Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Tumefika mahali tunafundisha watoto wetu kuchukiana kwa Dini. Mtoto wa Kiislamu kumuona wa Kikristo ni adui yake vilevile mtoto wa Kikristo kumuona mtoto wa Kiislamu ni adui. Kumbuka sisi wote ni Watanzania. Tulikuwa na Dini zetu hapo kabla ambazo zilituunganisha wote kama ndugu. Pia tukumbuke kuwa hizi dini zinazotugombanisha wote tumezipokea kutoka kwa watawala wa Kikoloni na Kisultani. Hebu tukae tufikiri na kujadiliana na kuelimishana. Tuachane na ulimbukeni huu. Sidhani kama kuna imani katika hizi inayohusudu umwagikaji wa damu ya watu wasio na hatia. Na kama ipo tu ipinge kwa nguvu zote.
 
Ni Ujinga kudhani kwamba matatizo haya yanaletwa na CCM au na Kikwete, iko siku wote TUTAKUMBUKA MANENO YA RAIS MSTAAFU WA MAREKANI G.W.BUSH Jr. ALIYOSEMA KUWA '' BAADA YA UKOMUNIST DUNIA IMEBAKIWA NA TATIZO MOJA UISLAM'' Dunia nzima ilisisimama kinyume naye na kung'aka kumlazimisha Bush afute kauli yake.
Uislam hauko compatible na Ustaarabu mwingine wowote, Iwe Demokrasia, Haki za Binadam na kila aina ya Ustaarabu isipokuwa Uislam wenyewe kwa kundi husika, ni ujinga kufikiri kuandika JF kila siku kutabadilisha msimamo wa hao wauaji na kuamini kwamba iko siku Waislam na Wakrsito watakaa kwa amani na kuheshimiana, yale yatendwayo na Waislam ni sehemu ya kutafuta utakataifu wa KIDINI, huwezi kuwabadilisha wauaji hawa, ili uwabadilisha unatakiwa uwaoneshe njia mbadala ya kuufikia utakatifu na kufika ahera wakafaidi mabikira na mito ya pombe, hakuna aya unayoweza kuwaonesha kwenye Quran yao inayoweza kuwapa utakatifu kwanjia nyingine isipokuwa kuua wale ambao sio Waislam.
Wakristo mnatakiwa msimame mkijua kwamba haya Mauaji ni sehemu ya kutafuta utakatifu wa Kiislam ili watu waende wakafaidi ahera yao, ni wakati wa kuacha ujinga na kuamini kuwa CCM au Kikwete anmaweza kutulinda, ulinzi pekee ni kupiga marufuku Quran na Hadith ambazo ndizo zenye mafundisho ya aina hiyo ya tabia.

Serikali haiwezi kufanya lolote juu ya hawa watu wanao Ua kwa kumtendea vema mungu wao ALLAH.Wakristo Zindukeni
 
kwa taarifa za awali ambazo tumezipata za vitisho na ahadi za kuua, na ukizingatia kwamba kitendo chenyewe kimetokea wakati mtumishi wa Mungu anashuka katika gari yake ili akahudumie kondoo wa Bwana, tena katika siku tukufu ya jumapili... wewe huoni kwamba tukio hili limelenga kutoa message kuhusu uhalisia wa identity ya hao wauaji? unahisi dhumuni lao ni kuficha kwamba sababu kuu ni dini? kama wewe ni great thinker ulipaswa utambue kwamba the "non-kaffirs" wenye chuki na akili fupi kama suruali zao ndio suspects namba moja. sawa kusoma hujui, sasa hata picha huoni??? BLOODY TERRORISTS, natamani niwalaani ila imani yangu hairuhusu.

Haya yanafanywa na serikali ya Kikwete kuwafarakanisha wananchi. Jiulize yametokea mangapi na serikali imechukua hatua gani!?? Makinda katumiwa meseji ya kuitwa FAL.A wametaharuki kuchukua hatua lakini mambo ya msingi wameyakalia kimya, tukianza kuuana sisi wananchi lengo lao litakuwa limetimia, ni mpango wao huo, wana kiu ya damu viongozi wetu wa serikali, kabla hatujawa vipofu wa fikra na kuanza kuchinjana wenyewe tuanze kwanza na serikali hii inayofanya mchezo na mustakabali wa amani ya nchi...
 
Nalog off, nakwenda kanisani sasa hivi misa ya pili, nitawasikiliza mapadri wetu wana kauli gani juu ya hili, wakileta porojo leo kwa mara ya kwanza nitawaonesha kwamba hata viongozi wa dini tuna uwezo wa kuwapinga now days. i will back later.

Roho Bwana atakupoza kasikilize mafundisho ya Mungu; yapo matukio mengi duniani yamehusisha kuuliwa mapadri kutokana na matendo yao kama binadamu viachie vyombo vya sheria; wauji watakamatwa tu; John kupigwa risasi na Abdallah si udini ni mahusiano yao ndiyo yaliyosababisha:

Chama
Gongo la mboto DSM
 
jk ni mdini utakataa ila ukweli ndio huo!

Kama ni mdini asingezungukwa na wakristu ndani ya serikali yake; na kama ni mdini asingeingia kanisani kuzika wakristu

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Daah kazi ipo kwa kweli kama ndio tumefikia humu. May his soul rest in peace.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Ki ukweli watu wanaofanya chuki na kuuwa watu wa dini nyingine hawafahamu mafundisho ya kiislam ambayo ndiyo Muhamad mwenyewe aliyaishi kwa mfano wa kuigwa, upendo usiobagua, uvumilivu, unyenyekevu, maridhiano n.k.., sasa hawa waislam wenzetu wenye itikadi za chuki wa watu wa dini zingine hawaelewi mafundisho ya dini na ndio wamekuwa wakituaribia kabisa jina la uislam duniani, jamani tusaidiane kuwaelimisha, kwa watu mnao uelewa wa dini ya kiislam
 
mnayakemea sana majini yao mpaka wanaamua kutumia risasi duu! RIP Mtumishi
 
Duh.....hii hatari sasa.
Mpaka EU na USG watakapotoa tamko kwamba Znz sio safe kwa watalii ndipo bwana mkubwa atawakamata hao jamaa zake na kuwanyima dhamana.
 
Mkuu chama

Nikweli nakubaliana na wewe kanisa halikuanza jana ni ukweli usiopingika.

Kwa Dhana hiyo hiyo unaweza pia kutueleza kwanini kwa kipind kifupi zaidi ya makanisania 20 yamwchomwa moto

ukilinganisha na misikiti ambayo kwa bahati mbaya sina kumbukumbu mingapi imechomwa huko zanzibar Rejea kauli yako kwenye redi hapo juu.

Katika hayo yaliyochomwa mangapi yalikuwa Anglikana au Roman Catholic?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kama ni mdini asingezungukwa na wakristu ndani ya serikali yake; na kama ni mdini asingeingia kanisani kuzika wakristu

