Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
kama ni uvumilivu wa wakristu umefika hatua umekuwa ni mwiba kwao, serikali haijali ipo usingizini, mi nadhani tuwaombe viongozi wa dini zote za wakristo kuandaa maandamano kuishinikiza serikali kuhakikisha usalama na heshima ya wakristo!!!!
this is too much
 
Hivi wakristo wanajihadi na wakipigana jihadi hiyo wanalipwa nin???? Nauliza tu.
Najua biblia inafundisha"akupigae shavu la kulia mgeuzie na la kushoto"
 

Unaweza kwenda kumsalimia Shekhe wewe?
 

Tusiwe na Mtazamo wa Ubaguzi wa Kidini, Kinachotokea Zanzbar kwa mtazamo wangu kinaratibiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzbar na hii inajidhihirisha tukiangalia safu nzima ya voingozi wa juu wa serikali hiyo wote ni waislam na matamko yao mengi yanalinda waislam na sheria zao tuchukulie mfano wakati wa mfungo wa Ramadhan walipiga marufuku migahawa na mahoteli kuuza chakula mchana hii ni dhahili ilionyesha mwelekeo wa serikali hiyo.
Hawa wazanzbar wanahitaji sana wajitenge ili waendelee na serikali yao yenye misingi ya uislam sisi Bara hususani CCM ndo wanawalazimisha na vurugu hizi na mauaji lengo lao ni hilo ili wajitenge. Kwa hiyo ndugu yangu sisi huku bara hatuna chuki yeyote cha muhimu tuendeleze mshikamano wetu lakini tupige kelele ili Muungano uvunjike na wao wabaki na linchi lao na sisi tubaki na Tanganyika yetu.
 

kwa kueneza ukiristo z'bar sahau mtaendelea hivyo hivyo kuleta wakiristo kutoka tanganyika kujaza makanisa yenu
 

You have nailed it.
 
Naomba muangalie hii amri ya kuua na wala tusiendelee kushangaa lakini hapa hakuna hata sheikh mmoja aliyeuawawa

 
Last edited by a moderator:

Una maanisha Wakristo au kanisa ndio walio peleka Muungano na ndio wanao hulinda?

I thought ni wa Unguja kwa kuogopa kutawaliwa na Wapemba na waarabu wakaamua kuikabizi nchi kwa Nyerere au CCM.
 
Wakristo ni mang'ombe tu nawashauri Waislamu waendelee kuuwa mapadri na wachungaji mpaka mtakapopata akili na kujuwa hii ni war against crusaders inayoratibiwa kwa umahili na Mkwele.

Mang'ombe tena Mkuu. Duh hii kali!!!
 
ewe shetani wa kiislam odoa majini yako na mtume wenu, kazi ya kuua wana wa mungu aliehai siku moja mtaitolea hesabu mbele za haki.

ooh,pole sana naona umesha lewa tayari. sikushangai kwa uwezo wako wa kufikiria kipombe pombe. Jumapili njema
 

Una uhakika na unacho kinena?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…