Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Kama umefungua redio wapo utasikia wanavyodadavua tukio lilivyotokea.
Poa asante dada mimi am on ma way to church now
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama umefungua redio wapo utasikia wanavyodadavua tukio lilivyotokea.
Ukijibiwa maswali haya unaweza kumfufuwa? acha ujinga.
Tatizo umeshalitaja mbele ya swali lako au unataka upewe tatizo gani tena?
Tatizo ni kuwa waislamu hawatupendi na wana vita na chuki kubwa sana juu ya ukristo at the same time wakristo wanaendelea kulala usingizi fofofo wakizani hawa jamaa ni ndugu zetu.
Habari za uhakika kutoka zanziba zinasema kuwa padre amepigwa risasi mbili kichwani na kufariki japohapo
Amepigwa asubhi hii akiwa njiani kuelekea kanisani kuongoza misa!
Muungano ni Dust Bin iliyokwisha muda wake, ITUPWE!
Hivi hii habari inasema kuwa padri kauawa na waislam au padri kapigwa risasi na watu wasiojulikana. What if kama hawa watu walikuwa na personal interest zao na padre na sio suala la imani za dini. Tuache kukurupuka na kukimbilia kutoa mawazo yetu yaliyojaa hisia bila kuwa ushahidi wowote wa kushutumu bila kuwa na uhakika. Tuache polisi ifanye kazi yao na mwisho wa siku waje na ripoti yao. Huu u greet thinker wa humu JF naanza kupata mashaka nao siku hizi, naona member wengi ni waropokaji wasio na fact zozote na huku wasiojua nadhara ya wanachokiropokea.
Onesha andiko linalosema "waue watu kwa ajili ya dini!"hizo imani za kuuwa watu eti kwa ajili ya dini! Hizo ni imani za kishetani zilizojipandikiza kwenye dini zetu, hivyo inapasa tujichunguze na kuwang'oa mapandikizi wa kishetani katikati yetu. Poleni sana
Tutafakari kwa nini wengi wa viongozi wa dini ya kikristo waliopigwa risasi kule Unguja ni kutoka Roman Catholic wala sio KKKT, Anglican, Moravian n.k???
Hivi hii habari inasema kuwa padri kauawa na waislam au padri kapigwa risasi na watu wasiojulikana. What if kama hawa watu walikuwa na personal interest zao na padre na sio suala la imani za dini. Tuache kukurupuka na kukimbilia kutoa mawazo yetu yaliyojaa hisia bila kuwa ushahidi wowote wa kushutumu bila kuwa na uhakika. Tuache polisi ifanye kazi yao na mwisho wa siku waje na ripoti yao. Huu u greet thinker wa humu JF naanza kupata mashaka nao siku hizi, naona member wengi ni waropokaji wasio na fact zozote na huku wasiojua nadhara ya wanachokiropokea.
Hivi hii habari inasema kuwa padri kauawa na waislam au padri kapigwa risasi na watu wasiojulikana. What if kama hawa watu walikuwa na personal interest zao na padre na sio suala la imani za dini. Tuache kukurupuka na kukimbilia kutoa mawazo yetu yaliyojaa hisia bila kuwa ushahidi wowote wa kushutumu bila kuwa na uhakika. Tuache polisi ifanye kazi yao na mwisho wa siku waje na ripoti yao
Ivi kuna mtu amekataa, wewe ndio hujaelewa, Zanzibar watu wana personal interest zao kwa wachungaji na mapadre, soma vizuri post za wana JF.Hivi hii habari inasema kuwa padri kauawa na waislam au padri kapigwa risasi na watu wasiojulikana. What if kama hawa watu walikuwa na personal interest zao na padre na sio suala la imani za dini. Tuache kukurupuka na kukimbilia kutoa mawazo yetu yaliyojaa hisia bila kuwa ushahidi wowote wa kushutumu bila kuwa na uhakika. Tuache polisi ifanye kazi yao na mwisho wa siku waje na ripoti yao.
Tutafakari kwa nini wengi wa viongozi wa dini ya kikristo waliopigwa risasi kule Unguja ni kutoka Roman Catholic wala sio KKKT, Anglican, Moravian n.k???
CCM damu hii inayomwagika i juu yenu na itawalilia milele yote!!!
Vita vyetu ni vya roho si vya mwili........