kadhaa nyuma kanda ya ziwa na Tanga .Kuna hii mila ya wanawake wa visiwani kukataa kujifungulia watoto kule bara.
Kamanda wa polisi aliyejirekidi akifirwa na kuiweka clip mtandaoni ni kielelezo tosha kuwa ushoga umesambaa sana Zanzibar.Lengo lenu la kutaka kuifanya Zanzibar iwe kitivo Cha uovu haitanikiwa.
TAMADUNI za Zanzibar na wazanzibar tokea miaka na miaka zinafahamika.
Hata Rate za maambuki ya HIV na magonjwa ya zinaa Kwa wanzibar ni almost zero,mnachotaka ni kuona Zanzibar inaingia kwenye hizo laana unazozisema,hamtafanikiwa.
Kama unakwazika na TAMADUNI za Zanzibar,bakia kwenu bara.
Utamaduni wa kizanzibari ndio upi ?Friends and Our Enemies,
Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar...
Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakilisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar.
Watu wengi wakitaka kujitambulisha Kwa wageni WASIO ifaham Tanzania basi utawaskia wakisema huko kuwaambia wageni kuwa Mimi ninatokea Tanzania ile Nchi ya Mlima Kilimanjaro na visiwa vya marashi ya Zanzibar...
Asitokee MTU kuwatisha na kuwadhihaki eti kisa tuh nyinyi mmeamua Kwa dhati na uzalendo kabisa kusimamia MILA na TAMADUNI ZENU.
Tokea zama na enzi Zanzibar imekuwa na utaratibu wa kuheshimu Imani za wananchi wake na za wageni mbalimbali wanaoingia ndani ya visiwa hivyo.
Wageni wanapokaribishwa Zanzibar siku zote hupewa sheria na taratibu za kuishi na wenyeji wa visiwa hivyo na bila kinyongo wageni hao wamekuwa wakizikubali na kuziheshimu, kiasi Cha kufikia kuishi na Kisha kutamani kurudi Tena na Tena ndani ya visiwa hivyo.
Wanaokwazika na TAMADUNI za Zanzibar kiasi Cha kufikia kuona kama ni kero kwao au wanatengwa basi siyo lazima Kwa wao kwenda,wabakie makwao ambako wao wanaona Wana uhuru wa kujiamulia kuishi Kwa namna wapendavyo wao.
ZANZIBAR, endelea kusimama IMARA pasipo na kutetereka.
Zanzibar, mmenikumbusha msimamo imara wa Qatar, ambapo walipoandaa world cup finals na kuwakatalia wazungu kuwa wao hawakubali kuruhusu kampeni za LGBTQ katika finals hizo Kwa namna yoyote Ile.
Japo, wazungu walinuna wengine kutishia kutoshiriki lakini Qatar walisimamia msimamo wao na mashindano yaliendelea Kwa mafanikio makubwa yasiyo na kifani.
Hongera sana Zanzibar,Dumisheni Mila na Tamqduni zenu pasi na kuhofia kitu chochote.
Ajabu sana,anaenda miji ya watu anaambiwa fuata sheria na taratibu za hapa hataki anataka aje na Sheria zake,Sasa kwani ni lazima aende huko?SI abakie kwao...Wwewe unachekesha sana yaani wewe ulokuja ndio mpemba akufate hii unavyotaka haipo popote duniani mgeni ndio aheshimu Mila za wewenyeji.nenda huko ulaya upeleke huo uafrika wako uone kama utakubaliwa
Soma kuelewa usisome ukiandaa jibu la kujibu mwisho unaandika visivyoeleweka.Wwewe unachekesha sana yaani wewe ulokuja ndio mpemba akufate hii unavyotaka haipo popote duniani mgeni ndio aheshimu Mila za wewenyeji.nenda huko ulaya upeleke huo uafrika wako uone kama utakubaliwa
Wana uwezo wa kukataa hilo. Kama huna kitambulisho cha Uzanzibar ukaazi , utafanyaje kaziNani hafahmu kuwa wabara mmekuwa mnakimbilia fursa kama hizo Zanzibar?
Kutaka kuifanya Zanzibar iwe lango kuu la ukahaba, ushoga, ulevi na kila aina ya laana?
Lengo ni kutaka kuipoteza identify ya Zanzibar na TAMADUNI zake...
Zanzibar,Wamekataa Hilo.
Wewe ndie unasema hayo,umeenda Zanzibar umekuta Mila na Tamqduni Zao,siyo lazima kuishi au kukaa hapo,kama zimekushinda panda boti Rudi kwenu mbeya.Kwahiyo Uzi wako unalenga kuvunjwa muungano wa Tz na Znz
Soma kuelewa usisome ukiandaa jibu la kujibu mwisho unaandika visivyoeleweka.
Nimesema hata wewe mpemba unalo jukumu la kuheshimu mila na tamaduni za wenzako siyo kuwalazimisha wao kufuata mila zako ugomvi uje pale ambapo mmoja anatoka kwake anaenda kwa mwenzake kumvunjia utamaduni wake,hapa bara wapo wapemba wanaishi sehemu mbalimbali mbona hakuna anayewabughudhi?
Ni kwa sababu hawajawahi kwenda kwa mtu asiye kabila lao kumlazimisha kufata asichokielewa au kumuhusu na huo ndiyo utaratibu wa dunia ya watu waliostaarabika,utamaduni wako udumishe ndani ya nyumba yako wewe mkeo na wanao ukitoka nje ya hapo elewa kuna wengine mna-share ardhi nao wana tamaduni zao
Labda kama hujaishi na kukaa ZANZIBAR.Wana uwezo wa kukataa hilo. Kama huna kitambulisho cha Uzanzibar ukaazi , utafanyaje kazi
Wale vijana wanaoruka baharini pale wakibeba mabinti wa kizungu uchi ni Wazanzibar
Wanaweza kupiga marufuku pombe, lakini ni wao wenyewe wanapingana. Hakuna mbara
Ukahaba unafanywa na wa Kizanzibar
Sawa ni nchi ya hovyo,bakia kwenu bara.Zanzibar ni nchi ya hovyo sn
Mpemba akienda kwa watu anaheshimu mila na gesturing zao.wameenea kote duniani hujawahi kuskia wamegombana na wenyeji wao kwa kutaka kupeleka mila zao huko. Na ww ukija kwao heshimu gesturing zao.Hili ni suala rahisi sana ukiwa mtu unataka kuelewa. Lakini kama huelewi basi hatuna vya kukufanya uelewe na ukiforce ndio hapo utawaona watu wabaya kuwa wanalindq tamaduni zao. Na mm hapa wala sio mpemba lakini huo ndio ukweli watu wasijitoe fahamuSoma kuelewa usisome ukiandaa jibu la kujibu mwisho unaandika visivyoeleweka.
Nimesema hata wewe mpemba unalo jukumu la kuheshimu mila na tamaduni za wenzako siyo kuwalazimisha wao kufuata mila zako ugomvi uje pale ambapo mmoja anatoka kwake anaenda kwa mwenzake kumvunjia utamaduni wake,hapa bara wapo wapemba wanaishi sehemu mbalimbali mbona hakuna anayewabughudhi?
Ni kwa sababu hawajawahi kwenda kwa mtu asiye kabila lao kumlazimisha kufata asichokielewa au kumuhusu na huo ndiyo utaratibu wa dunia ya watu waliostaarabika,utamaduni wako udumishe ndani ya nyumba yako wewe mkeo na wanao ukitoka nje ya hapo elewa kuna wengine mna-share ardhi nao wana tamaduni zao
Mila si sheria, ndio maana bara hawa wanyanyapai visiwani? Ndio kusema bara hawana mila no, ila wanajua mipaka between mila na sheria za nchi.Mila za Zanzibar ziheshimiwe,asietaka kuziheshimu siyo lazima kwenda,bakia kwenu bara uishi Kwa uhuru unaoutaka