Zanzibar: Mwanafunzi wa Shule ya Kizimbani, aliyepotea tangu ijumaa apatikana akiwa kafariki, amekatwa mkono

Zanzibar: Mwanafunzi wa Shule ya Kizimbani, aliyepotea tangu ijumaa apatikana akiwa kafariki, amekatwa mkono

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Binti raiyan ameir amour mwanafunzi shule ya kizimbani Zanzibar aliepotea tangu ijumaa apatikana akiwa amefariki huku akiwa amekatwa mkono mMoja.

Mbunge wa Jimbo hilo ataka uchunguzi wa kina ufanyike na watuhumiwa wakamatwe, bado haija julikana chanzo nk

Screenshot_20261005-061826.jpg
 
Tunaishi nyakati za giza nene. Kila siku ni kusikia habari za kutisha. Watu wasio na hatia wanauawa ovyo. Kuna watu kwa sasa kumwua mwanadamu mwenzake ni kama anavyoweza kumchinja kuku!
Mungu wa huruma , tunaomba umjalie pumziko jema la milele kiumbe huyu asiye na hatia, na laana na kisasi juu ya wauaji ni mamlaka yako Ee Bwana.
 
Inaumiza sana, pumzika kwa amani malaika, pole kwa wazazi, ndugu na jamaa,
Ila wanaume!!! nikisema neno nitaambiwa nina chuki
Matukio ya wanawake kuuliwa video vya kitisha vimekua sugu ni wakati dunia ikae kikao cha dharula kukabiliana na hi Hali miezi hii kuanzia Haiti, njoo DSM, zenji mmh alafu wote wameteswa sana kabla ya kuuliwa
 
Bro Zanzibar panasiki
Sasa mtoto mdogo kama huyu kosa lake nini jamani mbona dunia inazidi kuharibika ? Cha ajabu police wapo kupambana na chadema kutwa nzima ila uhalifu huu wanashindwa kuunusa na kuokoa uhai wa watu wake
tisha sana ndio sehemu pekee tanzania vijana wanavuta bangi kwa huru alafu group la mpaka watu kumi na kitu mchana kweupe dah nilishangaa sana
 
Back
Top Bottom