jk ni mdini utakataa ila ukweli ndio huo!
Kama ni mdini asingezungukwa na wakristu ndani ya serikali yake; na kama ni mdini asingeingia kanisani kuzika wakristu
Chama
Gongo la mboto DSM
Anafanya usanii mumiani JK
Mbona naona karibia kila mtu anamsema Kikwete na Serikali yake?nani kakuambia anaupendelea Uislam?au Imani yake ndo mnamuhusisha,,ingekua hivyo angewapa mahakama ya kadhi,angeshatoa dhamana kwa Ponda au angehudhuria kwenye msiba wa Sheikh Nassoro Bacho Zanzibar lakin hakwenda,,akaenda kwenye sherehe za kusimikwa maaskofu na km haitoshi akaenda kwenye mazishi ya Laizer,,,mmemlelea ktk mfumo kristo wala waislama hawatak kumsikia labda chama cha BAKWATA
kuna watu wamekaa kipropaganda wakati wenzao wana kufa tuache propaganda , Tuwambie wenzetu waislam huko Zanzibar mambo yanayoyafanya sio Mazuri tunakoelekea ni kubaya zaidi sasa kama wewe unaleta propaganda , wenzenu wakristo huko Zanzibar wataendelea kuuwawa. Wakeemeni kwa mabaya wanayo yafanya ,tuache Siasa jamani kwenye Mambo SeriousBasi tusemeje, juzi Padri Mkenda, Leo Padri Mushi, makanisa kuchomwa moto, na vipeperushi je. Hayo yooote bado ni visa vya binafsi? eeh ndugu basi wasaidie polisi kumkamata huyo mbaya wa mapadre
Zanzibar si salama kwa wakristo
Yeyote asiyeweza kushughulikia mambo sensitive kama haya lazima atiliwe shaka. Dhamira yake ni nini?
Kama kuna kikundi cha watu wanahamasisha kuuwawa kwa watu wengine na serikali inakaa kimya hata pale mauaji yanayofanana na uhamasishaji uliofanywa yanatokea; serikali na kiongozi mkuu mwenye nguvu lukuki za kikatiba wanakuwa wapo likizo visiwa vya comoro au?
Think.
Lakini tusisahau visasi vya kimapenzi, labda jamaa ( paroko ) alikua akiiba mke wa mwenyewe ( muuwaji )
Usanii wake ni upi?
Chama
Gongo la mboto DSM
Mapadri ni binadamu kama wewe wana mapungufu usirukie tu kudai eti waislamu wamemuua padri; acha vyombo vya sheria vifanye uchunguzi wake; hatuna haja ya kupandikiza chuki za kidini pasipo na uhakika wa sababu za kuuliwa padri
Chama
Gongo la mboto DSM
wakristo mtaangamia kwa kujidai hamjui kulipiza..