Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Imethibitishwa kuwa Padre Mushi ameuawa kweli asubihi hii.Nimeipata hii toka kwa padre mmoja aliyeko Zanzibar, It's time to rise up!!!!
 
Nilikuwa natoka Nungwi kwenda kanisani asubuhi na baada ya kusikia tukio hilo ilibidi nirudi nyumbani na kumuomba Mungu atuepushe na matendo maovu haya.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.Amina
 
Hatuwezi kusalimu amri kwa mtu yeyote anayetishia amani yetu kwa kisingizio chochote, ni lazima kupambana na matakwa yoyote yalio kinyume cha matakwa yetu. Tumeapa kuilinda katiba yetu hata ikibidi kuifia. Kauli yako ni watu waoga. Cowardice people never stand on their will. Mtu akisema anamtaka mke wako utamwachia?
Muungano ni Dust Bin iliyokwisha muda wake, ITUPWE!
 
Onesha andiko linalosema "waue watu kwa ajili ya dini!"

Hakuna andiko, ni hadithi tu za mambo fulani ya kale yaliosimuliwa (yanabaki kama hadithi tu), kimsingi tunahimizwa upendo kwa watu wetu na wengine pia. Na ndio maana nimelaani vikali hayo mauaji ya kishetani
 
Let zanzibar go.

Hatu tukiacha Zanzibar ikaenda sio tiketi ya kuwafanya hawa waache kuua Mapadri huko kwani kuna Wakristo Zanzibar,kilicho baki sahivi ni wao kuanza kujitangaza kila baada ya kufanya mauaji!

Ndo tunapoelekea Tanzania yetu hii.Inasikitisha sana
 
Tunaishi kiuadui zaidi kweli kama imani zetu ndizo zinatufanya au zinatutuma kua wenzetu sidhani kama tutafika
 
Acha umbulula wewe,isome habari uelewe.Kwanini ni Wakristo tu?Vile vipeperushi ni vyanini?Nani alivitoa? Kama unadhani vingekuwa ni vya "watu wasiojulikana" serikali ya SMZ ingekua tayari imeshachukua hatua!

Mapadri ni binadamu kama wewe wana mapungufu usirukie tu kudai eti waislamu wamemuua padri; acha vyombo vya sheria vifanye uchunguzi wake; hatuna haja ya kupandikiza chuki za kidini pasipo na uhakika wa sababu za kuuliwa padri

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Ni aibu, fedheha na si busara hata kidogo kwa mtoto wa kike kusambaza chuki....!! Una uhakika kwamba wauaji wamefanya hayo kwa maslahi au kutumwa na Uislamu?! Kwanini kila kinachofanywa na Waislamu mnakihusisha na Uislamu?! Hivi nchi hii Waislamu ingekuwa hawawapendi Wakristo au Wakristo hawawapendi Waislamu unazani nchi ingekalika?! Kwanini mambo yanayofanywa na a small unit of people mna-generalize kwamba ni ya Waislamu? Hakika, watu kama wewe ni hatari zaidi kuliko huyo muuaji kwa maana unajificha kwenye screen na kusambaza chuki!

Acha Dharau zako kwani Mtoto wa kike hana haki ya kutuo Habari, habari imesomwa leo asubuhi Ma redioni kama Break News. na wamesema Padri ameuawa na waslamu Zanzibar sasa wewe unataka aripoti vip? Acha upunguani wewe
 
Eeh Mwenyezi Mungu tusaidie tuondokane na vita hii inayowalenga watumishi wako. Mpunzishe kwa anami mtumishi wako Padre Mushi. Pole kwa ndugu wa marehemu na kanisa katoliki Tanzania na duniani nzima.

Kwani mtu akipigwa risasi ni lazima afe??? Huenda hajafa ila wewe unatanguliza masuala ya RIP mapema badala ya kufuatilia kwanza. Tujue hali yake kwanza kabla ya kuhitimisha.
 
Them Islams can do anything in the name of religion. Upole wa waKristo itakula kwao mkidhani hawa jamaa siku wataacha kisa hamlipizi basi endeleeni kusubiri hadi muishe, wao nia yao nikuwamaliza wote. Hata kwa nchi za kiislamu fully hawaelewani wao wenyewe kama huko Malí, Iraq, syria n.k

Ndio maana halisi ya kuwa na serikali. Kama tukiruhusu kila kundi lijichukulie hatua, then we have a failed state. Ingawa uvumilivu unazidi kwisha lakini ni bora kuipa serikali "a benefit of doubt" kwa ajili ya amani ya kudumu. Tatizo tu ni pale serikali unapouchukulia vibaya uvumilivu wa wakristu kudhani kuwa inaweza kuwalalia ili kuliridhisha kundi jingine. Hakika hawa ndio watakuwa watuhumiwa wa kwanza kama kutatokea genocide.
 
uchunguzi wangu unaanzia hapo! Usikurupuke dogo.
Huna lolote bwegge wewe, uchunguzi huwa unafanyika sehemu ya tukio kwa kuwahoji eye witness, sio umevaa tauro nyumbani uko nyuma ya keyboard unajambajamba tu hapa.
 
Ukicheka na nyani utavuna mabua. Mabaraza ya maaskofu yatoe matamko, na ijulikane kwa jumuiya za umoja wa mataifa kuwa Zanzibar si sehemu salama kwa wakristo. Wanatakiwa kujihami. Amani haitakuja bila ncha ya upanga
 
Hivi hii habari inasema kuwa padri kauawa na waislam au padri kapigwa risasi na watu wasiojulikana. What if kama hawa watu walikuwa na personal interest zao na padre na sio suala la imani za dini. Tuache kukurupuka na kukimbilia kutoa mawazo yetu yaliyojaa hisia bila kuwa ushahidi wowote wa kushutumu bila kuwa na uhakika. Tuache polisi ifanye kazi yao na mwisho wa siku waje na ripoti yao. Huu u greet thinker wa humu JF naanza kupata mashaka nao siku hizi, naona member wengi ni waropokaji wasio na fact zozote na huku wasiojua nadhara ya wanachokiropokea.

kwa taarifa za awali ambazo tumezipata za vitisho na ahadi za kuua, na ukizingatia kwamba kitendo chenyewe kimetokea wakati mtumishi wa Mungu anashuka katika gari yake ili akahudumie kondoo wa Bwana, tena katika siku tukufu ya jumapili... wewe huoni kwamba tukio hili limelenga kutoa message kuhusu uhalisia wa identity ya hao wauaji? unahisi dhumuni lao ni kuficha kwamba sababu kuu ni dini? kama wewe ni great thinker ulipaswa utambue kwamba the "non-kaffirs" wenye chuki na akili fupi kama suruali zao ndio suspects namba moja. sawa kusoma hujui, sasa hata picha huoni??? BLOODY TERRORISTS, natamani niwalaani ila imani yangu hairuhusu.
 
Nafikiri huu ni mwaka wa 3 mfululizo mapadre wanapigwa risasi huko Zanzibar,hivi kuna hatua zozote zimewahi kuchukuliwa kuhusu hii hali?
 
Tatizo umeshalitaja
mbele ya swali lako au unataka upewe tatizo gani tena?
Tatizo ni kuwa waislamu hawatupendi na wana vita na chuki kubwa sana juu
ya ukristo at the same time wakristo wanaendelea kulala usingizi fofofo
wakizani hawa jamaa ni ndugu zetu.

Wakristo hawajalala wapo bize wanataka haki ya kuchinja Ng'ombe mabuchani!
 
Padri Evarist Mushi, ambaye ni paroko wa parokia ya Minara Miwili - Mtoni Zanzibar amepigwa risasi na watu wasiojulikana leo mida ya saa moja asubuhi akielekea kanisani kuongoza ibada.Source: Radio Wapo
Prezidaa wenu huyu kaupalilia udini akifikiri utamsaidia kumbe wapi. Nimeshangaa juzi kaja moshi na arusha kuzika wakati zanzibar kuna shehe bachu wa kuzika. Hivi huyu ubongo wake unafanya kazi? Au ndo mambo yanayoendlea ya kushuriwa na wa gombe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom