ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
Tukusaidie kujua kisa??? We galasa kweli, nini hapo usichoelewa? Kwamba hijui kuwa Waislam ndo wamemuua? Mara ngapi tumesema hapa kuwa uislam ni dini ya hovyo?!
Mngekuwa mnalaani mauaji ya masheikh kule kenya kama mnavyolaani mauaji ya padri ningewaona wa maana sanaNayalaani mauaji haya kwa nguvu zangu zote. Mwanga wa milele umwangazie ee bwana,apumnzike kwa amani
Ni kweli nimethibitishiwa na mwili wa marehemu sasa hivi upo hospitali ya Mnazi Mmoja.So RIP kama ni kweli.
Acha uzuzu wewe Waislam gani wamemuua.
Mngekuwa mnalaani mauaji ya masheikh kule kenya kama mnavyolaani mauaji ya padri ningewaona wa maana sana
Are you sitting on your brain?Ka Padri kamoja tu mnatokwa na Povu namna hii ? Mbona enzi ya Mkapa, Waislamu waliuwawa kuanzia Mwembechai na Unguja kwa mamia na na mamia !
Lakini kwakuwa ninyi ni watu mmeshushwa kutoka mbinguni mlionani sawa na wala hamkukemea kuwa hayo ni mauaji na Kadinali Pengo akatoa tamko kuwa hao mamia ya Waislamu waliouwawaa walikuwa ni Wahuni tu
Leo kauliwa Mchungaji mmoja na Padri mmoja tu , mnapiga keleleee kuhusu Utawala wa CCM juu ya Kikwete kwani ule Utawala dhalimu wa Mkapa mliuona ni MTAKATIFU ?
Au ndio mkuki kwa Noah tu ?
Acha ujinga, hapa ni Tanzania hayo ya Kenya yanatuhusu NINI? Au wewe ni Mkenya????????Mngekuwa mnalaani mauaji ya masheikh kule kenya kama mnavyolaani mauaji ya padri ningewaona wa maana sana
Alipouwawa SHEIKH ROGO kule Mombasa hawa viwavi walishangilia tu, leo kauwa Mushi full makekeke! Fanyeni haki kwanza kwa wengine ndipo mudai haki zenu!
Acha ujinga, hapa ni Tanzania hayo ya Kenya yanatuhusu NINI? Au wewe ni Mkenya????????
Imani yetu ya kiislam muuwaji ana uhakika wa mabikira 72 ahera
Padri Evarist Mushi, ambaye ni paroko wa parokia ya Minara Miwili - Mtoni Zanzibar amepigwa risasi na watu wasiojulikana leo mida ya saa moja asubuhi akielekea kanisani kuongoza ibada.
Source: Radio Wapo