Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Bwana Mungu uishie patakatifu, ikiwa haya ni mapenzi yako basi na yatimie.
Mkono wako ulio mkuu hautakaa kimya. Amen
 
Nina mashaka na wewe, huenda unahusika kwa namna moja au nyingine!
 
Hivi huwa hata Jeshi lenye uchungu na wananchi wake huwa hatuna baada ya jeshi la Polisi kununuliwa na Serikali? Ina maana wao hawaoni tatizo kuwa nchi inaenda kuteketea? Wao hawana ndg yeyote atakayeathirika na hili? Nisionekane nachochea jeshi kuasi kama mwana Halisi
 
ni wakatiwa mkuu wa giza kutawala,lkn kwa kuwa tumehakikishiwa ushindi...porojo zenu haziwezi kutukatisha tamaa


 
Duh Mkuu hicho kidhungu, utakuwa ni mgeni hapa TZ eehe?


 
Yule mwingine walishindwa kufanikisha kuondoa uhai wake hatimaye wamefanikiwa.RIP Padre Mushi
 
Walioua wamekwisha kuandikiwa thawabu yao kwa Allah, sisi tubaki tunalaumiana wenyewe kwa wenyewe tu. Tusubiri tuone, muda utaamua.........


We hao wanakwenda motoni kama ni waislam au ni wakristo haijalishi wataishia motoni yaan jehenam sawa ustadh!.

Nan amekuambia mungu hupiganiwa? Mungu amekuumba wewe alafu akutegemee kufanya maamuzi? anauwezo nakufanya lolote atakalo kwa waaki na mahala aendapo.

Ukiuwa Roho ya mwanadamu mwenzako hakuna cha thawabu wala peponi umeuwa roho ya mtu wa mungu wewe ni

jehenam tu. Usijidanganye na mafundisho ya kipuuzi eti ukipigania dini unaenda peponi, pepo gani kama sio motoni?
 
Bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe. Kila mauti itaonja mauti.

Acha kumsingizia Mungu wewe! Hivi ata kama akili yako ni ndogo hapa bwana amehusika vp? Kupiga risasi?..... Acha hizo bwn
 

Kaka yangu!mambo mangapi yamefanyiwa uchunguzi n still hakuna yaliyochukuliwa hatua?
Tuongee ukweli,kesi za hivi ni ngapi na ipi imefanyiwa kazi?....haya wht abt vipeperushi ambavyo wamevisambaza kuhusiana na tukio?
 
Kwahiyo ulitaka upewe wewe kazihiyo? Tumuache Rais wetu aongoze nchiyeto kwa amani.

Amani gani, hii ndiyo amani? watu wengine waishi wengine wafe acha ujinga huo.

Majuzi aliuawa sheikh kule Mombasa waislamu wa huku tz mlipiga kelele sana na sheikh akawaambia nanyi muue.

Leo hii padre ameuawa unatuambia masuala ya amani, hapa cha msingi ni kuviziana mmoja kwa mmoja.
 

Aksante mkuu Kakende, Unabii huu wa Bwana wetu Yesu Kristo unaendelea kutimia kati yetu..Alijua watakuwepo nawatatufanyia haya akatuonya kabla!
 
Last edited by a moderator:
Mungu amlaze mahala pema padri wetu alietangulia mbele ya haki kwani wote njia ni moja.
Tukumbuke kuwa vita yetu si ya damu na nyama bali ni ya falme na mamlaka na mungu wetu atatupigania?
What a sad day for zanzibar's christians
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…