Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Vislam ni vichache sana hata huku kijijini kwetu havizidi 20 hivyo tunasubiri tamko toka kwa viongozi wetu ili tuwaonyeshe chamtemakuni kwa sasa hakuna cha ndg gaidi au jini ni kufyeka kwenda mbele nyie magaidi wakubwa manywa kahawa na wapiga majungu vijiweni hakika tumechoka kuonewa na haya mafisi yana roho utafikiri hayakuzariwa na binadamu dawa yenu ni kuwatokomeza ninyi na watoto wenu wote.
 
Ni kama masihara vile lakini mvua ndo imeshaanza kunyesha VITA VYA KIIMANI tofauti kabisa na hadhi ya mtanzania. Tunakoelekea ni kubaya zaidi, kwani Serikali yetu haija amua kuchukua maamuzi ya dhati.
 
Yeyote asiyeweza kushughulikia mambo sensitive kama haya lazima atiliwe shaka. Dhamira yake ni nini?
Kama kuna kikundi cha watu wanahamasisha kuuwawa kwa watu wengine na serikali inakaa kimya hata pale mauaji yanayofanana na uhamasishaji uliofanywa yanatokea; serikali na kiongozi mkuu mwenye nguvu lukuki za kikatiba wanakuwa wapo likizo visiwa vya comoro au?

Think.
Kama ni mdini asingezungukwa na wakristu ndani ya serikali yake; na kama ni mdini asingeingia kanisani kuzika wakristu

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mbona naona karibia kila mtu anamsema Kikwete na Serikali yake?nani kakuambia anaupendelea Uislam?au Imani yake ndo mnamuhusisha,,ingekua hivyo angewapa mahakama ya kadhi,angeshatoa dhamana kwa Ponda au angehudhuria kwenye msiba wa Sheikh Nassoro Bacho Zanzibar lakin hakwenda,,akaenda kwenye sherehe za kusimikwa maaskofu na km haitoshi akaenda kwenye mazishi ya Laizer,,,mmemlelea ktk mfumo kristo wala waislama hawatak kumsikia labda chama cha BAKWATA


1. kwa akili ya kawaida Ilunga ameamuru maasikofu na mapadri kuchinjwa hadharani, kwanini kikwete hajamkamata kwa kauli tata nayakichochezi kama hiyo?


2. Mpaka sasa zaidi ya makanisa 20 yametekezwa zanzibar ni kesi ngapi na watu wangapi wamehukumiwa? Kikwete anafanya jitihadagani kuhakikisha mwema na Nchimbi wanawajibika kuisimamia katiba na amani kurejea kwa watanzania wote?

Tunamhusisha Kikwete moja kwa moja na upumbavu unaondelea kwasaababu Yeye kama amirijeshi mkuu analia na kuimba majukwaani wala hachukuwi hatua. Amekuwa mwepesi sana kushughulikia marehemu (wafu) badala ya waliohai hizo nazo akili?

3. Ulitaka tumtupie lawama nani? Sisi kama watanzania wapenda amani (wakristu, waislam, dini zingine na wapagani pia) tunaona wazi wazi Kikwete ndiyo sababu kwasababu ndiye mwenye kauli ya mwisho kikatiba na hachukui hatua na hali inazidi kuwa mbaya zaidi Mwanza, Geita, Zanzibar nk
 
Lakini tusisahau visasi vya kimapenzi, labda jamaa ( paroko ) alikua akiiba mke wa mwenyewe ( muuwaji )
 
Basi tusemeje, juzi Padri Mkenda, Leo Padri Mushi, makanisa kuchomwa moto, na vipeperushi je. Hayo yooote bado ni visa vya binafsi? eeh ndugu basi wasaidie polisi kumkamata huyo mbaya wa mapadre
kuna watu wamekaa kipropaganda wakati wenzao wana kufa tuache propaganda , Tuwambie wenzetu waislam huko Zanzibar mambo yanayoyafanya sio Mazuri tunakoelekea ni kubaya zaidi sasa kama wewe unaleta propaganda , wenzenu wakristo huko Zanzibar wataendelea kuuwawa. Wakeemeni kwa mabaya wanayo yafanya ,tuache Siasa jamani kwenye Mambo Serious
 
halafu nyie muslim popote pale,mnaofanya hivi vitu,msifikiri kukaa kwetu kimya wakristo ni wajinga!tunajua mnatafuta pa kuanzia,bt mungu wetu atawaadhibu vibaya!
Yaani mna roho mbaya km nn!!ss hapo mmepata faida gani!(ama kweli ufunuo wa yohana unatimia)hakika huyu ni mpinga kristo!!
 
Very sad moments....still, sipendi kusema Waislamu si ndugu za Wakristo katika hili! Hicho kikundi ndo maadui! Na hao wanaokaa kimya bila kutoa ulinzi katika ishara hizi zote watapata thawabu yao siku si nyingi! Tuombe amani idumu!
 
Yeyote asiyeweza kushughulikia mambo sensitive kama haya lazima atiliwe shaka. Dhamira yake ni nini?
Kama kuna kikundi cha watu wanahamasisha kuuwawa kwa watu wengine na serikali inakaa kimya hata pale mauaji yanayofanana na uhamasishaji uliofanywa yanatokea; serikali na kiongozi mkuu mwenye nguvu lukuki za kikatiba wanakuwa wapo likizo visiwa vya comoro au?


Think.

JK sio kiongozi wa kijiji ni raisi wa nchi na kuna viongozi wapo chini yake viachieni vyombo vya sheria

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Lakini tusisahau visasi vya kimapenzi, labda jamaa ( paroko ) alikua akiiba mke wa mwenyewe ( muuwaji )

kuna watu wamekaa kipropaganda wakati wenzao wana kufa tuache propaganda , Tuwambie wenzetu waislam huko Zanzibar mambo yanayoyafanya sio Mazuri tunakoelekea ni kubaya zaidi sasa kama wewe unaleta propaganda , wenzenu wakristo huko Zanzibar wataendelea kuuwawa. Wakeemeni kwa mabaya wanayo yafanya ,tuache Siasa jamani kwenye Mambo Serious
 
this is the most sad news to listen but this was the most expected news. so sad about the father who passed away but the most important thing is that we still don't know the reason or the cause for his death. i argue that we nee to wait for the investigation then we can judge on the facts provided by the officials.still we don't know what happened behind the scene.

although their lot of guys will be suspected in this case but let us remember that no one is guilty until proved so. Kwa wa kristu wenzangu hatuna haja ya kutafuta kisasi but the only solution nikuiombea nchi yetu kwani mpaka sasa ili suala limesha zua lot of speculation. so lets stay together hope to find the solution with this matter. Mr president i hope this tyme you need to dig deep on what is happening cause i can see utaiacha nchi pabaya.
 
Mapadri ni binadamu kama wewe wana mapungufu usirukie tu kudai eti waislamu wamemuua padri; acha vyombo vya sheria vifanye uchunguzi wake; hatuna haja ya kupandikiza chuki za kidini pasipo na uhakika wa sababu za kuuliwa padri

Chama
Gongo la mboto DSM

polisi? Usalama? My God, umechanganyikiwa wewe! Mlipanda chuki ya udini, muda wa palizi huu bado mavuno
 
padri Mushi wa zanzibar apigwa risasi kichwana na kufa alikuwa anaenda kufanya ibaada..
Itv breaking news.
 
wakristo mtaangamia kwa kujidai hamjui kulipiza..

Hatujidai hatujui, ni kweli hatujui kulipiza, imani yetu haikutufundisha hivyo, wanaofanya hivi ni watu wachache wanaotumiwa na watu wachache kwa kutumia jina uislam, waislam shtukeni dini yenu inapakwa matope na watu wachache, wakristu na taasisi zao wakiamua kuwatenga mtaishi maisha ya shida sana hapa Tanzania.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom