Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Endelea tu kupotosha lakini wakati ukifika hata hichi unachopindisha hapa pengine kikaangamiza familia yako na kizazi chako chote.Matukio yote yanayotokea kwa kipindi hichi hasa vifo vya mauaji kwa wakristo/uchomaji wa makanisa na uharibifu wa mali za wakristo unafikiri watu hawaoni picha lenyewe?Usifurahie kifo kwa binaadamu mwenzio,mbona Watanzania tumekuwa wanyama kiasi hichi?

Usitie kauli yako kwenye kinywa changu; ni wapi nimeandika au kuonyesha nimefurahia kuawawa kwa fr. Ambrose? Ninachopingana nacho ni nyie wenye hisia za kidini mnaodai mauaji yametokana na udini; labda niwakumbushe tu miezi 3 iliyopita alipochinjwa polisi wengi wenu humu JF mliliona ni jambo la furaha; leo hii walewale waliochekelea kitendo kile wanarudi na kujidai wamefaidhaishwa sana na kutaka kuleta uchochezi wa kidini; sasa labda niwaulize tu alipouliwa yule askari mbona hamkuhoji wala kuonyesha simanzi kwa kitendo kile? sasa huu ni mwendelezo wa yale mliyokuwa mkiyashingilia hapo hakuna udini hata chembe; zipo sababu na ndio nasema badala ya kuchochea hisia za kidini viachieni vyombo vya dola vifanye kazi yake!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Uzuri mmoja mawazo na maoni yako yanashabihiana na taarifa zitakazotolewa na Mwema na wakuu wa nchi. mmejipanga sawasawa. Huu ni utekelezaji wa Siasa za Chama chako na mpango kamambe wa udini mliouasisi 2010.Sikushangaa kukuta comment kama hii tena toka kwako.

Sasa sio udini tena imekuwa ni CCM? Mbona mkuu umeishiwa na hoja mepema!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Laana na iwe juu ya kichwa chako na kizazi chako chote na damu ya Paroko MUshi na iwe ndani ya roho yako uwe kichaa na ufe ukiokota makopo

Laana itakupa wewe!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
1. Chama, si mapadre wote wenye tabia hizo. Mapadre wapo wengi sana, na walio wengi ni viongozi wazuri sana wa kiroho na ni waaminifu kwa wito wao.

2. Marehemu Padre Evarist namfahamu vizuri. Ni padre mzee mwenye heshima zake, na ana miaka karibu 30 kwenye huduma ya upadre.

Wakati fulani kukaa kimya ni vizuri zaidi ya kuropoka.

Yote unayosema nakubaliana na wewe ila maandiko matakatifu yamesema usiisemee nafsi ya mtu; semea nafsi; roho ya mwanadamu ni kama msitu yaliyomo ndani ya nafsi ya huyajui; hapa unachopaswa kusema tumuombee marehemu; tatizo kubwa wengi wenu mna akili fupi hamsomi vitu na kupambua; asili ya majibizano yangu yametokana wale wanaodai fr. Ambrose ameuawawa na waislamu kwa misingi ya kidini hicho ndicho nisichokubaliana nacho; fr. Ambrose ni mwanadamu kama mimi na wewe; ovu ninaloweza kulifanya mimi hata yeye anaweza kulifanya; kwanini mnataka upelelezi ukomee kwenye sababu za kidini tu? Upo uwezekano mkubwa sana tukio zima likawa limetokana na sababu za kisiasa au kibinafsi!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Nawaomba wakristo popote mlipo kuanzia leo chukueni hatua hizi. Hakuna kununua chochote kwenye duka la mwislam hakuna kupanda gari ya mwislam hakuna kununua kwenye genge la mwislam kila mmoja ajue kwamba uislamu ni ugaidi usimwamini mwislam popote utakapo kutana naye muone kama adui mkubwa wa ukristo na uwe tayari kwa wakati ukifika wa kuifia dini yako tukufu maana wakimaliza kuuwa viongozi wataanza na waumini hivyo tuungane kutokomeza ugaidi wa kiislamu popote pale na misikiti yao
GREAT
 
Inawezekana tukawa wanafiki wala sikatai lakini unafiki wetu usadikishwa na idadi kubwa ya makanisa kuchomwa zanziba ikafuatiwa na padri kupigwa risasi zanzibar na kisha kufuatiwa na kupigwa risasi na amekufa padri leo.

