Zanzibar ndani ya Tanzania ikiwa na watu milion 2

Zanzibar ndani ya Tanzania ikiwa na watu milion 2

maandamano

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2025
Posts
726
Reaction score
1,548
Huu ni ujinga na upumbavu wa kila mtanzania anayeitetea hii serikali nasema R.i.p Magufuli

Haiwezekana wazanzibar wajazane kwenye baraza letu la mawaziri uchwara na bado makazini wazibe ajira zetu mitaani wako huru kufanya kazi waitakayo mwishowe waje kutupiga na risasi kutuulia mimia ya vijana wetu hivi tuko sirious kweli
 
Kiti kikuu kisikaliwe na mtu yeyote bali kakiliwe na mtu mwenye akili nyingi smart sana kama raisi wa china ama putin, hapo ndo tutatoboa. Ukiwa na raslimali itumie, vinginevyo ni mkwamo
 
Huu ni ujinga na upumbavu wa kila mtanzania anayeitetea hii serikali nasema R.i.p Magufuri
Haiwezekana wazanzibar wajazane kwenye baraza letu la mawaziri uchwara na bado makazini wazibe ajira zetu mitaani wako huru kufanya kazi waitakayo mwishowe waje kutupiga na risasi kutuulia mimia ya vijana wetu hivi tuko sirious kweli
Kwani kuanzia lini tumekubali kuwa hii ni serikali halali wakuu?. Yeye hata angechagua Familia yake nzima kuwa mawaziri ni sawa tu kwa sasa lakini D9 ndio kitu ambacho watanganyika wote wanapswa wakizingatie basi.
 
Nawapenda sana Wazanzibar na wapenda sana watu wa Bara.

NAOMBA TUPENDANE JAMANI NA KAMA SULUHU NI KUTENGANA BASI TUTENGANE TU EBOOO!

InaumaSana/ItHasAForkVery
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Kikwete aliwahi kumpa Saada Mkuya kutokea visiwani Wizara ya Fedha

Ila hii ya sasa hapana, Big No
 
Watanzania sijui tukoje. Ndio maana nikasema tatizo la vurugu za sasa sio ccm Bali ni uzanzibar wa mama samia
 
Hizi akili za ubinafsi sijui zinatoka wapi ndugu zetu wakiristo lakin mbona Hawa ndio wakwanza kukataa muungano kipindi kile 2012 ?? Au bado wengine mlikuwa vijijin??? Hawa uamsho si ndio walikataa muungano wakapewa kesi za Ugaidi na wakafungwa miaka 8 hapa segerea na keko??? Na nyinyi ambao hamuwataki wanzanzibar sio ndio mlishabikia mkasema waislamu ni magaidi wanatumwa na waarabu ?? Leo hii wapo kwenye serikali bado pia hamuwataki?? Sasa mnataka wanzanzibar wafanyeje?? Oya wabongo Acheni mambo ya kichoko
 
Back
Top Bottom