Hawa waislam wameamua sasa. Naamin hawataiweza vita na Wakristo. Huo ndio ukweli, kwamba pale Wakristo watakapoambiwa wafunguke, hata maofisini patakuwa hapatoshi.
Nawasihi wakristo wa hii Nchi wakapigane vita ya kiroho, ili kulisuru Taifa. Hakuna sababu ya kushindana na hawa wajinga. Hawana kazi na wanachoona ni kuwapiga wakristo wasiokuwa na hatia. Naamini waislam wakiamua kujitenga.
leo, ndo kwanza umaskini wataufungulia milango!! Mungu atuepushe na hili pepo lililojificha kwenye dini ya hawa wenzetu.
Ni matumaini yangu kuwa, Watanzania wanaipenda Nchi yao na hayo Waislam wanayotaka hayatatokea! Waende Somali wakajiunge na Al-shabab ili waweze kutimiza haja zao.