Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

Zanzibar wapewe ukanda wa pwani utajengwa wote, maana huku naona kipaumbele ni Dodoma , Dar na Arusha.

Sio chuki ila ukweli, mikoa ya pwani iwe sehemu ya zanzibar.
 
Watawala wa Taiwan,mpaka 1940s walijihesabu wao ndiyo watawala halali wa Dola yote ya uchina na akina mao,waliokua wakitawala china bara ni waasi
Mpaka sasa, nani anammiliki mwenzake kati ya china na Taiwan?
Hicho ulichoandika hapo ndicho nilichokisema kuwa kinatokana na ubabe wa kivita tu. Asie na huo ubabe hawezi dai hivyo.

China na Taiwan ni nchi moja au ni nchi mbili tofauti?
 
Zanzibar wapewe ukanda wa pwani utajengwa wote, maana huku naona kipaumbele ni Dodoma , Dar na Arusha.

Sio chuki ila ukweli, mikoa ya pwani iwe sehemu ya zanzibar.
Wapewe na nani sasa?
 
Nimekwambia Tanzania ni jina tu.
Zanzibar ikiondoka nchi inabaki kama Tanganyika. Ka sehemu kadogo tu ka ardhi ya Zanzibar ndiko katakuwa kameondoka.

Wewe mwenye strong reasoning ability una lipi jipya?
We jamaa bana 🤣🤣,yaani tukichanga mtaji hela zako na zangu ni sawa na hela zako peke yako au hela zangu peke yangu!?..tukiunganisha kiwanja chako na changu ni sawa tu Kwa ukubwa na tusipounganisha, really!?
 
Mpaka sasa, nani anammiliki mwenzake kati ya china na Taiwan?
Hicho ulichoandika hapo ndicho nilichokisema kuwa kinatokana na ubabe wa kivita tu. Asie na huo ubabe hawezi dai hivyo.

China na Taiwan ni nchi moja au ni nchi mbili tofauti?
Uliuliza tangu lini kisiwa kikatawala bara(mainland),nikakwambia Kuna kipindi mtawala wa china alitawala tokea Hong Kong au Taiwan,ushasahau hata ulikotoka, sultan WA Oman aliitwala Oman(bara) kutokea Zanzibar baada ya kuhamisha makao makuu ya Dola yake
 
We jamaa bana 🤣🤣,yaani tukichanga mtaji hela zako na zangu ni sawa na hela zako peke yako au hela zangu peke yangu!?..tukiunganisha kiwanja chako na changu ni sawa tu Kwa ukubwa na tusipounganisha, really!?
Haina uhalisia. Tanganyika na Zanzibar ziko sawa?
 
Uliuliza tangu lini kisiwa kikatawala bara(mainland),nikakwambia Kuna kipindi mtawala wa china alitawala tokea Hong Kong au Taiwan,ushasahau hata ulikotoka, sultan WA Oman aliitwala Oman(bara) kutokea Zanzibar baada ya kuhamisha makao makuu ya Dola yake
Hatukuongelea utawala, tuliongelea umiliki.
Kumiliki na kutawala ni vitu viwili tofauti. Ni sawa na mmiliki wa gari kutafuta dereva wa kuliendesha, je akiliendesha ndio atakuwa mmiliki?
 
Dumb ass!!
images (1) (15) (1).jpeg
 
muungano uvunjwe waliouasisi wauawe problem solved
 
Zanzibar wapewe ukanda wa pwani utajengwa wote, maana huku naona kipaumbele ni Dodoma , Dar na Arusha.

Sio chuki ila ukweli, mikoa ya pwani iwe sehemu ya zanzibar.
Wapewe.........unaona hilo ni sinia la biriani......hata hio Zanzibar yenyewe kwenye muungano watu hawakupewa tu........
 
Zanzibar wapewe ukanda wa pwani utajengwa wote, maana huku naona kipaumbele ni Dodoma , Dar na Arusha.

Sio chuki ila ukweli, mikoa ya pwani iwe sehemu ya zanzibar.
images (3).png

Na rukwa wapewe ukanda wao wa mbeya? Na kagera wapewe ukanda wao wa mwanza? Na pwani wapewe dsm yao?.
 
Kuna video ya mahojiano na aliyekuwa waziri na pia Mwakilishi wa Tanzania UN Mheshimiwa Amina Salim Ali inayotembea kwenye mitandao ya kijamii akielezea kuwa Zanzibar ndiyo iliyotoa mtaji wa kuanzisha BOT kule kwenye East Africa Currency Board.

Na pia katika makubaliana ya muungano pia kuna fungi lao (asilimia 4 na ache) amblaa kwa sasa limefikia trillions na hawajalipwa

Hii ni moja ya Kero za muungano ambazo hatupewi sisi kama mwananchi mrejesho na wanasiasa wetu kuwa nini kimemalizwa na kipi bado na tatizo ni nini.
Atakuwa ni mwongo huyo. Huenda sasa hivi hana traction sana kwenye medani za kisiasa hivyo anatafuta kiki kwa wazanzibar. Katika kuanizhs benki kuu hakukua na kitu kinaitwa kutoa mtaji bali ile east African Curreny Board ilijivunja na kuacha kila lilikuwa tawi lake kuwa benki kuu ya nchi husika: Bank of Tanzania, Bank of Kenya na Bank of Uganda.

Kama mzee Mtei bado ana nguvu za kuandika anaweza akamjibu hapa
 
Back
Top Bottom