Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Naona kila mtu ana jazba Tanzania tunapoelekea ni pabaya sana inabidi viongozi wa nchi wachukue hatua mapema.

Hebu nitajie kiongozi wa serikali yako anaeweza kuchukua hatua!
 
Naona kila mtu ana jazba Tanzania tunapoelekea ni pabaya sana inabidi viongozi wa nchi wachukue hatua mapema.

Haa haa hha kumbe na wewe unajua kuwa wamechelewa kuchukua hatua!!! interesting
 
Ni heri kuishi jirani na MBWA MKALI kuliko kuishi na mwislam gaidi asiye na huruma na binadamu mwenzake!

Ww si ndo huwa unashabikia upuuzi na udhaifu wa Rais wenu Luteni Kanali Kikwete
 
Maana yangu ilikuwa moja tu kwamba hakuna jipya chini ya mbingu linaloashiriwa na matukio ya mauaji, vurugu, maandamano, nk. Hayo yamekuwa yakitokea kila pembe ya dunia na yataendelea kutokea ikiwa ni matokeo ya mwanadamu kumuasi mungu na kumchagua shetani. Dunia yote iko utumwani katika nchi ya shinar inatumikishwa na shetani pamoja na maajenti wake ambao ni freemasons na serikali za wanadamu.

Badala ya mwanadamu kumtumikia mungu kwa kushabikia matendo mema ubongo wake umepindishwa anang'ang'ana na mapokeo ya kuchinja, mabomba ya gesi, katiba, vyama vya siasa, udini, ukabila, nk uelekeo ambako siko majibu ya matatizo yake yaliko. Utumwani utafanyishwa kazi chafu bila ujira wa maana, unakufa kwa maradhi, utafarakanishwa na wana wa tumbo lako mwenyewe na mke wa kifuani mwako, jasho lako litavunwa na kutafunwa na waliojiunga na maajenti wa shetani, na njia ya pekee ya kuokoa nafsi zenu ilikwishatangazwa ikisema tokeni kwake enyi watu wangu.

Ni saa ya pumba na mchele kuanza kujipambanua.
 
msione tupo kimya,ipo siku tutarevange tuuu nyie mambwisi!!!!
 
Ewe Ilunga tunaona matunda yako.
Nije nimuone mpumbavu yeyote anaandamana kisa Ilunga kakamatwa
 
wanasiasa dhaifu huwa ni watawala dhalimu kutokana na uduni wa fikra zao.

Sent from my blackberry 9700 using jamiiforums

hata yesu alikumbana na aina hii ya majaribu! Akajibu nenda zako shetani!! Binadamu tukakombolewa na hata sasa shetani anahaha, wole wenu nyie wafuasi wa shetani!!!
 
Tukio linasema kuwa alikuwa akielekea kwenda kusarisha misa ya leo akiwa njiani ikatokea gari ghafra lenye watu waliomfyatulia risasi na mauti yakamkuta.Sasa tusaidiane kujua kisa.

kisa cha nini, hujui wenziyo hiyo ni ibada,wakiua au kumchinja binadamu mtz mwenzao basi majina yao yanaandikwa mbinguni, unyama huu inabidi tuitafakari hii dini.
 
Mnajua nini nyie makafiri,amtutishi na lolote.sisi tunacho amini kinanguvu saanaa! Nyie semeni yote lakini laiti ndo nyie makafiri tungekua jengo moja waallai vile ningejilipua mnipe tiketi safi yakwenda kumuona Molla wangu
Halafu na wewe unajiita mwisiamu, imani yako iko tofauti sana na mtume muhammad maana aliishi na kula na wakristo, ya kwako kwa kukusaidia inaitwa blood mongers na kiongozi wake ndiye mwanzishilishi wa boko haram kule nigeria
 
tukisema Rais Kikwete Dhaifu mnabisha hili la pili kutokea ndani ya miezi miwili hii. Vilio vya wanyongea hawa ndivyo vitakavyo kuwa hukumu yake siku ya kiama. R.I.P Pd E. Mushi
 
jamani chonde chonde serikali,kama mnalichekea la udini mnasubiri hadi lifike kwenye ukabila,halafu mbona hatusikii fulani kakamatwa kunajambo tu hapa kama mnataka zanzibar waishi waislam tu si mseme jamani
 

Usikae na habari muhimu kama hizo hadi watu wauawe ndiyo ulete ndugu,mara upatapo jitahidi kuzitawanya kwa Wakrsito wenzio kwa haraka kadri inavyowezekana utaokoa wengi.
 
kisa cha nini, hujui wenziyo hiyo ni ibada,wakiua au kumchinja binadamu mtz mwenzao basi majina yao yanaandikwa mbinguni, unyama huu inabidi tuitafakari hii dini.

pole sana , wewe ndio unaanza leo? Wengi tulishaanza kukataa hata kula ibada yao chafu ya kuchinja!
 
Haa haa hha kumbe na wewe unajua kuwa wamechelewa kuchukua hatua!!! interesting

Unacheka nini siyo kila sehemu unaleta mambo ya ushabiki wa vyama haya mambo yanatokea siyo mazuri wewe unataka mimi nishangilie mauaji ya viongozi wa dini. Ili suala siyo la Chadema wala CCM linatuhusu wote kama Watanzania.
 

JK na watu wa usalama wa Taifa, hatutaki vita sie. Kama ni madai yao ya kuchinja mifugo si waruhusiwe tu. Mimi nipo tayari kuwapelekea kitimoto wakanichinjie, na wakidai kichwa ni cha mchinjaji nacho nitawaachia. Hivi kama angeuliwa sheikh huko, si dunia nzima ingejua?. ACHENI HIZO NYIE!. Amani tuliyonayo si ya kuichezea hivi.
 
Lazima tuanze kuutazama uislam kulikoni hapa tz, tunaona mauaji yakifanywa na watu wa dini, kuna makumdi toka nje yanaeneza chuki mbaya.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…