dickson longo
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 232
- 52
Rest in peace padre.ya huzunisha sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa kwanini tusiwaachie kisiwa chao?!
watanganyika musijaribu kupoteza malengo ya wazanzibar juu ya katiba mpya ya kudai nchi yao kwa kisingizio vya wakristu wanao pigwa risasi
kwa karibuni watu waliopigwa risasi ni wengi sana zanzibar bahamadi mfanya biashara maarufu alipigwa risasi, suleiman naye alipigwa risasi
kuna mgeni kutoka nchi za asia alipigwa risasi baada ya siku tatu tangu kutokea tukio la father ambrose kule mazizini
wakati wa ramadhani watu wawili walipigwa risasi na baadae kupigwa father ambrose
katiwa acid shekhe fathil sauraga na katekwa shekhe faridi
sasa haya matukio ni idadi kubwa ya waliofanyiwa ni waisilamu je tuseme wameyafanya wakristu
hapa ni kutafutwa nani anamiliki silaha na nani anafanya uhalifu huu ikiwa tukisema kwa kufurahisha nafsi zetu basi itakuwa tukitatuwa matatizo mazito ya jamii kwa wepesi kama serekali ya kimagamba
Those people who involved to shot, and killed Padre Mushi. This morning
are well-known in Zanzibar. And all people knew them, including the Govt
of Zanzibar. So here we want to see the immediately arrest without delaying,
for the responsible of the killing.
Let zanzibar go.
So RIP kama ni kweli.
Walioua wamekwisha kuandikiwa thawabu yao kwa Allah, sisi tubaki tunalaumiana wenyewe kwa wenyewe tu. Tusubiri tuone, muda utaamua.........
Bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe. Kila mauti itaonja mauti.
Come on my sister!You are a Great thinker, don't rely on mere comments from JF members. Suala lipo chini ya polisi acha uchunguzi ufanyike tujue mbivu na mbichi. Juzi mtu kapost uzi hapa anasema Mtawa wa kikatoliki kahukumiwa jela au faini ya laki saba kutokana na kosa la kutembea na mume wa mtu, Vatican ilitikisika mpaka papa kaachia ngazi kutokana na makosa ya mapadre kulawiti watoto, dunia hii inamengi sana usikariri kuwa adui wa padre ni muislam tu, Ireland ya kaskazini hakuna uislamu lakini Anglican na Catholic wanachapana si mchezo.
Hebu tuvute subira uchunguzi wa polisi umalizike.
Ndugu zetu waislam
Ndugu zetu Uamsho
Uvumilivu sasa unafikia kikomo
Kwahiyo ulitaka upewe wewe kazihiyo? Tumuache Rais wetu aongoze nchiyeto kwa amani.
Yesu aliwaambia wafuasi wake.
Tena, wakati unakuja kila ataewaua nyinyi atadhani anamuhudumia Mungu, watawatendeeni mambo haya kwa sababu hawanijui mimi wala hawamjui Baba. Basi nawaambieni mambo haya ili saa yake ilkifika mkumbuke kwamba niliwaambieni (YOHANA 16:1-4)
Acha kumsingizia Mungu wewe! Hivi ata kama akili yako ni ndogo hapa bwana amehusika vp? Kupiga risasi?..... Acha hizo bwn