Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
🤣 🤣 🤣Ndo washalipia kodi ya ardhi wanazomiliki huku bara imetoka hio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣Ndo washalipia kodi ya ardhi wanazomiliki huku bara imetoka hio
Juzi wamekwapua ardhi Bagamoyo leo wanaitaka BoT, mpka maza amalize kipindi chake vitu vingine sn watakuwa wamechukuaKuna video ya mahojiano na aliyekuwa waziri na pia Mwakilishi wa Tanzania UN Mheshimiwa Amina Salim Ali inayotembea kwenye mitandao ya kijamii akielezea kuwa Zanzibar ndiyo iliyotoa mtaji wa kuanzisha BOT kule kwenye East Africa Currency Board.
Na pia katika makubaliana ya muungano pia kuna fungi lao (asilimia 4 na ache) amblaa kwa sasa limefikia trillions na hawajalipwa
Hii ni moja ya Kero za muungano ambazo hatupewi sisi kama mwananchi mrejesho na wanasiasa wetu kuwa nini kimemalizwa na kipi bado na tatizo ni nini.
Kwanza hatuwataki ondokeni huku kwetuHata tukowachana na muungano, deni la Zanzibar lazima lilipwe.
Lipa deni lao, wacha porojo.Hawa jamaa tunawalea sana. Zanzibar inapaswa kuwa treated kama mkoa. Nashangaa inapewa hadhi kubwa isiyo stahili.
Ardhi si walinunua!!..mbona huoni Kama ubalozi wa marekani umekwapua ardhi oyster bay!?Juzi wamekwapua ardhi Bagamoyo leo wanaitaka BoT, mpka maza amalize kipindi chake vitu vingine sn watakuwa wamechukua
We mtu mwenyewe mkongoKwanza hatuwataki ondokeni huku kwetu
Kwenu kawapa nani?Kwanza hatuwataki ondokeni huku kwetu
Mbona hakuna ardhi ya bara kule kwao?Ardhi si walinunua!!..mbona huoni Kama ubalozi wa marekani umekwapua ardhi oyster bay!?
Ipo siku tutawatoa tuWe mtu mwenyewe mkongo
Berlin conference 1885, ondokeni haraka na mtu wenuKwenu kawapa nani?
Huo ni mkoa tuu, ngoja nipewe nchi muone ntakavyowasha moto. Hatutaki uarabu kwenye nchi na ardhi yetu.Bila Zanzibar hakuna Tanzania,uwe unatumia vizuri dafu lako juu ya mabega
Deni lipi?Lipa deni lao, wacha porojo.
Which is which?4% wameanza kupewa baada ya Samia kuwa raisi, na ndio mumekuwa mukilalamika kula kukicha humu
Nyerere aliwapa favor kidogo basi wanajiona kama vile tunawategemea wao. Hizi ni tabia za kitinda mimbaHawa jamaa tunawalea sana. Zanzibar inapaswa kuwa treated kama mkoa. Nashangaa inapewa hadhi kubwa isiyo stahili.
Haya ni maneno yasiyo na ushahidi mkuu. Weka ushahidi tujifunze.Kuna kipindi mtawala wa china,makao makuu yalikua Hong Kong Kama siyo Taiwan
Ndiyo msingi wa china kudai Hong Kong na Taiwan ni sehemu zakeHaya ni maneno yasiyo na ushahidi mkuu. Weka ushahidi tujifunze.
Halafu tofautisha uvamizi na umiliki. Vipi mpaka leo bado iko hivyo ulivyosema?
Tanzania ni jina tu. Muda wowote lina weza kubadilika lakini nchi inabaki vile vile.Bila Zanzibar hakuna Tanzania,uwe unatumia vizuri dafu lako juu ya mabega
Umebugizwa chuki za kidini na Sasa unajamba tu,hata kufikiri huwezi,mwarabu katoka wapi kwenye huu mjadala!?..bila mwarabu usingetumia neno 'ardhi'Huo ni mkoa tuu, ngoja nipewe nchi muone ntakavyowasha moto. Hatutaki uarabu kwenye nchi na ardhi yetu.
Unafikiri kweli!?.. Tanzania ni muungano wa nchi mbili, Tanganyika na ZanzibarTanzania ni jina tu. Muda wowote lina weza kubadilika lakini nchi inabaki vile vile.
Swaziland imebadikika kuwa Eswatini, lakini nchi ni ile ile tu.
Kwa hiyo sio sawa kusema hakuna Tanzania bila Zanzibar, ila sema hakuna jina la Tanzania bila jina la Zanzibar.