Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Romans 12:19 Beloved, never avenge yourselves, but leave it to the wrath of God, for it is written, “Vengeance is mine, I will repay, says the Lord.”
Hakika kuna tofauti kubwa kati ya hizi dini mbili. Na haziwezi kuwa ni za Mungu mmoja maana tabia za miungu hawa wawili hazifanani. Wakati mmoja ni katili mwingine ni mwema.

TOFAUTI lazima iwepo Mkuu!!! Ji ulize iPi ilianza? Zilizofuata zote ni ZA kuchakachua
 
Tumechoka,tumechoka,tumechoka,amani iko wapi?huu ni ujinga tu,hakuna amani,kila mtu sasa ni kujilinda ajuavyo.
 
Padri Evarist Mushi, ambaye ni paroko wa parokia ya Minara Miwili - Mtoni Zanzibar amepigwa risasi na watu wasiojulikana leo mida ya saa moja asubuhi akielekea kanisani kuongoza ibada.

Source: Radio Wapo


Hajauawa na watu wasiojulikana. Waliomuua ni waislamu, rejea CD zilizo zagaa mtaani kuhusu mipango ya kuua wakristo na viongozi wa Kanisa.
 
Nina wasiwasi na dini hii ya Uislam,wiki iliyopita tulioneshwa mkanda wa Uamsho walipokutana mwanza na Tabora na wakaapa kuwa lazima waue.Hasa Huyo Ilunga na kutamka kuwa Mwislam akiua au kuuawa basi anapata dhawabu na kwenda peponi.Ndugu zangu waislamu ni kweli muislam akiua mkristu anapata dhawabu???.

Watu watatu wamekamatwa(wavuti.com)
 
Ehe! Tunamwombea padri mushi na kumtakia amani ya milele, lakini kwetu wafuasi wake tuliobaki hai, tuwe na subira, kwani polisi naamini watafanya kazi nzuri. Ukweli ni kuwa aliyempiga risasi padri huyu hajafahamika, na kwa sababu hiyo tusianze kuwatuhumu waislamu, kwa sababu kuna sababu nyingi zinazoweza kumfanya mtu apigwe risasi. Nyingine za madaraka, nyingine za mali, nyingine za urithi nakadhalika. Tunapowatuhumu hawa watu, tunaonesha wazi kuwa tunawatambua kama wauaji, na si kama watanzania wenzetu. Sote ni ndugu, mpemba na mzalamo, wa bara na wa visiwani, mwislamu na mkristo. Tuache polisi watoe mwafaka baada ya upelelezi, na haki itapatikana. Nawaombeeni nyote amani na uvumilivu. UTUKUFU WA MUNGU UTAENDELEA KUINULIWA. MUNGU TUBARIKI TANZANIA.

Hivi upelelezi wa Padri Mkenda aliyepigwa risasi na kwa bahati akapona kifo umefikia wapi? Inasemekana katika matukio yote (ya Mkenda na Mushi) kulikuwa na vipeperushi vilivyosambazwa kuonya matukio haya. Polisi walifanyia nini maonyo haya?

Watu wanatema hasira zao kwa sababu ya kuona hakuna maendeleo au hatua stahili zinazochukuliwa na Polisi. Ajabu ni kuwa alipouawa RPC Mwanza wauwaji walikamatwa baada ya muda mfupi na tulikuwa tunajulishwa kila hatua!
 
Ww si ndo huwa unashabikia upuuzi na udhaifu wa Rais wenu Luteni Kanali Kikwete

hapa tunaongelea swala la mauaji na ya viongozi wa dini na sio swala la chama au rais wa nchi tunaongelea ugaidi wa waislamu juu ya watu wasio kuwa na hatia tunaongelea genge la watu wanaojiita waumini wa mungu kumbe wanaamini mauaji na kumwaga damu isiyo na hatia sijui wanamwabudu mungu gani mjinga huyo anaye furahia mauaji ya watu wake aliowaumba labda mungu jini mla watu na mnyonya damu zja watu tafakari sana kuhusu hizi dini za wanaume wanao vaa magauni na misuli kwamba ni mavazi ya kumtukuza mungu.
 
Mungu ampe pumziko la amani,na wahusika watafutwe na kukamatwa na kupelekwa mbele ya sheria

siamin kama kuna sheria, kumbuka sheikh aliyemwagiwa tindikali mpaka leo hakuna aliyekamatwa yule alpgwa risasi ambrose hakuna aliyekamatwa,na huyu Mushi naye ndo kama hivyo Viongozi wa Zanzibar wanabebana hakuna sheria zanzibar hakuna sheria Tanzania
 
wakristo mtaangamia kwa kujidai hamjui kulipiza..
Ndio maana huwa nawapenda waisraeli, waislam (waarabu) wakileta chokochoko tu ni kabano! Wamewazunguka wao wapo katikati lakini husikii fyoo!!
 
RIP Askofu. I condemn serikali ya JK (ya awamu ya 4) in the strongest possibles terms. Wameshindwa kabisa kulinda raia. Udhaifu wake sasa unasababisha umwagikaji wa damu ya watu wasiyokuwa na hatia.
 
hapa tunaongelea swala la mauaji na ya viongozi wa dini na sio swala la chama au rais wa nchi tunaongelea ugaidi wa waislamu juu ya watu wasio kuwa na hatia tunaongelea genge la watu wanaojiita waumini wa mungu kumbe wanaamini mauaji na kumwaga damu isiyo na hatia sijui wanamwabudu mungu gani mjinga huyo anaye furahia mauaji ya watu wake aliowaumba labda mungu jini mla watu na mnyonya damu zja watu tafakari sana kuhusu hizi dini za wanaume wanao vaa magauni na misuli kwamba ni mavazi ya kumtukuza mungu.

Lakini udhaifu wa Kanali kikwete ndo umeruhusu mambo kama haya.
Umesababisha waabudu ibilisi waue wakristo bila hatia ..its a time for christian to revenge this.
Hawa wavaa kanzu wana roho ya kigaidi.
 
Vita hivi polisi wanavijua sana ila hawataki kusema kama wanaofanya hivi ni wale kundi la Uhamsho waliobaki huku Uraian kusema hivyo ni kutangaza Uhasama kati Ya Dini Hizi Mbili lakin ukweli ni hawawataki wabara zenj hawawataki Wakristo Zenji Hii Ni Mipango Iliyopangwa Ikapangika Hili sisi Zanzibar Tunalijua Sana Ila Jeshi Letu Linaleana Kwa Kuwa Wanaofanya Kazi Hizi Ni Ndugu Zao
 
kama kweli serikali ya Jk haihusiki na matukio haya Sheikh Ilunga akamatwe na kuisaidia polisi kuhusiana na matukio haya mawili la mwanza na hili la Zanzibar,DVD za shehe Ilunga zinatoa maelekezo ya wazi ya kuwaua mapadri,wachungaji,maaskofu n.k

Tujiulize hivi ni kweli vyombo vyote vya usalama wa taifa havijaona DVD hizo? mbona hata kwenye you-tube ipo wazi,lakini bado yuko mitaani anadunda.Kazi ya usalama wa taifa ni nini kama siyo kufuatilia mambo haya mapema na kuyafanyia kazi.Muda mwingi unatumika kufuatilia vyama vya upinzani badala ya kuchunguza uhaini uanaofanywa kwa migongo ya dini.

Mchelea mwana kulia yewe,huko ikulu nako kuna waislam na wakristo,Jeshini ,polisi halikadharika.asiwepo mtu wa kujidanganya kwamba kwenye vita hii ataokoka.

Ni ukweli usiopingika wanyonge watatangulia wengine watafuata Ndugu zangu waislam,mkiona wakristo ni maadui,mtakuja jua kwamba hawakuwa maadui mtakapowamaliza mkabaki wenyewe mkaanza kupigania udhehedu(shia/suni),angalieni pakstani,india Kashmir,Somalia ambako shehe ilunga anasema kwenye DVD yake kwamba mlitegemea waje kuwasaidia!

Watawasaidiaje wakati kwao njaa inawamaliza? labda kama ni suala la kuvuruga amani kweli wameshafika na ndo hivyo wameanza kuwasaidieni ''Ee Tanzania! laiti ungelijua yapasayo amani!!! lakini kwako yamefichwa''

Mkuu serikali ya kikwete haiwezi kukwepa lawama hizi. Tusiposikia kukamatwa kwa viongozi hawa tutajua hiyo ni kazi maalumu wametumwa!
 
Mungu atalipiza kisasi kwa wahusika wote na waliopewa dhamana ya kusimamia uhai wa raia .
 
Suluhu ni Cease fire! yaani Serikali iwaachie kwa dhamana Mashehe wote walioko magerezani la sivyo kuna hatari ya mauaji ya kuviziana kupamba moto! hatuna budi kutumia akili na busara zaidi ya mabavu na vitisho!

EE Mwenye enzi Mungu tusaidie!

kwa hiyo zubeda, akina sheikh Farid, Ponda na wengineo wasipotoka, mtaendelea kuchinja mapadri na wachungaji?
 
Last edited by a moderator:
pamoja na hayo wao wanauona wakiusambaratisha Ukristo watakuwa wameusambaratisha Muungano, wachukue kisiwa chao na wakigeuze kuwa kama Iran, tumechoka na tukiamua hawawezi kusimama na sisi washenzi wakubwa tu hawa
Mkuu Kanisa lilianza kabla ya Muungano.
 
Haya ni matunda ya viongozi wetu kupuuzia mambo ya msingi ya taifa letu! Tokeo aondoke baba wa taifa tumekosa kiongozi anayesimama na kukemea mambo yanayomomonyoa taifa letu! Viongozi wetu wamebakia kuchekachekan, kutoa maneno ya taarabu na kulumbana kisiasa. Watanzania tunapaswa kutuliza akili na nyoyo zetu ili tutunze tunu ya amani aliyotuwekea baba wa taifa!RIP padri Evarist!
 
kama ilivyo huku bara TANGANYIKA SI ENEO SALAMA KWA WAISLAM,KILA SIKU MASHUSHUSHU WANATUSUMBUA MISIKITINI,WENGINE WAKRISTO WANAJIFANYA KUJA KUSWALI ILI KUTUSKIZA TUNAZUNGUMZA NIN?

Nyie endeleeni tu, mie nasubiri siku ya mwisho mungu wenu atakapokamatwa na kutupwa kwenye ziwa la moto ambalo ameandaliwa yeye na malaika zake alioasi nao mbinguni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom