Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
R.I.P mtumishi,pumzika kwa amani. Kwa matukio haya ya viongozi wa kikristo kuuawa, na kujeruhiwa sipati picha kama ingekuwa ni viongozi wa kiislamu wamefanyiwa hivo hali ingekuwaje nchini.
 
hizo imani za kuuwa watu eti kwa ajili ya dini! Hizo ni imani za kishetani zilizojipandikiza kwenye dini zetu, hivyo inapasa tujichunguze na kuwang'oa mapandikizi wa kishetani katikati yetu. Poleni sana
 
Hawa watu wanataka kuipeleka wapi nchi hii? Kila sehemu ni machafuko. Nchi hii imewashinda hawa dhaifu?
 

Ni aibu, fedheha na si busara hata kidogo kwa mtoto wa kike kusambaza chuki....!! Una uhakika kwamba wauaji wamefanya hayo kwa maslahi au kutumwa na Uislamu?! Kwanini kila kinachofanywa na Waislamu mnakihusisha na Uislamu?! Hivi nchi hii Waislamu ingekuwa hawawapendi Wakristo au Wakristo hawawapendi Waislamu unazani nchi ingekalika?! Kwanini mambo yanayofanywa na a small unit of people mna-generalize kwamba ni ya Waislamu? Hakika, watu kama wewe ni hatari zaidi kuliko huyo muuaji kwa maana unajificha kwenye screen na kusambaza chuki!
 
Reactions: Mbu
Muungano ni Dust Bin iliyokwisha muda wake, ITUPWE!

Wakristo kama wakristo wanapashwa kuuangalia muungano huu mbovu ndani ya kanisa na si vinginevyo, endapo wakristo wataendelea kuuangalia muungano huu uliokosa ufumbuzi wa kisiasa na wao wakakubaliana na wanasiasa basi kila mara tutakuwa tunazika wakristo na kuishia kusema "Bwana kampenda marehemu kuliko sisi"...what is happening in Zanzibar is just a tip of Iceberg in Ocean and very soon Tanganyika will be infected too.

Siku zote ukimchekea kichaa kweli atakuumiza
 

du kila padri akipgwa risasi ni 'personal interest'. Mpaka lini? UTARATIBU WA WAISLAM KUCHINJA MIFUGO UENDELEE
 
hizo imani za kuuwa watu eti kwa ajili ya dini! Hizo ni imani za kishetani zilizojipandikiza kwenye dini zetu, hivyo inapasa tujichunguze na kuwang'oa mapandikizi wa kishetani katikati yetu. Poleni sana
Onesha andiko linalosema "waue watu kwa ajili ya dini!"
 
Wakuu naogopa kuchangia mada hii kwa sababu nitakula BAN,nina hasira moyoni nikikumbuka yaliyotokea,Sengerema,Mwanza,Geita wiki iliyopita na mambo yanayoendelea huko ukijumlisha na hili,halafu ukasilikiza majibu ya Waziri Mkuu jana Jijini Mwanza.

Naomba hawa waendelee kuchangia mimi naamini nikiweka tu kitu hapa tofauti na haya niliyoyasema nakula BAN kwa sababu nimeshaona dalili,nitakuwa nasoma tu Comment zenu wakuu,There are currently 1565 users browsing this thread. (175 members and 1390 guests)
 
Tutafakari kwa nini wengi wa viongozi wa dini ya kikristo waliopigwa risasi kule Unguja ni kutoka Roman Catholic wala sio KKKT, Anglican, Moravian n.k???

Hapa umekosea ndugu yangu...kuuwawa kwa mtu hata kama angekuwa hana dini. Hapa tupambane kuwapa elimu wanaopinga ukristo zanz nijuavyo si waislam wote wanahusika ni kakikundi kadogo ka wajinga walojificha ndani ya uislam.....
 

Wewe ni Mnafiki, tena Mnafiki wa kutupwa acha unafiki wako wenyewe waslamu walishatangaza vita na wakristo huko zanzibar hizi ripot ya kitu chenye acha kali wala ilikuwa sio risasi Tuziache tutumie utashi ali yotujalia mwenyezi Mungu.
 

Acha umbulula wewe,isome habari uelewe.Kwanini ni Wakristo tu?Vile vipeperushi ni vyanini?Nani alivitoa? Kama unadhani vingekuwa ni vya "watu wasiojulikana" serikali ya SMZ ingekua tayari imeshachukua hatua!
 
Ivi kuna mtu amekataa, wewe ndio hujaelewa, Zanzibar watu wana personal interest zao kwa wachungaji na mapadre, soma vizuri post za wana JF.
 
Tutafakari kwa nini wengi wa viongozi wa dini ya kikristo waliopigwa risasi kule Unguja ni kutoka Roman Catholic wala sio KKKT, Anglican, Moravian n.k???

Tukiacha unafiki ni kuwa Waislamu wanajua kuwa Wakatoliki ndo waliwafanya hivyo walivyo coz of Nyerere maana hata BAKWATA wanaikataa kwa madai kuwa Nyerere kapandikiza mambo yake hiyo ndo maana hata magazeti,redio na TV zao zote ziko against Nyerere,so kwao ukristo wote wanaugeneralize kwenye ukatoliki,fanya research kidogo utajua,na upeo wao mdogo wa kufikiri ndo umewafikisha huko.........by the way ww hadi wauawe hao wenzako uliowataja ndio utajua walifanyalo cyo sawa?avoid double standard
 
CCM damu hii inayomwagika i juu yenu na itawalilia milele yote!!!

Lakini hizi sindio kauli mlizokua mkizifurahiya kua nchi haita tawalika. Au mlikua hamjui maana ya kauli hizo?
 
Hii habari inasikitisha sana... Tusubiri ukweli ujulikane, tusianze kushukiana jamani.. Nalipa pole kanisa na ndugu jamaa na marafiki wa Padri Mushi alale kwa amani.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…