Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

Ndiyo msingi wa china kudai Hong Kong na Taiwan ni sehemu zake
Wanadai lakini hawamikiki maana sio zao.
Kudai ni kutokana na ubabe tu, lakini mfano Taiwan ingekuwa na military power kubwa kuliko China usingesikia lolote.
 
Unafikiri kweli!?.. Tanzania ni muungano wa nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar
Tanzania ni jina tu.
Kwani ikiondika Zanzibar tukabaki na jina la Tanganyika nchi itayeyuka, mpaka useme hakuna Tz bila znz?
 
Mjinga pekee ndie hujibu hoja kwa kejeri.
Hivi china haimiliki Hong Kong!?..Hong Kong siyo semi autonomous!?..unakuja unasema hawamiliki,Sasa kujadili na wewe Kuna maana gani Kama vitu vyenyewe huvijui na unajifanya kujua!?
 
Hivi china haimiliki Hong Kong!?..Hong Kong siyo semi autonomous!?..unakuja unasema hawamiliki,Sasa kujadili na wewe Kuna maana gani Kama vitu vyenyewe huvijui na unajifanya kujua!?
Umesema Taiwan, na mimi nimekujibu kwa Taiwan, usihamishe mada.
 
Tanzania ni jina tu.
Kwani ikiondika Zanzibar tukabaki na jina la Tanganyika nchi itayeyuka, mpaka useme hakuna Tz bila znz?
Kuna military academy ya ukomando Zanzibar,ambayo ni ya jwtz, muungano ukivunjika itaendelea kuwepo!?..itakua ya jeshi gani!?..mipaka ya Sasa ya baharini ya Tanzania itabaki vilevile!?..una umri gani wewe!?..shule ulipitapita!?
 
Kuna video ya mahojiano na aliyekuwa waziri na pia Mwakilishi wa Tanzania UN Mheshimiwa Amina Salim Ali inayotembea kwenye mitandao ya kijamii akielezea kuwa Zanzibar ndiyo iliyotoa mtaji wa kuanzisha BOT kule kwenye East Africa Currency Board.

Na pia katika makubaliana ya muungano pia kuna fungi lao (asilimia 4 na ache) amblaa kwa sasa limefikia trillions na hawajalipwa

Hii ni moja ya Kero za muungano ambazo hatupewi sisi kama mwananchi mrejesho na wanasiasa wetu kuwa nini kimemalizwa na kipi bado na tatizo ni nini.
Fanya Kazi acha mambo ya wakubwa lipa bill zako somesha watoto makorokocho mengine tupa kule
 
Kuna military academy ya ukomando Zanzibar,ambayo ni ya jwtz, muungano ukivunjika itaendelea kuwepo!?..itakua ya jeshi gani!?..mipaka ya Sasa ya baharini ya Tanzania itabaki vilevile!?..una umri gani wewe!?..shule ulipitapita!?
Jibu hoja acha mihemko.
-Muungano ukivunjika hicho chuo kinabaki kuwa mali ya Zanzibar na haitaathili ufanisi wa jeshi la Tanganyika.
-Muungano ukivunjika tunarudi kwenye mipaka kabla ya muungano.
- Shule nilienda kupata elimu, sikupita maana sio njia ile. Pole kama ulipita.
 
Sasa ikiwa hivyo Kuna Tanzania hapo!?..poor reasoning ability
 
Hapo ulipotaja Hong Kong hakuna Taiwan?
Mimi nimeamua kujibu kuhusu Taiwan.
Watawala wa Taiwan,mpaka 1940s walijihesabu wao ndiyo watawala halali wa Dola yote ya uchina na akina mao,waliokua wakitawala china bara ni waasi
 
Sasa ikiwa hivyo Kuna Tanzania hapo!?..poor reasoning ability
Nimekwambia Tanzania ni jina tu.
Zanzibar ikiondoka nchi inabaki kama Tanganyika. Ka sehemu kadogo tu ka ardhi ya Zanzibar ndiko katakuwa kameondoka.

Wewe mwenye strong reasoning ability una lipi jipya?
 
Back
Top Bottom