Romans 12:19 Beloved, never avenge yourselves, but leave it to the wrath of God, for it is written, Vengeance is mine, I will repay, says the Lord.
Hakika kuna tofauti kubwa kati ya hizi dini mbili. Na haziwezi kuwa ni za Mungu mmoja maana tabia za miungu hawa wawili hazifanani. Wakati mmoja ni katili mwingine ni mwema.
sisi wakristo wasabato hatuli nguruwe!kula nguruwe ni ushetani sio ukristo
Padri Evarist Mushi, ambaye ni paroko wa parokia ya Minara Miwili - Mtoni Zanzibar amepigwa risasi na watu wasiojulikana leo mida ya saa moja asubuhi akielekea kanisani kuongoza ibada.
Source: Radio Wapo
Ehe! Tunamwombea padri mushi na kumtakia amani ya milele, lakini kwetu wafuasi wake tuliobaki hai, tuwe na subira, kwani polisi naamini watafanya kazi nzuri. Ukweli ni kuwa aliyempiga risasi padri huyu hajafahamika, na kwa sababu hiyo tusianze kuwatuhumu waislamu, kwa sababu kuna sababu nyingi zinazoweza kumfanya mtu apigwe risasi. Nyingine za madaraka, nyingine za mali, nyingine za urithi nakadhalika. Tunapowatuhumu hawa watu, tunaonesha wazi kuwa tunawatambua kama wauaji, na si kama watanzania wenzetu. Sote ni ndugu, mpemba na mzalamo, wa bara na wa visiwani, mwislamu na mkristo. Tuache polisi watoe mwafaka baada ya upelelezi, na haki itapatikana. Nawaombeeni nyote amani na uvumilivu. UTUKUFU WA MUNGU UTAENDELEA KUINULIWA. MUNGU TUBARIKI TANZANIA.
Ww si ndo huwa unashabikia upuuzi na udhaifu wa Rais wenu Luteni Kanali Kikwete
Mungu ampe pumziko la amani,na wahusika watafutwe na kukamatwa na kupelekwa mbele ya sheria
Ndio maana huwa nawapenda waisraeli, waislam (waarabu) wakileta chokochoko tu ni kabano! Wamewazunguka wao wapo katikati lakini husikii fyoo!!wakristo mtaangamia kwa kujidai hamjui kulipiza..
Hebu nitajie kiongozi wa serikali yako anaeweza kuchukua hatua!
hapa tunaongelea swala la mauaji na ya viongozi wa dini na sio swala la chama au rais wa nchi tunaongelea ugaidi wa waislamu juu ya watu wasio kuwa na hatia tunaongelea genge la watu wanaojiita waumini wa mungu kumbe wanaamini mauaji na kumwaga damu isiyo na hatia sijui wanamwabudu mungu gani mjinga huyo anaye furahia mauaji ya watu wake aliowaumba labda mungu jini mla watu na mnyonya damu zja watu tafakari sana kuhusu hizi dini za wanaume wanao vaa magauni na misuli kwamba ni mavazi ya kumtukuza mungu.
kama kweli serikali ya Jk haihusiki na matukio haya Sheikh Ilunga akamatwe na kuisaidia polisi kuhusiana na matukio haya mawili la mwanza na hili la Zanzibar,DVD za shehe Ilunga zinatoa maelekezo ya wazi ya kuwaua mapadri,wachungaji,maaskofu n.k
Tujiulize hivi ni kweli vyombo vyote vya usalama wa taifa havijaona DVD hizo? mbona hata kwenye you-tube ipo wazi,lakini bado yuko mitaani anadunda.Kazi ya usalama wa taifa ni nini kama siyo kufuatilia mambo haya mapema na kuyafanyia kazi.Muda mwingi unatumika kufuatilia vyama vya upinzani badala ya kuchunguza uhaini uanaofanywa kwa migongo ya dini.
Mchelea mwana kulia yewe,huko ikulu nako kuna waislam na wakristo,Jeshini ,polisi halikadharika.asiwepo mtu wa kujidanganya kwamba kwenye vita hii ataokoka.
Ni ukweli usiopingika wanyonge watatangulia wengine watafuata Ndugu zangu waislam,mkiona wakristo ni maadui,mtakuja jua kwamba hawakuwa maadui mtakapowamaliza mkabaki wenyewe mkaanza kupigania udhehedu(shia/suni),angalieni pakstani,india Kashmir,Somalia ambako shehe ilunga anasema kwenye DVD yake kwamba mlitegemea waje kuwasaidia!
Watawasaidiaje wakati kwao njaa inawamaliza? labda kama ni suala la kuvuruga amani kweli wameshafika na ndo hivyo wameanza kuwasaidieni ''Ee Tanzania! laiti ungelijua yapasayo amani!!! lakini kwako yamefichwa''
Suluhu ni Cease fire! yaani Serikali iwaachie kwa dhamana Mashehe wote walioko magerezani la sivyo kuna hatari ya mauaji ya kuviziana kupamba moto! hatuna budi kutumia akili na busara zaidi ya mabavu na vitisho!
EE Mwenye enzi Mungu tusaidie!
Mkuu Kanisa lilianza kabla ya Muungano.
kama ilivyo huku bara TANGANYIKA SI ENEO SALAMA KWA WAISLAM,KILA SIKU MASHUSHUSHU WANATUSUMBUA MISIKITINI,WENGINE WAKRISTO WANAJIFANYA KUJA KUSWALI ILI KUTUSKIZA TUNAZUNGUMZA NIN?