ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
Kisiwa kidogo kama Zanziba inashindikana vipi kuwakamata watu wanaochafua hali ya utulivu??? Tena wamekuja na vespa na watu wamewaona. Yaani polisi wameshindwa hata kufuatilia matairi ya vespa yameelekea wapi???????????????????????
Haya mambo yasifanyiwe ushabiki wala masihara. At this time hatma ya upendo baina ya dini mbili Zanzibar uko mikononi mwa polisi, wawasake wahusika na kuwafikisha kwenye vyombo husika ili watuambie lengo lao ni nini hasa.