Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

Kuna video ya mahojiano na aliyekuwa waziri na pia Mwakilishi wa Tanzania UN Mheshimiwa Amina Salim Ali inayotembea kwenye mitandao ya kijamii akielezea kuwa Zanzibar ndiyo iliyotoa mtaji wa kuanzisha BOT kule kwenye East Africa Currency Board.

Na pia katika makubaliana ya muungano pia kuna fungi lao (asilimia 4 na ache) amblaa kwa sasa limefikia trillions na hawajalipwa

Hii ni moja ya Kero za muungano ambazo hatupewi sisi kama mwananchi mrejesho na wanasiasa wetu kuwa nini kimemalizwa na kipi bado na tatizo ni nini.
Sawa Tutaka walipe gharama za wakuwapelelea umeme, chakula na ulinzi
 
Dawa ni Zanzibar wafungue kesi ya kikatiba kudai wapate stahiki halali ya mgao kupitia mtaji wao waliouweka pamoja na mgao wa 4%

Mkuu tatizo ni CCM, zanzibar kungekua kunatawaliwa na chama pinzani kingekuwa kishanuka kwa kweli.
 
Mbali ya mtaji hata ardhi ya pwani kuanzia Tanga hadi Ntwala ni mali ya Zanzibar,yaani waZanzibali ndio wale watenda wema waondokao.
Nyie endeleeni kuyachokoa tu.

View attachment 2972777
Kwamba ramani ya mkoloni ndio uhalisia sahihi?

Turudi mwanzo, inawezekana kisiwa kumiliki maeneo ndani ya pande la nchi/eneo ama ni rahisi kwa pande la nchi/eneo kumiliki kisiwa?

Na tukifuata mwanzo kabisa, hicho kisiwa kilimeguka kutoka wapi? Ikitokea kimerejea kilipomeguka mwanzo, itakuwaje?
 
Hatukuongelea utawala, tuliongelea umiliki.
Kumiliki na kutawala ni vitu viwili tofauti. Ni sawa na mmiliki wa gari kutafuta dereva wa kuliendesha, je akiliendesha ndio atakuwa mmiliki?
aiseee mkuu nilikuwa nafuatilia mjadiliano wenu, naona jamaa kaona ehee kumbe mimi kichwani mweupe kaaamua kuingia chaka kusema usiku mwema🤣🤣🤣. Alikuwa anatapatapa kutafuta pa kushika. Ubarikiwe sana mkuu
 
  • Nzuri
Reactions: 511
Kuna video ya mahojiano na aliyekuwa waziri na pia Mwakilishi wa Tanzania UN Mheshimiwa Amina Salim Ali inayotembea kwenye mitandao ya kijamii akielezea kuwa Zanzibar ndiyo iliyotoa mtaji wa kuanzisha BOT kule kwenye East Africa Currency Board.

Na pia katika makubaliana ya muungano pia kuna fungi lao (asilimia 4 na ache) amblaa kwa sasa limefikia trillions na hawajalipwa

Hii ni moja ya Kero za muungano ambazo hatupewi sisi kama mwananchi mrejesho na wanasiasa wetu kuwa nini kimemalizwa na kipi bado na tatizo ni nini.
Kwamba Tanganyika ilikuwa crobat kiasi hicho kiasi cha kupewa mtaji Na Zanzibar?! Watu ambao hata bili ya Tanesco ilikuwa hawawezi kulipa hadi tukasikia Neno 'kata' enzi ya Magu? Tuache masikhara.
 
wewe taarifa umepata wapi mkuu?
Aaah babu,nenda ardhi kaulize,nchi itasema Ina ardhi yake bagamoyo bila kuwa na uhakika,yaani wakurupuke tu!?..kinachokuuma nini Zanzibar kuwa na ardhi bagamoyo wakati Burundi wanayo huko dodoma wanataka kujenga kiwanda Cha mbolea!?
 
mbona unakasirika? Mm nataka kujua.sasa wakisema wana ardhi znz ina maana waliuziwa na kama mtu kama wewe raia umepata hizo taarifa una shida gani na ss kushare ili tujue? Maana umesema miaka hyo social media bado sasa ndo nikawa nataka nijue weww ulijuaje?
 
Hivi mnaijua hii Zanzibar au basi mnakuja na akili za porini tu eti mfalme ni Simba tu ,wakati Simba anamuogopa kakakuona.
1875 hii hapa Zanzibar ipo ,pembeni kuna wahehe na wanyamwezi.Wengine mmetokea misitu ya Congo au mnataka tuanze kupimana DNA ??
View attachment 2972787
Nyie ndio mnaamini kuwa mtu wa kwanza kuuona mlima Kilimanjaro ni Johannes Rebmann.

Amandla...
 
mbona unakasirika? Mm nataka kujua.sasa wakisema wana ardhi znz ina maana waliuziwa na kama mtu kama wewe raia umepata hizo taarifa una shida gani na ss kushare ili tujue? Maana umesema miaka hyo social media bado sasa ndo nikawa nataka nijue weww ulijuaje?
Acha upumbavu
 
aiseee mkuu nilikuwa nafuatilia mjadiliano wenu, naona jamaa kaona ehee kumbe mimi kichwani mweupe kaaamua kuingia chaka kusema usiku mwema🤣🤣🤣. Alikuwa anatapatapa kutafuta pa kushika. Ubarikiwe sana mkuu
😅 Kobaz wana hoja mfilisi sana, akibaniwa kwenye kona anaibuka na matusi.
 
..Mgogoro wa fedha kati ya Tgk na Znz ulishughulikiwa / uliamuliwa na Shirika la Fedha Duniani [ IMF.].

..IMF ndio waliopendekeza Znz iwe inapewa mgao wa 4% ya mapato ya muungano.

..pia IMF ndio waliotoa pendekezo kwamba mmoja kati ya Manaibu Gavana wa BOT atoke Znz.

Kwa mujibu wa mwenezi wa Zanzibar , Rais SSH ameridhia iwe 9% ya Bajeti ya Muungano.
Aya ya tatu kutoka chini

Back
Top Bottom