Zanzibar msiposimama imara kuendelea kulinda mila na tamaduni zenu, heshima yenu duniani itashuka

Unawapinga wabusu jiwe wenzako

Unajiona wewe ndio unajua kubusu jiwe kuliko wao?
How can you deny Allah? You were lifeless and He gave you life, then He will cause you to die and again bring you to life, and then to Him you will ˹all˺ be returned??
 
Swala si kuathirika kwa mtu kula mbele yako ila hapa swala ni kuheshimu mila na desturi za wenyeji. Kuna majaribu ya kuigeuza na kuibadili Zanzibar kama ilivyofanywa Dar es salaam. Hili kwa uwezo wa Mungu halitofanikiwa. Huwezi kuheshimu mila na desturi usije Zanzibar.
Thamani ya Zanzibar haipo kwa kuja Wazungu. Wazungu wanakuja Zanzibar ina thamani tokea enzi. Kama hujui wazungu wanakuja kushuhudia thamani yake. Nasi tunasema 'Zanzibar ni njema atakaye aje'.
Hakika umesema kweli kabisa,kinachowafanya wazungu kuja zanzibar siyo beaches pekee,ni pamoja na huu utamaduni wao ambao wameendelea kuudumisha miaka na miaka,sasa wasipo ulinda thamani ya zanzibar itaonekana vipi??
 
Wana roho mbaya sana wale wazanzibar wanajiona kama sio watanzania na wangeendelea na ujinga wao tungewapiga mawe pale kkoo
 
Friends and Our Enemies,

Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar...
Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakilisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar.

Watu wengi wakitaka kujitambulisha Kwa wageni WASIO ifaham Tanzania basi utawaskia wakisema huko kuwaambia wageni kuwa Mimi ninatokea Tanzania ile Nchi ya Mlima Kilimanjaro na visiwa vya marashi ya Zanzibar...

Asitokee MTU kuwatisha na kuwadhihaki eti kisa tuh nyinyi mmeamua Kwa dhati na uzalendo kabisa kusimamia MILA na TAMADUNI ZENU.

Tokea zama na enzi Zanzibar imekuwa na utaratibu wa kuheshimu Imani za wananchi wake na za wageni mbalimbali wanaoingia ndani ya visiwa hivyo.

Wageni wanapokaribishwa Zanzibar siku zote hupewa sheria na taratibu za kuishi na wenyeji wa visiwa hivyo na bila kinyongo wageni hao wamekuwa wakizikubali na kuziheshimu, kiasi Cha kufikia kuishi na Kisha kutamani kurudi Tena na Tena ndani ya visiwa hivyo.

Wanaokwazika na TAMADUNI za Zanzibar kiasi Cha kufikia kuona kama ni kero kwao au wanatengwa basi siyo lazima Kwa wao kwenda,wabakie makwao ambako wao wanaona Wana uhuru wa kujiamulia kuishi Kwa namna wapendavyo wao.

ZANZIBAR, endelea kusimama IMARA pasipo na kutetereka.

Zanzibar, mmenikumbusha msimamo imara wa Qatar, ambapo walipoandaa world cup finals na kuwakatalia wazungu kuwa wao hawakubali kuruhusu kampeni za LGBTQ katika finals hizo Kwa namna yoyote Ile.

Japo, wazungu walinuna wengine kutishia kutoshiriki lakini Qatar walisimamia msimamo wao na mashindano yaliendelea Kwa mafanikio makubwa yasiyo na kifani.

Hongera sana Zanzibar,Dumisheni Mila na Tamqduni zenu pasi na kuhofia kitu chochote.
Hiyo midebwedo ina heshima gani duniani. Huo utamaduni wa waarabu waliouiga? Kweli we ni bwege.
 
Dini ni utamaduni unaokoleza ujinga kwa mtu mweusi

Dini ni ustarabu na upendo kwa wote kama aishivyo Mungu, huwapenda wema na wabaya, huwanyeshea mvua wema na wabaya! Huwapa chakula wanaomwamini na wasiomwamini

Huwapa mahitaji yao bila kubagua

Ujinga kwa anayejiita ni mfuasi wa Allah, anamwombea njaa na kila ubaya kwa aliyetofauti na imani yake

Atataka kulazimisha afunge kwa sababu tu yeye kafunga! Huu ndio upumbavu na ujinga kabisa!

Mungu angekuwa hivyo kama mfuasi wake huyu, si angeliwauwa tu ili wasimsumbue mfuasi wake huyo?

Lakini huwezi kuta anawakinahi wabaya na kuona hawastahili kuishi kwa sababu tu hawamtii! Bado atawapenda na kuwapenda!

Sasa wewe mwenzangu na mimi, ni roho mbaya, ulafi tu na ujinga umekujaa, usikute hata huyo Mungu anakuhesabia kuwa ni mpagani usiye na maana, Maana kama ungelimtii, ungekuwa na upendo mfano wake

Hayupo Mungu anayeruhusu waja wake wawe watesaji wa wengine!

Hukumu ni juu yake yeye Mwenyezi
 
Bora wakatae kabisa, kwanza ukipata dharura na ukatakiwa kujifungua kwa upasuaji na ukakosa 150k basi upo hatarini kupoteza uhai wa Mama na Mtoto kama ilivyotokea mara 2 miezi kadhaa nyuma kanda ya ziwa na Tanga .
Utaratibu wa Wanaume kuingia Leba si katika tamaduni za Kiislam
Hawataki kugundulika kuwa wamezibuliwa mitaro
 
Nani kanyimwa uhuru wa kuabudu Zanzibar, ingekuwa ni hivyo umaarufu huu wa Zanzibar kama ni sehemu karim Kwa wageni ungekuwapo?

Hizo ni chuki tuh za makafiri nyinyi wa huku bara.
Dini isipokufanya uwe mtu Bora achana nayo
 
How can you deny Allah? You were lifeless and He gave you life, then He will cause you to die and again bring you to life, and then to Him you will ˹all˺ be returned??
Ata nzi hawezi kuumba, yeye amebakia kujisifu kwamba yeye ni mbora wa waumbaji , Yani kapita waumbaje wengine

Koran 37:125
: Do you call upon Ba'l and leave the best of creators -
 
Friends and Our Enemies,

Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar...
Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakilisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar.

Watu wengi wakitaka kujitambulisha Kwa wageni WASIO ifaham Tanzania basi utawaskia wakisema huko kuwaambia wageni kuwa Mimi ninatokea Tanzania ile Nchi ya Mlima Kilimanjaro na visiwa vya marashi ya Zanzibar...

Asitokee MTU kuwatisha na kuwadhihaki eti kisa tuh nyinyi mmeamua Kwa dhati na uzalendo kabisa kusimamia MILA na TAMADUNI ZENU.

Tokea zama na enzi Zanzibar imekuwa na utaratibu wa kuheshimu Imani za wananchi wake na za wageni mbalimbali wanaoingia ndani ya visiwa hivyo.

Wageni wanapokaribishwa Zanzibar siku zote hupewa sheria na taratibu za kuishi na wenyeji wa visiwa hivyo na bila kinyongo wageni hao wamekuwa wakizikubali na kuziheshimu, kiasi Cha kufikia kuishi na Kisha kutamani kurudi Tena na Tena ndani ya visiwa hivyo.

Wanaokwazika na TAMADUNI za Zanzibar kiasi Cha kufikia kuona kama ni kero kwao au wanatengwa basi siyo lazima Kwa wao kwenda,wabakie makwao ambako wao wanaona Wana uhuru wa kujiamulia kuishi Kwa namna wapendavyo wao.

ZANZIBAR, endelea kusimama IMARA pasipo na kutetereka.

Zanzibar, mmenikumbusha msimamo imara wa Qatar, ambapo walipoandaa world cup finals na kuwakatalia wazungu kuwa wao hawakubali kuruhusu kampeni za LGBTQ katika finals hizo Kwa namna yoyote Ile.

Japo, wazungu walinuna wengine kutishia kutoshiriki lakini Qatar walisimamia msimamo wao na mashindano yaliendelea Kwa mafanikio makubwa yasiyo na kifani.

Hongera sana Zanzibar,Dumisheni Mila na Tamqduni zenu pasi na kuhofia kitu chochote.
Tamaduni za Zanzibar ndio zipo hizo?
Kuna kipi cha asili pale Zanzibar?
Karibu kila kitu hapa Zanzibar ni kitu cha kuletwa na majahazi.

Kwa Zanzibar:
Dini zililetwa na majahazi
Mavazi yaliletwa na majahazi
Watu waliletwa na majahazi.
Mbegu za karafuu zililetwa na majahazi
Mchele (ubwabwa) mpaka leo unashushwa na majahazi
Pombe zimeletwa na majahazi
Sigara zimeletwa na majahazi
Shisha zimeletwa na majahazi
Cocaine zimeletwa na majahazi
Ushoga umeletwa na majahazi
Hata Rais wa Zanzibar inasemekana ni wakuletwa na jahazi!
 
Bila kitambulisho cha Uzanzibar ukaazi huwezi kupata kazi. Wale Vijana Forodhani wanatambuliwa rasmi na wanalipwa kuitangaza Zanzibar. Hakuna Mtanganyika anayeaajiriwa na SMZ kwasababu ni Mbara au Chogo.