Chama
Gongo la mboto DSM
Anafanya usanii mumiani JK
 
Ni Ujinga kudhani kwamba matatizo haya yanaletwa na CCM au na Kikwete, iko siku wote TUTAKUMBUKA MANENO YA RAIS MSTAAFU WA MAREKANI G.W.BUSH Jr. ALIYOSEMA KUWA '' BAADA YA UKOMUNIST DUNIA IMEBAKIWA NA TATIZO MOJA UISLAM'' Dunia nzima ilisisimama kinyume naye na kung'aka kumlazimisha Bush afute kauli yake.
Uislam hauko compatible na Ustaarabu mwingine wowote, Iwe Demokrasia, Haki za Binadam na kila aina ya Ustaarabu isipokuwa Uislam wenyewe kwa kundi husika, ni ujinga kufikiri kuandika JF kila siku kutabadilisha msimamo wa hao wauaji na kuamini kwamba iko siku Waislam na Wakrsito watakaa kwa amani na kuheshimiana, yale yatendwayo na Waislam ni sehemu ya kutafuta utakataifu wa KIDINI, huwezi kuwabadilisha wauaji hawa, ili uwabadilisha unatakiwa uwaoneshe njia mbadala ya kuufikia utakatifu na kufika ahera wakafaidi mabikira na mito ya pombe, hakuna aya unayoweza kuwaonesha kwenye Quran yao inayoweza kuwapa utakatifu kwanjia nyingine isipokuwa kuua wale ambao sio Waislam.
Wakristo mnatakiwa msimame mkijua kwamba haya Mauaji ni sehemu ya kutafuta utakatifu wa Kiislam ili watu waende wakafaidi ahera yao, ni wakati wa kuacha ujinga na kuamini kuwa CCM au Kikwete anmaweza kutulinda, ulinzi pekee ni kupiga marufuku Quran na Hadith ambazo ndizo zenye mafundisho ya aina hiyo ya tabia.

Serikali haiwezi kufanya lolote juu ya hawa watu wanao Ua kwa kumtendea vema mungu wao ALLAH.Wakristo Zindukeni
Serikali ina uwezo kabisa tena mkubwa wa kuzuia haya ndo maana miaka ya nyuma haikua kwa kiasi hiki! Sio kwamba walikua hawataki la hasha ni kua serikali iliikua makini haikuruhusu haya mambo yasemwe bila kukemewa! Sasa kaja huyu mdini baasi kacha kila kitu kijiendee na moto wake huu kuuzima tena ni vigumu!
Zaidii tutaishia kuana wenywewe wakati wao wakiomba hifdhi nchi za nje
 
Hakika damu na roho za wapendwa wetu zitakuwa mikononi mwa hawa wadhalimu,
RIP baba Mushi
 
Wewe ni Mnafiki, tena Mnafiki wa kutupwa acha unafiki wako wenyewe waslamu walishatangaza vita na wakristo huko zanzibar hizi ripot ya kitu chenye acha kali wala ilikuwa sio risasi Tuziache tutumie utashi ali yotujalia mwenyezi Mungu.
mwambie huyo ---- aelewe
 
Mambo ya kusikitisha na ya hovyo hivi ni aibu ya wenye mamlaka.Kiongozi mzima tena waziri mkuu unasema tuendelee na mazoea utadhani hakuna utawala wa sheria,inasikitisha sana na ni aibu
'
JK,wale waliochoma makanisa Znz wako wapi?
'
Wale waliochoma kanisa Dsm wako wapi?
'
Wale waliompiga risasi padri Amrose wako wapi?
'
Wale waliofanya mauaji Buseresere wako wapi?
'
Hivi nikisema serikali yako na jeshi la polisi vyote ni vya hovyo nitakua nimekosea?
'
Hii serikali "sikivu" iko likizo?
"
Leo Wakristu wamechoka na hawa "watu wasiojulikana"
'
Nao wakiamua kwenda front line mtawalaumu?
 
Nalog off, nakwenda kanisani sasa hivi misa ya pili, nitawasikiliza mapadri wetu wana kauli gani juu ya hili, wakileta porojo leo kwa mara ya kwanza nitawaonesha kwamba hata viongozi wa dini tuna uwezo wa kuwapinga now days. i will back later.
kuna watu wamekaa kipropaganda wakati wenzao wana kufa tuache propaganda , Tuwambie wenzetu waislam huko Zanzibar mambo yanayoyafanya sio Mazuri tunakoelekea ni kubaya zaidi sasa kama wewe unaleta propaganda , wenzenu wakristo huko Zanzibar wataendelea kuuwawa. Wakeemeni kwa mabaya wanayo yafanya ,tuache Siasa jamani kwenye Mambo Serious
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom