Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Kisiwa kidogo kama Zanziba inashindikana vipi kuwakamata watu wanaochafua hali ya utulivu??? Tena wamekuja na vespa na watu wamewaona. Yaani polisi wameshindwa hata kufuatilia matairi ya vespa yameelekea wapi???????????????????????
Haya mambo yasifanyiwe ushabiki wala masihara. At this time hatma ya upendo baina ya dini mbili Zanzibar uko mikononi mwa polisi, wawasake wahusika na kuwafikisha kwenye vyombo husika ili watuambie lengo lao ni nini hasa.
 
Tukusaidie kujua kisa??? We galasa kweli, nini hapo usichoelewa? Kwamba hijui kuwa Waislam ndo wamemuua? Mara ngapi tumesema hapa kuwa uislam ni dini ya hovyo?!

Acha uzuzu wewe Waislam gani wamemuua.
 
Nayalaani mauaji haya kwa nguvu zangu zote. Mwanga wa milele umwangazie ee bwana,apumnzike kwa amani
Mngekuwa mnalaani mauaji ya masheikh kule kenya kama mnavyolaani mauaji ya padri ningewaona wa maana sana
 
Ka Padri kamoja tu mnatokwa na Povu namna hii ? Mbona enzi ya Mkapa, Waislamu waliuwawa kuanzia Mwembechai na Unguja kwa mamia na na mamia !

Lakini kwakuwa ninyi ni watu mmeshushwa kutoka mbinguni mlionani sawa na wala hamkukemea kuwa hayo ni mauaji na Kadinali Pengo akatoa tamko kuwa hao mamia ya Waislamu waliouwawaa walikuwa ni Wahuni tu

Leo kauliwa Mchungaji mmoja na Padri mmoja tu , mnapiga keleleee kuhusu Utawala wa CCM juu ya Kikwete kwani ule Utawala dhalimu wa Mkapa mliuona ni MTAKATIFU ?

Au ndio mkuki kwa Noah tu ?
Are you sitting on your brain?
 
Mngekuwa mnalaani mauaji ya masheikh kule kenya kama mnavyolaani mauaji ya padri ningewaona wa maana sana
Acha ujinga, hapa ni Tanzania hayo ya Kenya yanatuhusu NINI? Au wewe ni Mkenya????????
 
Mods kunapost mmefuta hii sio haki, post ilihitaji majibu. . . . .

Alipouwawa SHEIKH ROGO kule Mombasa hawa viwavi walishangilia tu, leo kauwa Mushi full makekeke! Fanyeni haki kwanza kwa wengine ndipo mudai haki zenu!


Shehe Rogo aliuwawa na mashirika ya kiintelejensia kwa kuwa alishukiwa kuwa gaidi hilo hatawewe walijua. She aliemwagiwa tindikali ilikuwa ishu za ndani za kiislam hili pia unalijua usijifanye mtoto. Ishu ya Mapadre kutaka kuuwawa pamoja na tukio la Mushi yote ni mipango iliyoratibiwa na kundi fulani katika dini ya kiislam hilo linajulika wazi wala haihitaji kuunda tume. Waislamu waseme nini wanataka, Rais wa nchi ni muislam, makamu ni muislam, jaji mkuu, mkuu wa usalama, mkuu wa polisi ni muislam hata mkipewa serikali yote ikawa ya kiislam bado hamtaridhika ( mfano somalia, misri,libya, tunisia na nchi nyingi za kiislam). Najua kuwa maandiko yenu yanasema ukiuwa kutetea dini unapata thawabu, ndo maana siku zote nasema mungu wa waislam sio Mungu wetu wakristo.
 
What a sad day; Mungu atusaidie. Na bado atasimama JK na kutoa hotuba yake ya "jamani udini haufai, haijawahi kutokea katika historia yetu".. Maskini Kikwete..
 
Tupendane bila kuangalia

  1. Kipato/Tabaka
  2. Jinsi/Jinsia
  3. Umri
  4. Udini
  5. Ukanda
  6. Ukabila
  7. Rangi
  8. Uraia
  9. Itikadi
  10. ……
 
Ni muda muafaka wa Sheikh Ilunga Hassan Kapungu, kukamatwa kwa uchochezi wake wa kuuliwa kwa viongoz wa dini ya kikristo
 
Na dhani sasa uvumilivu unanishinda.... live.
 
Acha ujinga, hapa ni Tanzania hayo ya Kenya yanatuhusu NINI? Au wewe ni Mkenya????????

Dini wanayoamini hawa jamaa ni ya shetani ambaye furaha yake ni kuona damu inamwagika ili ainywe. Wao hawajui lakini ukweli ndiyo huo. Leo hii wametangaza sijui mahali gani washia na wasuni wameuana na takribani watu 60 wamepoteza maisha yao kwa chuki baina ya makundi hayo mawili. Hivyo, ndivyo mungu wao anavyoburudika na kuwabariki wanaoshika mapanga kuwaua binadamu wenzao.
 
Padri Evarist Mushi, ambaye ni paroko wa parokia ya Minara Miwili - Mtoni Zanzibar amepigwa risasi na watu wasiojulikana leo mida ya saa moja asubuhi akielekea kanisani kuongoza ibada.

Source: Radio Wapo

K'make!!
Upuuzi gani huu!!! nchi hii haya yamefika huku kwa kuwa na viongozi wasio na uwezo kabisa wa kuongoza hata kata...!!
Sisi tumewakabidhi uongozi wa Nchi!!
 
Machafuko ya dunia kwa sasa
yameletwa na hawa ndugu zetu wanaosari kwa kugonoka
!
Mf. Niger, Nigeria, Mali, Somali na
Zanzibar .. Wanachokitaka hasa
hakijulikana.
#Huenda haya mauaji
wanayoyafanya yanawaongezea umri
wa kuishi.
R.I.P
 
Pinda mficha uchi hazai, kuendelea kuficha ukweli na kuogopa kusema hatutapata suluhu ya udini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom