CRITICAL MIND
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 416
- 400
..Mgogoro wa fedha kati ya Tgk na Znz ulishughulikiwa / uliamuliwa na Shirika la Fedha Duniani [ IMF.].
..IMF ndio waliopendekeza Znz iwe inapewa mgao wa 4% ya mapato ya muungano.
..pia IMF ndio waliotoa pendekezo kwamba mmoja kati ya Manaibu Gavana wa BOT atoke Znz.
Ivi 4% ni ndogo kwa kilekikijiji cha zenji ata 0.001 wasipewe.Lakini hata hiyo 4% watanganyika munahisi munawapendelea Zanzibar.
We mumbwa ata Tanganyika tanganyika ilikua na kanda zake ata pwani ni moja ya kanda zilizo ungana na kuatanganyika,Mbali ya mtaji hata ardhi ya pwani kuanzia Tanga hadi Ntwala ni mali ya Zanzibar,yaani waZanzibali ndio wale watenda wema waondokao.
Nyie endeleeni kuyachokoa tu.
View attachment 2972777
Ivi 4% ni ndogo kwa kilekikijiji cha zenji ata 0.001 wasipewe.
Lazima muwaamehe maana TRA inachukua pesa zaoHawa hawa ambao tumewasamehe deni la umeme hapo majuzi?? Au kuna wengine??
Siyo pesa zao sema vichele vyao.🤐🤐.Lazima muwaamehe maana TRA inachukua pesa zao
Uvunje tuone kamq ni simple ikiwa unavyo waza.sasa kwanini wasipewe na ni haki yao? mbona muna roho za kikatili sana. Sasa kwanini musipiganie muungano uvunjike yaishe.
Mbona TRA inavikaba? 🤣🤣Siyo pesa zao sema vichele vyao.🤐🤐.