Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Hivi kwani walishatangaza padre kauliwa na waislamu hivi mtu anaeamrisha watu wauawe alafu yy anajificha nyuma ya keyboard ndio shujaa ama. Ndugu mwananchi tafakari chukua hatua
 
Ka Padri kamoja tu mnatokwa na Povu namna hii ? Mbona enzi ya Mkapa, Waislamu waliuwawa kuanzia Mwembechai na Unguja kwa mamia na na mamia !

Lakini kwakuwa ninyi ni watu mmeshushwa kutoka mbinguni mlionani sawa na wala hamkukemea kuwa hayo ni mauaji na Kadinali Pengo akatoa tamko kuwa hao mamia ya Waislamu waliouwawaa walikuwa ni Wahuni tu

Leo kauliwa Mchungaji mmoja na Padri mmoja tu , mnapiga keleleee kuhusu Utawala wa CCM juu ya Kikwete kwani ule Utawala dhalimu wa Mkapa mliuona ni MTAKATIFU ?

Au ndio mkuki kwa Noah tu ?
 
padri Mushi wa zanzibar apigwa risasi kichwana na kufa alikuwa anaenda kufanya ibaada..
Itv breaking news.

Zanzibar imekuwa kama Misri sasa.Mungu atusaidie tuepukane na roho za kikatili namna hii.:amen::amen:RIP padri Mushi.
 
PoliCCM wako bize na intelijensia ya maandamano ya CDM, pumbavu kabisa, dawa ni kulifuta hilo jeshi tuanze upya kabisa nao wao ndio wezi na majambazi kabisa
 
Wewe huna uwezo wa kufikiri kabisa, ni kama boga lililoozea shambani.
Kuna mwenzako kama wewe atakuja humu kudai kuwa Padri alikuwa ana visa vya kuchukua wake za watu, Padri alikuwa na furushi la pesa za sadaka majambazi wakataka kumpora nk.

Vitisho vya kidini vianze kisha Padri anakwenda kuongoza ibada ghafla apigwe risasi, then vipeperushwi vya uchochezi wa kidini visambazwe mjini, watu waanze kushangilia na kupongeza, na wapotoshaji kama wewe mje mtandaoni haraka kupotosha nk. Halafu unajifanya hujui kitu hapa.
 

Umetumwa kutengeneza smoke screen eeh??
 
Ni kweli, nimeisikia hiyo kupitia Wapo. Poleni wakatoliki wote. Jamaa 'wanamtumikia' mungu wao! Halafu kuna wanafiki huwa wanasema eti dini hizi zinamwabudu Mungu mmoja...! Umfuate mtu anayemwabudu Mungu yuleyule akiwa eneo lake la kuabudu umuue na utegemee thawabu!!!
 
Kwahiyo ulitaka upewe wewe kazihiyo? Tumuache Rais wetu aongoze nchiyeto kwa amani.

Kwa maana hiyo unapendezwa na majibu hayo ya kila siku yasiyotoa tiba ya maswaibu haya? Kama nawe u mmoja wao basi hongereni mnaonekana kusadifisha vyema mipango yenu.
 

Kweli ww unaakili za matope na ww ndio wa kwanza kupanda usafiri wa waislam kunywa nA kula vyakula vilivouzwa na waislam bt kwa akili yako mbovu unaleta ujinga wako
 

Mkuu Mtali yote haya ni matunda ya kuulinda huu muungano usiokuwa na faida yoyote, na huu ndo udini aliouhubiri jk ili aingie ikulu sasa ndo umefikia hapa, kutokuwepo kipengele cha dini katika sensa sio sababu ya wao[WAISLAM] kutuua sisi wangetafuta njia mbadala ya kutatua mambo yao

Na damu tayari imishamwagika
 
Last edited by a moderator:
Humu JF tunaandika kama utani utani lakini hii chuki ya kidini iliopndwa itakuja kutumaliza! Nikiangaliaga mikanda ya vita ya ukabila rwanda, aah jamani haya mambo ni mabaya kabisa sio ya kushabikia! Jk lazima abadilike la sivyo nchi itaishia pabaya kwa kweli
 
Atakuja kikwete na viongozi mbalimbali kwenye maziko musiwe na wasiwasi
 
abdul 28

Uchambuzi wako ni wa kichovu sana wala hauna mashiko. Hujaona kama aliyeuwawa ni kiongozi wa dini ambayo waumini wake wanaipenda kama wewe unvyopienda dini yako(kama unayo)

Tumwombe Mungu mwenyezi atoe majibu ya waswali mengi juu ya mauaji haya ili yasizae umwagaji damu zaidi.

Mungu akupe neema yake Bw. abdu 28 akuongezee busara.
 
Polisi waende mbali zaidi, walianza na kumpiga risasi padre Kimaro, leo Padre Mushi kulikoni?

Ya... wameelekezwa vizuri kwenye dakika ya 14 - 20 kwenye hii video ya IGP wao...


Hongera Ustaadh Ilunga. Mafunzo yako yanafanya kazi...
 
Last edited by a moderator:

Wewe kwanza hiyo picha uliyojiwekea hapo haiendani na unacho zungumza kwa sasa. South waafrica wengi waliuawa lkn huyo mzee hakulipiza kisasi. Sasa wewe hiyo picha maana yake nini kwako?

Mkapa hakufuata m2 kwenye msikiti kumuua bali wale wauni. Matamshi yako yanafanya waislam wote waonekane maboya kama ndo mnavyo fikiri.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…