mwakaboko
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,931
- 757
NALAANI MAUAJI HAYO, KWA NGUVU ZANGU ZOTE HAYAKUBALIKI HATA KIDOGO. nadhani huenda hayo yakawa ni maandalizi ya kuelekea uchaguzi 2015, kuna kikundi fulani kinataka watu wasijadili masuala yanayogusa kuinua maisha yao na namna gani wapate watu wazuri wa kuwaongoza, badala yake wajikite kujadili namna ya kuondokana na vurugu badala ya kujadili namna ya kuondokana na umaskini.
ndiyo maana sasa ni vurugu karibu kila kanda ya TANZANIA hakuna utulivu, mara maandamano ya gesi, mara mauaji yasikuwa na miguu wala mikono ya raia wasio na hatia, mara maandamano ya kumtoa mhalifu mr.ponda, mara wizi na uchomaji wa makanisa, mara wachungaji wanakamatwa kisa kwanini wamechinja nyama as if wenye haki ya kuchinja ni muslims pekee, mapadre wanapigwa risasi bila sababu na hata kama kungekuwa na sababu gunning, that is not the right way ni heri wangepelekwa mahakamani-haki itendeke, na KATIKA VURUGU NYINGI ZILIZOKEA HASA ZINAZOHUSIANA NA DINI NI MATOKEO VYA MAKONGAMANO YALIFANYIKA NCHI NZIMA, AMBAPO BAADHI YA VIONGOZI WA DINI YA KIISLAM WALIZUNGUKA NCHI NZIMA WAKIENEZA ZANA YA KUFIKIRIKA WALIYOIPA JINA LA MFUMO KRISO AMBAYO KIUHALISIA HAIPO. WOTE TUNA KUMBUKA JINSI HAWA WATU WALIENEZA MAFUNDISHO YA CHUKI DHIDI YA WAKRISTO, huku wakimlaani Mwl.Nyerere eti aliwaonea sana.
WHAT DID THE GOVERNMENT DO? THEY JUST KEPT WATCHING THE GAME. BAADAYE KIDOGO wale kiislam wa viongozi waliona jina hilo limeshazoeleka miongoni mwao wakaona waje na jina lingine WAKABADILI JINA LA MFUMO KRISTO, sasa walio wengi ukikutana nao katika makongamano yao wanataja MFUMO KATOLIKI, cha kusikitisha zaidi hata Prof. Lipumba nayo yumo, nimeziona kanda ambazo naye anaeneza propaganda za kidini, and our government is just watching, and doing nothing. LEO WAKRISTO WANAUAWA BILA SABABU WENGINE WAMEUAWA ETI KISA WAMECHINJA wanyama wAO wA KULA WAO, WeNGINE WANAPIGWA RISASI SABABU NI WAKRISTO, VERY SAD.SERIKALI, KAMA NI HIVYO BASI ITANGAZE KUWA WENYE HAKI ZA KUISHI ZAIDI YA HAPA TANZANIA NI MUSLIMS NDIYO WATAKAOLINDWA NA SERIKALI, WENGINE WAJICHUNGE WENYEWE.
SALAM ZANGU ZA POLE KWA KADINALI PENGO, MAASKOFU WOTE WACHUNGAJI WOTE, NDUGU ZAKE NA MEMBERS WOTE WA RC.