Lakini nikubaliane na hoja yako kwa muda, je si wewe unayetambua malaya wa Tanganyika! Je, wana mabango usoni au mgongoni. Kupanda Boti ndiyo alama ya Utanganyika. Kwani Boti Wazanzibar hawapandi.

Hoja yako pale Buckingham Palace wanasema 'self inflicted wound''

Tena Wamasai ndio kabisaa. Hivi Wamasai wamekuwepo Zanzibar miaka mingapi. Kwanini mwaka huu wafurushwe.
Wanafukuzwa kwasababu ya sera ya kulinda ajira za Wazanzibar. Hakuna tatizo kama hilo

Tatizo linakuja pale ambapo Wabaguzi hao wanapopewa asilimia 21 za kazi kutoka kwa Wamasai wakilipwa mishahara kwa kodi za Wamasai. Wazanzibar hawabaguliwi wakiwa bara, wanapata kila kitu lakini chuki dhidi ya Watanganyika imepita kiwango.

Walinde sheria na Tamaduni zao kwasababu wana katiba, tunataka Tanganyika yetu ili tusigombane nao.
Tanganyika itakayowajali Wamasai waliofukuzwa Zanzibar na Wananchi wake
Mzee wewe ni mwanasheria?
 
Friends and Our Enemies,

Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar...
Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakilisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar.

Watu wengi wakitaka kujitambulisha Kwa wageni WASIO ifaham Tanzania basi utawaskia wakisema huko kuwaambia wageni kuwa Mimi ninatokea Tanzania ile Nchi ya Mlima Kilimanjaro na visiwa vya marashi ya Zanzibar...

Asitokee MTU kuwatisha na kuwadhihaki eti kisa tuh nyinyi mmeamua Kwa dhati na uzalendo kabisa kusimamia MILA na TAMADUNI ZENU.

Tokea zama na enzi Zanzibar imekuwa na utaratibu wa kuheshimu Imani za wananchi wake na za wageni mbalimbali wanaoingia ndani ya visiwa hivyo.

Wageni wanapokaribishwa Zanzibar siku zote hupewa sheria na taratibu za kuishi na wenyeji wa visiwa hivyo na bila kinyongo wageni hao wamekuwa wakizikubali na kuziheshimu, kiasi Cha kufikia kuishi na Kisha kutamani kurudi Tena na Tena ndani ya visiwa hivyo.

Wanaokwazika na TAMADUNI za Zanzibar kiasi Cha kufikia kuona kama ni kero kwao au wanatengwa basi siyo lazima Kwa wao kwenda,wabakie makwao ambako wao wanaona Wana uhuru wa kujiamulia kuishi Kwa namna wapendavyo wao.

ZANZIBAR, endelea kusimama IMARA pasipo na kutetereka.

Zanzibar, mmenikumbusha msimamo imara wa Qatar, ambapo walipoandaa world cup finals na kuwakatalia wazungu kuwa wao hawakubali kuruhusu kampeni za LGBTQ katika finals hizo Kwa namna yoyote Ile.

Japo, wazungu walinuna wengine kutishia kutoshiriki lakini Qatar walisimamia msimamo wao na mashindano yaliendelea Kwa mafanikio makubwa yasiyo na kifani.

Hongera sana Zanzibar,Dumisheni Mila na Tamqduni zenu pasi na kuhofia kitu chochote.
Ndomana hamuendelei, bila bara mngekufa njaa nyambafu...
 
Attachments

  • IMG-20240403-WA0001.jpg
    IMG-20240403-WA0001.jpg
    43 KB · Views: 2
Dini ya kobazi ni ya kijima sana! Mtu akila mbele yako wewe inakuathiri nini kama si kujiendekeza?

Hao wazungu wasipokuja kutalii thamani ya Zanzibar itakua nini? Ile minyoo mnayosoma imewaharibu sana akili!
Mwehu wewe. Kwani ukiingia ikulu utaathiri nini?.lkn mbona husogei? Makafiri yanaumia sana wakisikia Zanzibar ramadhani inanoga
 
Ile ni nchi ya kiislamu, na sio nchi ya kikafiri, hivyo usilazimishe wafuate mila zenu

وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.

وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ
Al-Baqarah 170
Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?
Mwarabu+Uislamu= USHENZI...
 
icho kitu munakariri nyinyi tu, hakukua na makubaliano hayo
Nadhani kwasababu Karume alikuwa ana hofu ya kuvamiwa na Waarabu ndio maana Muungano ukafanywa haraka haraka mambo yatawekwa sawa tu.
 
Hakuna kitu icho, Muungango ulitokana na Janjajanja ya Nyerere, Kwa kifupi alim blackmail Mzee Karume
 
Back
Top Bottom