Tatizo langu ni kwamba hiyo siasa kwanini haiendi kuchoma misikiti? na kwanini haiendi kupiga risasi mashekh labda tena utuwekesawa kwanini siasa inalenga upande mmoja wa imani?

Kuna shekhe alimwagiwa tindikali Zanzibar nalo lilikuwa ni tukio la kidini? Makanisa yalianza kujengwa Zanzibar mwaka gani? Mbona hayakuwa kuchomwa miaka ya nyuma; yanachomwa sasa hivi wakati kuna vuguvugu la kisiasa? Asilimia 99% wa Zanzibar ni waumini wa dini ya kiisalmu; inapotokea mtu anataka kuleta mfarakano wa kisiasa kwa kutumia dini ni wazi mali zitakazogharibwa ni za wafausi ya dini kikristo hii ni kutokana na uwiano uliopo hilo halishangazi sana.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Chama, kwa upande mmoja ninakubaliana nawe - Zanzibar, kama ilivyo Bara, ni nchi ya watu wa imani zote: Waislamu, Wakristu, Wahindu, Wajadi, nk ijapokuwa Waislamu ndio waliowengi. Lakini hilo halihalalishi waliowachache wasiachiwe uhuru wa kuabudu wanachokiabudu. Uislamu na Ukristu umeishi sambamba kwa amani tokea biashara ya utumwa ilipoharamishwa. Pia ninakubaliana nawe kuwa Waislamu wa zanzibar au wa Bara au duniani kote hawana tatizo na Wakristu. Wakati huo huo tunapaswa kutambua na kukubali kuwa dunia ya leo kumeibuka vikundi vya MAGAIDI wanaotumia mwavuli wa dini ya UISLAMU kuhalalisha vitendo vyao vya KIGAIDI. Kwa bahati mbaya hata waislamu wasiokuwa na matatizo na Wakristu hawajafanya jitihada za kutosha kukemea hao MAGAIDI. Ndugu Chama utakuwa unafanya kosa kubwa kukimbilia kujenga fikira kuwa huyu Padri ameuwawa kutokana na kuchukua mke wa mtu, badala ya kuanza na fikra amabyo inaweza kuepusha shari ya kwamba pengine ni vitendo vya KIGAIDI. Ukiishajiridhisha kuwa sio UGAIDi bali ni UHALIFU hapo unakuwa umeitendea jamii haki na umewajibika. Hawa binadamu wanaofanya mauaji haya wawe ni Wazanzibari au Wazanzibara, au wabara ni MAGAIDI. Kazi ya UGAIDi ni kuterrorize binadamu wenzao ili wakimbie mahali hapo. Ukifumbia macho uwezakano huu basi ni dalili kuwa hutaweza kutatua tatizo hili na hicho ndicho serikali yetu sikivu ya CCM (Bara na Zanzibar) inachokifanya, na ndio watu kama nyie mnachochagizia. Ni UPOTOVU wa hoja na fikira na mnaipeleka nchi pabaya.

Mkuu naona hujaelewa nimesema nini; kama huelewi uliza ufafanuliwe; hapa napingana na wale wanaokashifu uislamu; wanaodai waislamu Zanzibar wameua padri; hao ndio nina matatizo nao nilichowaambia badala ya kuegemea kwenye udini waliangalie suala zima kwenye uliompana zaidi; nyie mnaochochea huu udini ndio mnataka kuipeleka nchi pabaya; inawezekana padri Ambrose kauliwa kwa sababu za kidini kama mnavyikimbilia kudai ila tusisahau kuna sababu za kisiasa na kibinafsi; na sababu nasema viachieni vyombo vya dola vifanye kazi yake wao ndio watakaotupa majibu; huu udini wenu uwekeni pembeni.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Laana itakupa wewe!

Chama
Gongo la mboto DSM

wewe mpakistan na wenzako msipotahiriwa mioyo hamuwezi kubadilika hata msome phd,uwezo wa kufikiri na hekima kwenu ni zero, mmebarikiwa roho mbaya,roho ya matengano na roho ya malipizi.na haya ni mapepo mnatembea nayo hamjitambui.
 
Alaf we mbwiga nakusomaga comment zako zimekaa kichichiman..,unachukulia poa sana izi issue.,kwa iyo mapadri kwa kipind hich wanatembea na wake za watu sio..jiangalie bredda kama huwez comment kaa kimya chichiman mkubwa wewe nyambaf....

We mbwiga kaa pembeni sisi tunaongelea mustakabali wa nchi yetu!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Tutafakari kwa nini wengi wa viongozi wa dini ya kikristo waliopigwa risasi kule Unguja ni kutoka Roman Catholic wala sio KKKT, Anglican, Moravian n.k???

Umeshona mkuu:der: Hapa kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia kwa vile Wa Zanzibari hawana utamaduni wa kutumia silaha za moto na wala hakuna mzanzibari anaemiliki silaha isipokuwa vyombo vya usalama wa nchi:sleepy:
 
Ingependeza zaidi kama serikali kwanza itaanzisha uchunguzi wake kwa wakuu wa makanisa kwa siri, yaani waangalie mahusiano baina ya viongozi wa makanisa zanzibar jee! Hawa watu hawana ugomvi miongoni mwao? au hawajawahi kugombana hapo kabla, haya yakawa ni mambo ya kulipiza kisasi,au hawajawahi kugombania. vyeo pakazaliwa makundi mawili yanayo hasimiana yaani kundi moja linawaunga mkono wateule na moja haliwaungi mkono walio teuliwa?isije ikawa kuna watu wanataka vyeo hapo.
Pili waangalie yule padri aliye jeruhiwa kwa risasi inawezekana ikawa walikuwa kundi moja na huyu aliye uwawa, ikawa hawapendezi katika uongozi wao na hivyo kupangwa njama za kuwahujumu.
Tatu yaangaliwe mahusiano ya huyu padri aliye jeruhiwa na huyu aliye uwawa jee! walikuwa mahusiano gani? hawakuwa na bifu huko nyuma, maana yake mambo haya ni kama mduwara mara nyingi huwa yanazunguka .
Maoni yangu bado ni mapema mno kuanza kushutumu watu hasa wazanzibari, kwani wazanzibari hawana asili ya ku wauwa wakristo, na zaidi sio rahisi mzanzibari wa kawaida kumiliki silaha, na ushahidi wa hayo kama wazanzibari wananiliki silaha vurugu zilizotokea hivi makaribuni basi tayari silaha hizo zingali tumika japo mara moja mbona hilo halikutokea, iweje leo kimya kimetawala watookee watu wamuuwe mtu asiekuwa na hatia jee hapa pana sirigani?
Hapa sio bure ipo namna, serikali lazima ije na jibu sahihi hali hii ikomeshwe, isiwe ni dini fulani au kundi fulani linalo shutumiwa (linatumiwa kama chaka) kumbe kuna jambo nyuma ya pazia lime fichwa. Tunamuomba M/Mungu aijaalie Jamhuri ya Tanzania kila la kheri na awaangamize kila wanao ipangia mabaya Tanzania NA WATU WAKE amin.
 
Na zanzibar kuna tatizo kubwa la mapadre kutembea na wake za waumini...haya yapo na yanatokea..na pia huwa wanatembea na masista na halafu kuwarejesha Tanganyika...
hivo wanaou chunguza wachunguze ukweli..sio ugaidi...tu...tukiimba nyimbo za ugaidi ...sasa sijui watakamatwa nani kwani uamsho timu nzima iko jela....sasa labda akamatwe mufti na kadhi mkuu wa zanziabar.....
tabia zao mapadri hapa zanzibar zichunguzwe pia.....wamekua na tabia kinyume ya mafundisho yao
Ingependeza zaidi kama serikali kwanza itaanzisha uchunguzi wake kwa wakuu wa makanisa kwa siri, yaani waangalie mahusiano baina ya viongozi wa makanisa zanzibar jee! Hawa watu hawana ugomvi miongoni mwao? au hawajawahi kugombana hapo kabla, haya yakawa ni mambo ya kulipiza kisasi,au hawajawahi kugombania. vyeo pakazaliwa makundi mawili yanayo hasimiana yaani kundi moja linawaunga mkono wateule na moja haliwaungi mkono walio teuliwa?isije ikawa kuna watu wanataka vyeo hapo.
Pili waangalie yule padri aliye jeruhiwa kwa risasi inawezekana ikawa walikuwa kundi moja na huyu aliye uwawa, ikawa hawapendezi katika uongozi wao na hivyo kupangwa njama za kuwahujumu.
Tatu yaangaliwe mahusiano ya huyu padri aliye jeruhiwa na huyu aliye uwawa jee! walikuwa mahusiano gani? hawakuwa na bifu huko nyuma, maana yake mambo haya ni kama mduwara mara nyingi huwa yanazunguka .
Maoni yangu bado ni mapema mno kuanza kushutumu watu hasa wazanzibari, kwani wazanzibari hawana asili ya ku wauwa wakristo, na zaidi sio rahisi mzanzibari wa kawaida kumiliki silaha, na ushahidi wa hayo kama wazanzibari wananiliki silaha vurugu zilizotokea hivi makaribuni basi tayari silaha hizo zingali tumika japo mara moja mbona hilo halikutokea, iweje leo kimya kimetawala watookee watu wamuuwe mtu asiekuwa na hatia jee hapa pana sirigani?
Hapa sio bure ipo namna, serikali lazima ije na jibu sahihi hali hii ikomeshwe, isiwe ni dini fulani au kundi fulani linalo shutumiwa (linatumiwa kama chaka) kumbe kuna jambo nyuma ya pazia lime fichwa. Tunamuomba M/Mungu aijaalie Tanzania kila la kheri na awaangamize kila wanao ipangia mabaya Tanzania NA WATU WAKE amin.
 
Tatizo umeshalitaja mbele ya swali lako au unataka upewe tatizo gani tena?
Tatizo ni kuwa waislamu hawatupendi na wana vita na chuki kubwa sana juu ya ukristo at the same time wakristo wanaendelea kulala usingizi fofofo wakizani hawa jamaa ni ndugu zetu.

Yeah! huo ndo ukweli wenyewe. Mi nadhani wakristo tuna viongozi legelege ambao hawajasoma alama za nyakati.

Haiwezekani wenzetu wanaendelea kuuwawa alafu sisi tunajipa matumaini kuwa mambo yatajirekebisha yenyewe. Huo ni ulemavu wa kupitiliza.
Bila kuchukua hatua, tutajikuta tumeshachelewa. Lazima tuambizane ukweli kuwa waislam, hata kama siyo wote, malengo yao tumeshayagundua. Hatuwezi kukaa kimya kwa kigezo cha uvumilivu
 
In Matthew 5:22, Jesus said it like this: But anyone who says, "you fool" will be in danger of the fires of hell.
In other words, disrespect is the doorway to all forms of Malice (intentionally inflicted harm), evil, sinister and diabolical and malicious behavior.

The God of peace will soon crush Satan under your feet. May the grace of the Lord Jesus Christ, and the love of God, and the fellowship of the Holy Spirit be with you all.

Rest in Peace
 
Umesahau kuwa mapadri wangapi wa kiangilikana wamenusurika kuuwawa?
Jaribu kuwa mkweli na si kujadili kitu kwa mapenzi yako
 
Mkuu naona hujaelewa nimesema nini; kama huelewi uliza ufafanuliwe; hapa napingana na wale wanaokashifu uislamu; wanaodai waislamu Zanzibar wameua padri; hao ndio nina matatizo nao nilichowaambia badala ya kuegemea kwenye udini waliangalie suala zima kwenye uliompana zaidi; nyie mnaochochea huu udini ndio mnataka kuipeleka nchi pabaya; inawezekana padri Ambrose kauliwa kwa sababu za kidini kama mnavyikimbilia kudai ila tusisahau kuna sababu za kisiasa na kibinafsi; na sababu nasema viachieni vyombo vya dola vifanye kazi yake wao ndio watakaotupa majibu; huu udini wenu uwekeni pembeni.

Chama
Gongo la mboto DSM

Chama pamoja na maneno haya ambayo unaonekana una busara lakini nakuwa na wasiwasi na jinsi unavyofikiri,Hakika inawezekana unatumia masaburi.Je aliyotamka Ilunga na Farid na wana uamsho wengine wengi wakishehenezwa na radio Imaan si matamko ya waislam tena wana zuoni waliobobea ktk dini.Hiyo aya inayowapa nguvu ya kulipiza kisasi(178,179) na ikafafanuliwa na Ilunga ni ya dini gani!!!??.Hakika ukweli utadhihiri baada ya muda si mrefu na unafiki wako utajulikana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom