Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.

sijui hasira, nime note makosa 9 ya lugha. Tumia lugha mama kupunguza Milugo
 
Mungu amlaze mahala pema peponi, Amen!
Huu udini anaolea rais dhaifu madhara yake ni mabaya sana, tunahitaji kumwomba Mungu sana.
 
Dah kweli waislamu mnakera mbaya! Mungu awarehemu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
mashetani hao dhidi ya mwenyezi mungu. Dini ya mungu haipiganiwi kwa mitutu. Hawajiamini na majini yao
 


Kumbe wamesema ni waislamu ndiyo waliomuua? Au ni nafsi yako tu ndiyo inakutuma kuandika ukipendacho?
 
Sheria ndio inasema hivyo kwamba mtu wa kawaida haruhusiwi kumiliki silaha lakini wapo waliokuwa nazo silaha na ndio maana wanafanyia uhalifu baadhi yao maana matukio kama hayo ni mengi sana siku hizi kama mnakumbuka wakati wa Ramadhani watu wawili walipigwa risasi na baada ya kupigwa Fathe Ambrose pia kuna mgeni mmoja kutoka Asia alipigwa risasi kama siku tatu tu baada ya tukio la Father na alipigwa kule Mazizini ni matukio ya kusikitisha
 
RIP Fr.Mushi,huku sasa tuendako kunatisha,mkuu wa kaya na watu wake wamekaa kimya dhidi ya mambo kama haya yanaligusa taifa zima...watanzania wanateketea bila hatia kwa kuwa tu ni wakristo na hakifanyiki chochote watu wako busy tu wanadiscuss gesi.Mtazamo wangu waweza kuwa si sahihi ila picha ninayoiona mbeleni si shwari,wafuasi wa hawa tunaowaondoa duniani wataishiwa uvumilivu muda si mrefu na kitakachotokea hapo ni machafuko,Mungu tuepushe na hili ila bila serikali yetu kufanya kazi yake halikwepeki
 

U see!!?
Na hapa mtaani kwetu ni shida!,wameona kuna kanisa nao wamekuja kufanya madrasa hapo2 na purposely!hivi y jamani?mbona sisi tunawapenda sana nyie mna nn km sio mashetani/mapepo!!
 
Hili suala sio la dini ni suala la uhalifu kwa sababu waliopigwa akina Ba Hamadi na wale kina Suleiman walipigwa jee tuseme wamepigwa na wakristo? Nadhani tusende katika suala la dini tuite ni uhalifu tu kwa sababu uhalifu hauna dini na uhalifu hautazami sura wala kabisa, watu wenye kufanya uhalifu ndio wenye kutuletea matatizo kwa hivyo ni shida tunayo kwa sasa
 
Raha ya Milele umpe Ee Bwana na mwanga wamilele umwangazi mtumishi wako Padre Mushi apumzike kwaamani Amina.
 
Very sad indeed!
Nakwenda kanisani sasa hivi walau nikamwombee; na kuiombea Tz isitawaliwe na shetani.
 
Myaonapo haya, changamkeni na muutafute kwa bidii utakatifu maana Mwana wa Adamu yuaja upesi. Katika zama zile wanafunzi walipokaa Yerusalemi bila kupeleka injili mpaka miisho ya dunia, Mungu aliruhusu kanisa liteseke ili wakimbie kwenda mahali mbali mbali tukaupata Ukristo tulio nao kwa sasa. Tukaribiapo mwisho wa historia ya dunia Wakristo wa leo wanahitaji kuhubiri kwa nguvu zaidi maana teknologia inaruhusu. Watu wana kiu na neno la Mungu ili watoke Babeli na wakristo wamekaa, wakila na kunywa kwa furaha, Mungu hawezi kuruhusu, na ataruhusu mengi zaidi ya haya yatokee ili imani ifuliwe. Alifanya kwa mitume hawezi kuacha kwa kanisa la mwisho maana limeasi amri ya kupeleka injili kwa watu.
 
Zanzibar ni nchi ya kiislam, waacheni na ustaarabu wao..! Unawaza kujenga msikiti pale Vatican?
 
Yesu aliwaambia wafuasi wake.
Tena, wakati unakuja kila ataewaua nyinyi atadhani anamuhudumia Mungu, watawatendeeni mambo haya kwa sababu hawanijui mimi wala hawamjui Baba. Basi nawaambieni mambo haya ili saa yake ilkifika mkumbuke kwamba niliwaambieni (YOHANA 16:1-4)

Ndugu zamgu wakristo, maneno hayo juu Yesu aliwataadharisha wanafunzi wake, hivyo msione ajabu kwa maana shetani yuko kazini.
HERI YAKE PADRE MUSHI AMEKUFA KWA SABABU YA JINA LA YESU. HUU NDIYO MWANZO WA UKOMBOZI

WAKRISTU KUWENI WAPOLE, MSILIPIZE KISASI KWA MAANA HAO NDUGU ZETU HAWAJUI WALITENDALO. LAKINI YESU ATASHINDA.

AMENI, APUMZIKE KWA AMANI

 
CCM damu hii inayomwagika i juu yenu na itawalilia milele yote!!!

Nakubaliana na wewe. Hii ni damu inayomwagika kwa sababu ya uzembe wa ccm na hasa kikwekwe. Kwa sababu ya uongozi mbovu chama kimekosa nguvu ya kukemea maovu kama haya yanayotokana na chuki za kidini. Kwa hali tuliyonayo sasa watanganyika, ni bora chama kingine kishike madaraka na siyo hiki chama cha mafisadi.
 

Coment yako imejaa malalako tu. Umenifanya niangue kicheko wakati tupo kwenye maombolezo ya paroko.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…