maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 726
- 1,548
Kwani kuanzia lini tumekubali kuwa hii ni serikali halali wakuu?. Yeye hata angechagua Familia yake nzima kuwa mawaziri ni sawa tu kwa sasa lakini D9 ndio kitu ambacho watanganyika wote wanapswa wakizingatie basi.Huu ni ujinga na upumbavu wa kila mtanzania anayeitetea hii serikali nasema R.i.p Magufuri
Haiwezekana wazanzibar wajazane kwenye baraza letu la mawaziri uchwara na bado makazini wazibe ajira zetu mitaani wako huru kufanya kazi waitakayo mwishowe waje kutupiga na risasi kutuulia mimia ya vijana wetu hivi tuko sirious kweli
FedhaWizara ya fedha waziri mzanzibari. Lengo ni nini?
Lengo ni kuitafuna Tanganyika hadi ibaki kama ganda la muwa.Wizara ya fedha waziri mzanzibari. Lengo ni nini?
Kuna ubaya gani Mzanzibari kuwa waziri wa fedha?Wizara ya fedha waziri mzanzibari. Lengo ni nini?
Wizara ya fedha ni wizara ya muungano,ndiyo maana sarafu ni moja, hakuna sarafu ya ZanzibarWizara ya fedha waziri mzanzibari. Lengo ni nini?