Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Mungu ailaze roho ya padre mahali pema panapomfaa, huyo amukuwa shujaa wa imani, ooh Yesu wangu, kwa nini hauji kulinyakua kanisa lako?
 
Hapana.Unakosea Ndugu.Nadhani Si Sahihi Ukisema Waislamu Wanawachukia Wakristu.I Think This Is Just A Cover Of 'something fishy' That You And I Might Not Be Aware Of.Kwanini Tusiliangalie Kwa Kina Hili Suala Na Tulinganishe Na Vuguvugu La Wanzanzibari Kutaka Uhuru Wao Kutoka Muungano Wa Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania??Sidhani Ni Sahihi Kuendelea Kusema Kina Fulani Wanawachukia Kina Fulani...Tuwe Taifa Kwanza....Lenye Misingi Ya Heshima Kwa Haki Za Binadamu Ndipo Dini Itafata.
 
Kauli za kinafiki kama hii zinaudhi kweli. Wakristu Zanzibar wanadai kumekuwa na direct threat tangu kupigwa rrisasi kwa padre Ambrose, halafu hata tunajaribu ku-play politics kwenye mambo ya msingi na hatari kwa taifa.

Baada ya tukio hili la leo wakristu waliendelea kukusanyika kanisani ili kuwarahisishia kazi wauaji. Wanadai kwamba polisi kama kawaida watakuja kwenye eneo la tukio na kuangalia kisha watasema ni ujambazi, na wala hakuna hatua yoyote itakayochukuliwa. Hakamatwi mtu.

Wewe ndiye utakuwa mnafiki hivi hujaona au kusikia padri anatembea na mke wa mtu?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
JK kama kawaida yake atasubiri vikao vya CCM ndio atalaani mauwaji haya, sijui Amiri jeshi mkuu wa nchi hii ni nani!! nimefarijika sana na Barack Obama jinsi alivyolishughirikia swala la mauwaji ya watoto na akawaaidi Wamarekani kwamba halitatokea tena na akaamuru sheria kali ziundwe mara moja za umilikaji silaa.

Huyo ndio Amiri jeshi mkuu, siyo mtu anayependa kwenda misibani badala ya kuzuia vifo ili kupunguza safari za misibani, mtu anayewaza kupanda ndege muda wote ni wa ajabu sana.
JK janga , na ukiona anavyokemea sasa! Yaana kaama anawambia endeleeni hapo hamjafanya kitu!
 
Huu ni wakati wa action TEC mko wapi ??? Hatuwezi kukaa kimyaaaaa huku mapadre wetu wanauawa. Nyie ni viongozi wetu hata kama bible inakataza kulipiza kisasi basi tupeni mwongozo wa ama kufunga na kuomba au kuchukua silaha. Imeniuma sana. Tumsifu Yesu Kristu
 
UMESAHAU, hakuna kuwa wapenzi wa Kiislam, tuhame nchi kwa vile RAIS ni muislam, Zito Kabwe atolewe Chadema

Wewe sasa unakwenda vibaya. Unadhihirisha yale wezako wameyaficha.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Tatizo wewe ndio unayeandika propaganda Zanzibar kanisa halikuanza jana; soma historia ya kanisa; upo uwezekano labda alikuwa haelewani na mmoja wa kondoo aliokuwa akiwachunga; hivi wewe hujasikia padri ametembea mke wa muumini kanisani? au padri kapora mke wa mtu? si mnao mfano hai! Upo uwezekano mkubwa tu kauliwa na muumini mwenzake; mtu hatoki tu nyumbani kwake na kusema leo nikaue padri labda kama ni mgonjwa wa akili

Chama
Gongo la mboto DSM


Mkuu chama

Nikweli nakubaliana na wewe kanisa halikuanza jana ni ukweli usiopingika.

Kwa Dhana hiyo hiyo unaweza pia kutueleza kwanini kwa kipind kifupi zaidi ya makanisania 20 yamwchomwa moto

ukilinganisha na misikiti ambayo kwa bahati mbaya sina kumbukumbu mingapi imechomwa huko zanzibar Rejea kauli yako kwenye redi hapo juu.
 
Hivi hii habari inasema kuwa padri kauawa na waislam au padri kapigwa risasi na watu wasiojulikana. What if kama hawa watu walikuwa na personal interest zao na padre na sio suala la imani za dini. Tuache kukurupuka na kukimbilia kutoa mawazo yetu yaliyojaa hisia bila kuwa ushahidi wowote wa kushutumu bila kuwa na uhakika. Tuache polisi ifanye kazi yao na mwisho wa siku waje na ripoti yao. Huu u greet thinker wa humu JF naanza kupata mashaka nao siku hizi, naona member wengi ni waropokaji wasio na fact zozote na huku wasiojua nadhara ya wanachokiropokea.

wazo zuri ila unaamini polisi? Wameua Morogoro, Iringa, Tarime n.k. Anayeamini hii polisi ni kichaa
 
Mbona naona karibia kila mtu anamsema Kikwete na Serikali yake?nani kakuambia anaupendelea Uislam?au Imani yake ndo mnamuhusisha,,ingekua hivyo angewapa mahakama ya kadhi,angeshatoa dhamana kwa Ponda au angehudhuria kwenye msiba wa Sheikh Nassoro Bacho Zanzibar lakin hakwenda,,akaenda kwenye sherehe za kusimikwa maaskofu na km haitoshi akaenda kwenye mazishi ya Laizer,,,mmemlelea ktk mfumo kristo wala waislama hawatak kumsikia labda chama cha BAKWATA
 
JK janga , na ukiona anavyokemea sasa! Yaana kaama anawambia endeleeni hapo hamjafanya kitu!
Nalog off, nakwenda kanisani sasa hivi misa ya pili, nitawasikiliza mapadri wetu wana kauli gani juu ya hili, wakileta porojo leo kwa mara ya kwanza nitawaonesha kwamba hata viongozi wa dini tuna uwezo wa kuwapinga now days. i will back later.
 
JK kama kawaida yake atasubiri vikao vya CCM ndio atalaani mauwaji haya, sijui Amiri jeshi mkuu wa nchi hii ni nani!! nimefarijika sana na Barack Obama jinsi alivyolishughirikia swala la mauwaji ya watoto na akawaaidi Wamarekani kwamba halitatokea tena na akaamuru sheria kali ziundwe mara moja za umilikaji silaa.

Huyo ndio Amiri jeshi mkuu, siyo mtu anayependa kwenda misibani badala ya kuzuia vifo ili kupunguza safari za misibani, mtu anayewaza kupanda ndege muda wote ni wa ajabu sana.

Mkuu Matola
Kaa chini utafakari kabla kijitia hamasa za kidini

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom