Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.


WAKRISTU KUWENI WAPOLE, MSILIPIZE KISASI KWA MAANA HAO NDUGU ZETU HAWAJUI WALITENDALO. LAKINI YESU ATASHINDA.



Sawa hatulipizi kisasi lakini hao wehu wanajua walitendalo, ati kuufuta ukristu. Ukristu haufutwi kwa kumuua padri mmoja, hata ulipue waumini waliojazana kanisani bado ukristu utaendelea kumea na kukomaa. Waislamu endeleeni na part II, II hadi M, dawa yenu tunaijua
 
Wee vipi?unauliza vumbi store?ambacho huelewi hapa nn?au hujui kinachoendelea nchini?,soma comment za watu uelewe!au huelewi maana ya udini?
haya basi umemuua ww!

Come on my sister!You are a Great thinker, don't rely on mere comments from JF members. Suala lipo chini ya polisi acha uchunguzi ufanyike tujue mbivu na mbichi. Juzi mtu kapost uzi hapa anasema Mtawa wa kikatoliki kahukumiwa jela au faini ya laki saba kutokana na kosa la kutembea na mume wa mtu, Vatican ilitikisika mpaka papa kaachia ngazi kutokana na makosa ya mapadre kulawiti watoto, dunia hii inamengi sana usikariri kuwa adui wa padre ni muislam tu, Ireland ya kaskazini hakuna uislamu lakini Anglican na Catholic wanachapana si mchezo.

Hebu tuvute subira uchunguzi wa polisi umalizike.
 
Bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe. Kila mauti itaonja mauti.
 
Tusubiri tusikie mengi muda si mrefu, mara ooh alikuwa na mhusiano na mke wa mtu, mara ooh ni CHADEMA kama kawaida utaona msiba huu watu wanaanza kujijenga. Lakini lazima tukubali kuwa kuna mahali tulipokosea mwaka 2010 wakati wa kampeni. Tuliruhusu kulishwa propaganda ya udini, na kama ilivyo desturi ya binadamu huwa anasubiri mkubwa aanze yeye afuate. Suala hili lilihubiriwa majukwaani mchana kweupe sasa madhara yake tunayaona. Waliohubiri sasa hivi wanajifanya kutoa kauli za kujifanya hawajui kinachotokea. Inashangaza kiongozi mwenye akili anasema, "mauaji ya kidini ni fedheha", mara "inashangaza hapa tulipofikia" mara "huko tunakoelekea siko" hakuna anayesema nini cha kufanya. Tusubiri tuone, watakapogeukiwa wao ndo watajua nini maana ya walichohubiri 2010, miaka mitatu iliyopita. Muda utaamua.........
Wee vipi?unauliza vumbi store?ambacho huelewi hapa nn?au hujui kinachoendelea nchini?,soma comment za watu uelewe!au huelewi maana ya udini?
haya basi umemuua ww!
 
Juzi nilipost thread yangu kuwa WAISLAM WANATEKELEZA MAAGIZO YA SHEKHE ILUNGA HASSAN lakini mods wakaifuta. haya sasa padre kauawa. but no problem, mungu amlaze mahali pema
 
Ehe! Tunamwombea padri mushi na kumtakia amani ya milele, lakini kwetu wafuasi wake tuliobaki hai, tuwe na subira, kwani polisi naamini watafanya kazi nzuri. Ukweli ni kuwa aliyempiga risasi padri huyu hajafahamika, na kwa sababu hiyo tusianze kuwatuhumu waislamu, kwa sababu kuna sababu nyingi zinazoweza kumfanya mtu apigwe risasi. Nyingine za madaraka, nyingine za mali, nyingine za urithi nakadhalika. Tunapowatuhumu hawa watu, tunaonesha wazi kuwa tunawatambua kama wauaji, na si kama watanzania wenzetu. Sote ni ndugu, mpemba na mzalamo, wa bara na wa visiwani, mwislamu na mkristo. Tuache polisi watoe mwafaka baada ya upelelezi, na haki itapatikana. Nawaombeeni nyote amani na uvumilivu. UTUKUFU WA MUNGU UTAENDELEA KUINULIWA. MUNGU TUBARIKI TANZANIA.
 
ndugu unasubiri mwisho wake,una uhakika gani kama utaufikia kwa hali hii...............muombe MUNGU,hii ni vita,atushindie!


Huu ni mpango maalumu naona,ngoja tuone mwisho wake
 
Tatizo wewe ndio unayeandika propaganda Zanzibar kanisa halikuanza jana; soma historia ya kanisa; upo uwezekano labda alikuwa haelewani na mmoja wa kondoo aliokuwa akiwachunga; hivi wewe hujasikia padri ametembea mke wa muumini kanisani? au padri kapora mke wa mtu? si mnao mfano hai! Upo uwezekano mkubwa tu kauliwa na muumini mwenzake; mtu hatoki tu nyumbani kwake na kusema leo nikaue padri labda kama ni mgonjwa wa akili

Chama
Gongo la mboto DSM


Endelea tu kupotosha lakini wakati ukifika hata hichi unachopindisha hapa pengine kikaangamiza familia yako na kizazi chako chote.Matukio yote yanayotokea kwa kipindi hichi hasa vifo vya mauaji kwa wakristo/uchomaji wa makanisa na uharibifu wa mali za wakristo unafikiri watu hawaoni picha lenyewe?Usifurahie kifo kwa binaadamu mwenzio,mbona Watanzania tumekuwa wanyama kiasi hichi?
 
Tutafakari kwa nini wengi wa viongozi wa dini ya kikristo waliopigwa risasi kule Unguja ni kutoka Roman Catholic wala sio KKKT, Anglican, Moravian n.k???

Hakuna cha kutafakari hapo, acha kutuaminisha kuwa kilichofanyika ni sawa. Yawezekana pia ukawa unahusika kwasababu nimefuatilia comment zako tangu awali unaonekana kuhalalisha mauwaji. Ni kupelea kwa ubongo tu ndiko kunakoweza kumfanya binadamu ajustify ugaidi kama huu....Hata september 11 Osama alikaririwa akisema "Mungu (allah) ni mkuwa"....Hamjuwi tu mfanyalo ndicho nachoweza kusema kwa sasa.

RIP Fr. Mushy
 
Ewe Mwenyezi Mungu, tunakuomba utuondolee laana hii inayotunyemelea ya vita vya kidini hapa nchini kwetu. Utuepushie mbali na watu wote wenye lengo la kuvuruga amani tuliyonayo hivi sasa. Waliohusika kumuua Padre huyu wakamatwe haraka sana.
 
Nawaomba wakristo popote mlipo kuanzia leo chukueni hatua hizi. Hakuna kununua chochote kwenye duka la mwislam hakuna kupanda gari ya mwislam hakuna kununua kwenye genge la mwislam kila mmoja ajue kwamba uislamu ni ugaidi usimwamini mwislam popote utakapo kutana naye muone kama adui mkubwa wa ukristo na uwe tayari kwa wakati ukifika wa kuifia dini yako tukufu maana wakimaliza kuuwa viongozi wataanza na waumini hivyo tuungane kutokomeza ugaidi wa kiislamu popote pale na misikiti yao iliyojaza makopo machafu ya kunyea iteketezwe popote pale R.I.P mushi

Mawazo ya kitotooo.
 
Waislam wanataka nini jamani kutoka kwa wakristu, tuliwaibia nini, tulikula nini chao, tuliwanyang'anya nini na hata watoe uhai wetu. Nadhani Kikwete amewalea na wameleleka, sasa muda wa kutegemea serikali kulinda uhai wetu umefika ukomo tutajitetea wenyewe. Wao waendelee kulinda Chadema wasiandamane.
 
kuna kitu kinaandaliwa kwa AMANI ya tanzania.haya yatokeayo sidhani kama hayani muasisi wake.
 
Mungu wetu wa Israel shughulika na tatizo hili.
Pumzika kwa amani Padri.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom