Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Mungu ni mkubwa, na rehema zake ni za ajabu.

Huwezi kuamini, jana jioni tukiwa kwenye misa ya jumuiya yetu hapa Dar, Mchungaji wetu alisoma ujumbe kutoka UAMSHO wenye kujuta kukosa kumuua Padre Ambrose Mkenda, na ujumbe huo unahimiza Jihad kali dhidi ya WAKRISTO na UKRISTO kule Z'bar.

Kilichotokea leo na yatakaendelea kutokea ni sehemu ya maadhio ya Waislam dhidi ya WAKRISTO.

Bad enough, kuna waislam wametoka kozi huko Somalia (Al-Shabab) wapo hapa mjini kwaajili ya kuleta maafa ya WAKRISTO wakati wa sikukuu ya PASAKA.

Kanisa letu ni mojawapo ya targets za hao watu.


Asante kwa Mungu kuwa mpango huo uligundulika mapema kabisa na watu hao wapo chini ya ulinzi wa vyombo vya usalama.
 
Aisee! Alafu tutaambiwa uhalifu wa kawaida!

Haya mambo yanaelekea kuwashinda!

Yalishawashinda siku sana. Watawala wetu ndiyo tatizo kwani ndio wanaendelea kulea hii dhana potofu ya udini.Hakuna atakayekaa salama kama unyama huu utaendelea kufumbiwa macho.
 
Tuwaachie Zanzibar yao wajitawale wenyewe na dini yao. Hayo yanapeleka direct kuwa hawa wataki wakristo
 
kwa hiyo kwa imani ya kiislam huyo aliyemuua padri ameshapata thawabu?
 
mimi nadhani hatufikiri vyema kwani imani za kidini hasa uislam na ukristo zimetoka uarabuni na pengine ulaya lakini tulivyo majuha tunauana kisa imani hizo.pili uongozi ni mbovu sana kwani hauna mamlaka na kauli za kukomesha.tatu,dhamana yetu katika taifa hili sio dini kwani dini niimani ambayo hauwezi kuishika bali tujitume na tutoe nguvuzetu kutafuta maendeleo na sio kuuana kinyama kama wanyama.
 
Ingawa wengi mnashawishiwa kumkumbuka JK kama "bwana maendeleo" lakini mimi nitamkumbuka vema kama "a president who was not a leader."
 
Kutokana na kifo cha padri kwa kupigwa risasi huko zanzibar,hii ni baada ya Padri Ambrose kunusurika kifo.Maswali yangu,Je mapadri wote wakiisha nini kinafua?Je miaka mitano iliyopita hili tatizo lilikuwepo?Je ni nini mustakabadi wa wakatoliki na wakristu kwa ujumla?Je wakristu hawana haki ya kusali au kuendesha ibada huko Zanzibar?
 
Jamani hii ni sababu ya serikali kuuchekea udini(uislam)
 
Very sad moments....still, sipendi kusema Waislamu si ndugu za Wakristo katika hili! Hicho kikundi ndo maadui! Na hao wanaokaa kimya bila kutoa ulinzi katika ishara hizi zote watapata thawabu yao siku si nyingi! Tuombe amani idumu!

Y viongozi hawakemei hili?...ndo maana hatuwaamini kabisa!
 
Wala tusiseme watu wasiojulikana hawa nimchukulie waislam amabao wamechochewa na cd zinazosambazwa hadi sasa. Nasikitika fa.la JK hachukui hatua zozote, kama wameshindwa waturuhusu tujilinde inakuwaje vipeperushi vinatolewa afu serikali inakaa kimya. Siuoni uadilifu wa Dr shein tena, naye sasa naanza kumlinganisha na dhaifu.
 
Kwa maana hiyo wewe ni mzushi hata usanii wake huujui sasa unaongea kitu gani?

Chama
Gongo la mboto DSM

Mplekee JK huo upuuzi atakuelewa mimi sikuelewi wala sina jitihada za kukuelewa
 
Sasa ni hivi , kila mtu abaki kwao , this is too much , kama vipi tuishie hapa , baaasi .
 
Aliyemuuwa Padri wetu ana uhakika wa mabikira 72!!! Pathetic lllussion
 
"A martyr, a saint, is always made by the design of God, for His love of men, to warn them and to lead them,
to bring them back to His ways" -
St. Thomas Becket, speaking Christmas morning, four days before he was martyred; his feast day is December 29.


martyr1.jpg
 
Hizi dini nyingine zinatia kichefuchefu. Maruhani tu!!! Ati ndio wanaingia peponi kwa style hizo. Peponi my foot...
 
....haya yana pangwa na yanaratibiwa na watu wanaofahamika haiwezekani kabisa....ila hao RC wakianza kulipiza tutatafutana.
 
Hali hii ilitabiriwa zamani na wenye maono ya mbali! Marehemu babu yangu(RIP) aliwahi kuniambia kuwa nchi yetu imekuwa katika mikono isiyo salama! Tangu huyu baba ameichukua nchi mambo ya ajabu ya udini na utukuka yamekuwepo! Hili ni zao la imani na ujinga wa wachache! Mungu ilaze roho ya mtumishi wako mahali pema peponi

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom