Bijou
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 1,248
- 360
Romans 12:19 Beloved, never avenge yourselves, but leave it to the wrath of God, for it is written, Vengeance is mine, I will repay, says the Lord.
Hakika kuna tofauti kubwa kati ya hizi dini mbili. Na haziwezi kuwa ni za Mungu mmoja maana tabia za miungu hawa wawili hazifanani. Wakati mmoja ni katili mwingine ni mwema.
TOFAUTI lazima iwepo Mkuu!!! Ji ulize iPi ilianza? Zilizofuata zote ni ZA kuchakachua