Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona kila mtu ana jazba Tanzania tunapoelekea ni pabaya sana inabidi viongozi wa nchi wachukue hatua mapema.
Naona kila mtu ana jazba Tanzania tunapoelekea ni pabaya sana inabidi viongozi wa nchi wachukue hatua mapema.
Ni heri kuishi jirani na MBWA MKALI kuliko kuishi na mwislam gaidi asiye na huruma na binadamu mwenzake!
Maana yangu ilikuwa moja tu kwamba hakuna jipya chini ya mbingu linaloashiriwa na matukio ya mauaji, vurugu, maandamano, nk. Hayo yamekuwa yakitokea kila pembe ya dunia na yataendelea kutokea ikiwa ni matokeo ya mwanadamu kumuasi mungu na kumchagua shetani. Dunia yote iko utumwani katika nchi ya shinar inatumikishwa na shetani pamoja na maajenti wake ambao ni freemasons na serikali za wanadamu.Kila kitu kinachotokea kina sababu yake chini ya jua, ndio maana mwanadamu anashauriwa kuomba bila kukoma maana hata yale yanayoonekana kuwa yana majibu fulani katika fikra zetu, Huenda kwa Muumbaji wetu yana ujumbe fulani ambao unataka tukue na kuvuka katika hatua tuliyopo. Yona alipokimbia kwenda Ninawi kulitokea dhoruba ambaye ilitaka kuuwa watu na wao walianza kupunguza shehena katika merikebu laiti wangejua tatizo ni Yona basi wangelimaliza. Tz tuna mengi yanatukabili, je ni siasa, dini, utawala au Mungu ameruhusu upepo uvume ili tujikague
wanasiasa dhaifu huwa ni watawala dhalimu kutokana na uduni wa fikra zao.
Sent from my blackberry 9700 using jamiiforums
Rest in peace padri!
Tukio linasema kuwa alikuwa akielekea kwenda kusarisha misa ya leo akiwa njiani ikatokea gari ghafra lenye watu waliomfyatulia risasi na mauti yakamkuta.Sasa tusaidiane kujua kisa.
Halafu na wewe unajiita mwisiamu, imani yako iko tofauti sana na mtume muhammad maana aliishi na kula na wakristo, ya kwako kwa kukusaidia inaitwa blood mongers na kiongozi wake ndiye mwanzishilishi wa boko haram kule nigeriaMnajua nini nyie makafiri,amtutishi na lolote.sisi tunacho amini kinanguvu saanaa! Nyie semeni yote lakini laiti ndo nyie makafiri tungekua jengo moja waallai vile ningejilipua mnipe tiketi safi yakwenda kumuona Molla wangu
Mungu ni mkubwa, na rehema zake ni za ajabu.
Huwezi kuamini, jana jioni tukiwa kwenye misa ya jumuiya yetu hapa Dar, Mchungaji wetu alisoma ujumbe kutoka UAMSHO wenye kujuta kukosa kumuua Padre Ambrose Mkenda, na ujumbe huo unahimiza Jihad kali dhidi ya WAKRISTO na UKRISTO kule Z'bar.
Kilichotokea leo na yatakaendelea kutokea ni sehemu ya maadhio ya Waislam dhidi ya WAKRISTO.
Bad enough, kuna waislam wametoka kozi huko Somalia (Al-Shabab) wapo hapa mjini kwaajili ya kuleta maafa ya WAKRISTO wakati wa sikukuu ya PASAKA.
Kanisa letu ni mojawapo ya targets za hao watu.
Asante kwa Mungu kuwa mpango huo uligundulika mapema kabisa na watu hao wapo chini ya ulinzi wa vyombo vya usalama.
kisa cha nini, hujui wenziyo hiyo ni ibada,wakiua au kumchinja binadamu mtz mwenzao basi majina yao yanaandikwa mbinguni, unyama huu inabidi tuitafakari hii dini.
Haa haa hha kumbe na wewe unajua kuwa wamechelewa kuchukua hatua!!! interesting
Tatizo umeshalitaja mbele ya swali lako au unataka upewe tatizo gani tena?
Tatizo ni kuwa waislamu hawatupendi na wana vita na chuki kubwa sana juu ya ukristo at the same time wakristo wanaendelea kulala usingizi fofofo wakizani hawa jamaa ni ndugu zetu.
Muungano ni Dust Bin iliyokwisha muda wake, ITUPWE!