Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu akifa basii siku yake imetimmia nini tena chakuoji au kuuliwa ndo sababu eee?
Kauli za kinafiki kama hii zinaudhi kweli. Wakristu Zanzibar wanadai kumekuwa na direct threat tangu kupigwa rrisasi kwa padre Ambrose, halafu hata tunajaribu ku-play politics kwenye mambo ya msingi na hatari kwa taifa.
Baada ya tukio hili la leo wakristu waliendelea kukusanyika kanisani ili kuwarahisishia kazi wauaji. Wanadai kwamba polisi kama kawaida watakuja kwenye eneo la tukio na kuangalia kisha watasema ni ujambazi, na wala hakuna hatua yoyote itakayochukuliwa. Hakamatwi mtu.
JK janga , na ukiona anavyokemea sasa! Yaana kaama anawambia endeleeni hapo hamjafanya kitu!JK kama kawaida yake atasubiri vikao vya CCM ndio atalaani mauwaji haya, sijui Amiri jeshi mkuu wa nchi hii ni nani!! nimefarijika sana na Barack Obama jinsi alivyolishughirikia swala la mauwaji ya watoto na akawaaidi Wamarekani kwamba halitatokea tena na akaamuru sheria kali ziundwe mara moja za umilikaji silaa.
Huyo ndio Amiri jeshi mkuu, siyo mtu anayependa kwenda misibani badala ya kuzuia vifo ili kupunguza safari za misibani, mtu anayewaza kupanda ndege muda wote ni wa ajabu sana.
UMESAHAU, hakuna kuwa wapenzi wa Kiislam, tuhame nchi kwa vile RAIS ni muislam, Zito Kabwe atolewe Chadema
Tatizo wewe ndio unayeandika propaganda Zanzibar kanisa halikuanza jana; soma historia ya kanisa; upo uwezekano labda alikuwa haelewani na mmoja wa kondoo aliokuwa akiwachunga; hivi wewe hujasikia padri ametembea mke wa muumini kanisani? au padri kapora mke wa mtu? si mnao mfano hai! Upo uwezekano mkubwa tu kauliwa na muumini mwenzake; mtu hatoki tu nyumbani kwake na kusema leo nikaue padri labda kama ni mgonjwa wa akili
Chama
Gongo la mboto DSM
RIP Padre Mushi
Udini aliounzisha ndugu yako jk sio wa kuuchekea kwa kweli!Wewe ndiye utakuwa mnafiki hivi hujaona au kusikia padri anatembea na mke wa mtu?
Chama
Gongo la mboto DSM
Hivi hii habari inasema kuwa padri kauawa na waislam au padri kapigwa risasi na watu wasiojulikana. What if kama hawa watu walikuwa na personal interest zao na padre na sio suala la imani za dini. Tuache kukurupuka na kukimbilia kutoa mawazo yetu yaliyojaa hisia bila kuwa ushahidi wowote wa kushutumu bila kuwa na uhakika. Tuache polisi ifanye kazi yao na mwisho wa siku waje na ripoti yao. Huu u greet thinker wa humu JF naanza kupata mashaka nao siku hizi, naona member wengi ni waropokaji wasio na fact zozote na huku wasiojua nadhara ya wanachokiropokea.
Nalog off, nakwenda kanisani sasa hivi misa ya pili, nitawasikiliza mapadri wetu wana kauli gani juu ya hili, wakileta porojo leo kwa mara ya kwanza nitawaonesha kwamba hata viongozi wa dini tuna uwezo wa kuwapinga now days. i will back later.JK janga , na ukiona anavyokemea sasa! Yaana kaama anawambia endeleeni hapo hamjafanya kitu!
kwanini mnasema kuwa waislam ndo wamemuua PADRE?
JK kama kawaida yake atasubiri vikao vya CCM ndio atalaani mauwaji haya, sijui Amiri jeshi mkuu wa nchi hii ni nani!! nimefarijika sana na Barack Obama jinsi alivyolishughirikia swala la mauwaji ya watoto na akawaaidi Wamarekani kwamba halitatokea tena na akaamuru sheria kali ziundwe mara moja za umilikaji silaa.
Huyo ndio Amiri jeshi mkuu, siyo mtu anayependa kwenda misibani badala ya kuzuia vifo ili kupunguza safari za misibani, mtu anayewaza kupanda ndege muda wote ni wa ajabu sana.
Huu ni mpango maalumu naona,ngoja tuone mwisho wake
Wafuasi wa kina shekhe iluga ndo mlivyo! Chuki hii mnayoinyesha haitawasaidia kwa kweliMtabaki kutoa RIP Mashetani wakubwa nyie