Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
watanganyika musijaribu kupoteza malengo ya wazanzibar juu ya katiba mpya ya kudai nchi yao kwa kisingizio vya wakristu wanao pigwa risasi


kwa karibuni watu waliopigwa risasi ni wengi sana zanzibar bahamadi mfanya biashara maarufu alipigwa risasi, suleiman naye alipigwa risasi

kuna mgeni kutoka nchi za asia alipigwa risasi baada ya siku tatu tangu kutokea tukio la father ambrose kule mazizini

wakati wa ramadhani watu wawili walipigwa risasi na baadae kupigwa father ambrose


katiwa acid shekhe fathil sauraga na katekwa shekhe faridi

sasa haya matukio ni idadi kubwa ya waliofanyiwa ni waisilamu je tuseme wameyafanya wakristu

hapa ni kutafutwa nani anamiliki silaha na nani anafanya uhalifu huu ikiwa tukisema kwa kufurahisha nafsi zetu basi itakuwa tukitatuwa matatizo mazito ya jamii kwa wepesi kama serekali ya kimagamba
 
wakristo mtaangamia kwa kujidai hamjui kulipiza..

Nafikiri huu ni wakati wa wakristo kuamka na kuwa kitu kimoja bila kujali madhehebu, ni wakati wa kupambana na adui zetu.

Mimi huwa sielewi huwa tunasoma biblia gani hii tusiyoielewa inasema nini, mara utasikia vita yetu siyo ya damu na nyama ila ni ya kiroho ni vyema tuisome biblia kwa mapana yake, katika agano la kale watu wlienda vitani tena kwa kibali cha Mungu.

Kama ni kiroho mbona majumbani kwenu mnazo silaha?
 
Tuliambiwa hivi karibuni huko bungeni kuwa imebainika kuwa mashambulizi haya hayaendeshwi kwa imani za kidini. Nadhani ni wakati sasa wa umma kutambua mashambuli haya yanaratibiwa na kina nani na kwanini yameshindikana kukomeshwa kama kweli mmebaini wahusika. Bila majibu ya kueleweka kwakweli ni vigumu kuwaelewa. Na ieleweke kuwa hata uvumilivu huwa una mwisho wake ambao kwa kweli huwa si mzuri. Mmeonyesha kupambana zaidi kudhiti masuala ya kiasa ama kwa kuwa mnamasirahi nayo? Mmediriki kufungia hata baadhi ya media kisa zinaandika yanayo sadikika k uwahusu kama waendeshaji wakuu wayo kwa kigezo cha viashilia vya uvunjifu wa amani. Je haya yanaimarisha hiyo amani? Nadhani sasa yatosha ni vyema mkapima uchungu wa kuondokewa na ndg,jamaa,rafiki ama jirani na kuuchukulia kama wa kwako. Jana tulikuwa Geita leo mnaturejesha Zanziba tena kwa mwendelezo wa maumivu ya upande mmoja ambao ya awali hayajapoa. Inasikitisha na kufedhehesha mno.
 
Wht about vipeperushi?

.
Hii nchi kwa sasa ni kama hatuna jeshi la polisi. Fikiria kuna vipeperushi ya mapambano baada ya padre kupigwa risasi lakini ufuatiliaji ni sifuri na hata sasa baada ya padre mwingine kuuawa hutasikia kuhojiwa kwa yeyote katika hao waliokuwa wakitoa vipeperushi. Sii hilo tu kuna ile CD zinasambazwa za yele shehena aliyekuwa akiwahamasisha waisilamu kumuua pengo na papadre/wachungaji. Hakuna hatua zozote zilizochukuliwa dhidi ya huyu shehe na matokeo yake watu wameitika na wameanza kutekeleza. Huyu IGP tulie nae sasa ni maangamizi yetu wenyewe.
Mungu tunusuru na hii mumian.
.
 
Walioua wamekwisha kuandikiwa thawabu yao kwa Allah, sisi tubaki tunalaumiana wenyewe kwa wenyewe tu. Tusubiri tuone, muda utaamua.........
Kwahiyo ulitaka upewe wewe kazihiyo? Tumuache Rais wetu aongoze nchiyeto kwa amani.
 
Hivi vipeperushi vya kuchochea fujo na mauwaji huwa vinagawiwa waziwazi katika baadhi ya misikiti ya Tanganyika na ya kule Zanzbar. Cha ajabu polisi watakuambia wauaji hawajafahamika na bado tunawatafuta;kha! Ueledi gani wa kazi huu...!?
 
Kama umepanga nyumba ya muislam hama haraka kapange kwa mkristo mwenzako
 
Huo ni mwanzo tu, mengine mazito huenda yakafuata.
Juzi huko Geita mchungaji kachinjwa, leo tena Padri kauwawa kwa kupigwa risasi, kesho.....?

Kweli Kikwete ni chaguo la Mungu!!?
 
Yawezekana serekali ya ccm ndio inakamilisha sera zake za kutete muungano wake ni kuleta fitna na chuki sasa mbona hujasikia mtu akikamata kuhusu vipeperushi tafakari ccm zanzibar na kushirikiana na ccm tanganyika agendar zao ni nzito sana
 
Myaonapo haya, changamkeni na muutafute kwa bidii utakatifu maana Mwana wa Adamu yuaja upesi. Katika zama zile wanafunzi walipokaa Yerusalemi bila kupeleka injili mpaka miisho ya dunia, Mungu aliruhusu kanisa liteseke ili wakimbie kwenda mahali mbali mbali tukaupata Ukristo tulio nao kwa sasa. Tukaribiapo mwisho wa historia ya dunia Wakristo wa leo wanahitaji kuhubiri kwa nguvu zaidi maana teknologia inaruhusu. Watu wana kiu na neno la Mungu ili watoke Babeli na wakristo wamekaa, wakila na kunywa kwa furaha, Mungu hawezi kuruhusu, na ataruhusu mengi zaidi ya haya yatokee ili imani ifuliwe. Alifanya kwa mitume hawezi kuacha kwa kanisa la mwisho maana limeasi amri ya kupeleka injili kwa watu.
Binafsi naona kuna kasoro kwenye matamshi hayo kwa vile sioni kama kushambuliwa kanisa kule zanzibar ni kwa kuwa limesimama sana na kuwa tishio bali ninachokiona hapa ni njaa tu za watu wachache ambao wameshindwa kuongoza na kujikita kwenye kuibia nchi ambao wanataka tu kuondoa attention ya umma kwenye matatizo ya msingi ili waelekeze akili yao katika mifarakano ya wao kwa wao wakati wakiendelea kutafunwa. Hizo ni mbinu tu za ujasusi wa kisiasa; mara gesi ya mtwara, mara kuchinja, nk. yooote haya ni mambinu watu waendelee kubunya nchi wakati mnapigiana kelele na kupigana mapanga.
 
Waislam wanataka nini jamani kutoka kwa wakristu, tuliwaibia nini, tulikula nini chao, tuliwanyang'anya nini na hata watoe uhai wetu. Nadhani Kikwete amewalea na wameleleka, sasa muda wa kutegemea serikali kulinda uhai wetu umefika ukomo tutajitetea wenyewe. Wao waendelee kulinda Chadema wasiandamane.

wewe kumbe ni shahidi mzuri wa kuisaidia polisi maana yaelekea unawajua hao wauwaji
 
How long shall they kill our prophets while we stand aside and look? Walianza kuvunja mabucha ya nguruwe, mkawaangalia tu, wakachoma makanisa, wakatoa mahubiri ya mauaji dhidi ya viongozi wetu wa dini, mkaendelea kudhani ni ndugu zetu. Wakapiga risasi padri, mkaendelea kucheka cheka. Wameitaifisha serikali yote kiasi kwamba ibada zao ni sera ya nchi. Na kuonesha walivyo juu ya sheria, wakamcharanga mapanga mpaka kumwua yule mchungaji kule Geita, ambaye kwa haki yake ya so called katiba, alichinja (Hata akina Abrahamu walichinja) akaalika waumini wake waje kuchukua kitoweo. Hawa mumiani kwa kujiona wao ndio wenye haki zaidi wakaamua kumchinja. Yaliyoendelea wote mmesikia. Na mpumbavu mwingine kaenda kule kuhalalisha ushetani badala ya kukomesha uhalifu. Hatutakubali any more kuwa second class citizens. Leo wamemuua padri tena, who shall be next tommorow? Na kuanzia leo ni bora nisile hiyo nyama kuliko kulishwa nyama zilizosaliwa kishetani, maana ni shetani peke yake ndio anayewaamuru wafuasi wake kuua. Sitakula nyama, wala kushiriki mlo wa nyama iliyochinjwa kiislam. Kama ni waislam pekee ndio wana uhalali wa kuchinja, tunawakaribisha watuchinjie kitimoto, tuwape bakshish ya uchinjaji.
 
Kaka Kichuli huo ni ulimbukeni, hao waliohusika kumuua huyo padre ni wahalifu kama walivyo wahalifu wengine! Mawazo yako ni ya kitoto kweli. Sisi sote ni ndugu kwa nini tufikie hatua hiyo? Tupinge vikali hali hii isiendelee kamwe. Na Uislam sio UGAIDI Kama unavyotafsiri bali ni dini kama dini zingine.
 
Tatizo wewe ndio unayeandika propaganda Zanzibar kanisa halikuanza jana; soma historia ya kanisa; upo uwezekano labda alikuwa haelewani na mmoja wa kondoo aliokuwa akiwachunga; hivi wewe hujasikia padri ametembea mke wa muumini kanisani? au padri kapora mke wa mtu? si mnao mfano hai! Upo uwezekano mkubwa tu kauliwa na muumini mwenzake; mtu hatoki tu nyumbani kwake na kusema leo nikaue padri labda kama ni mgonjwa wa akili

Chama
Gongo la mboto DSM
Uzuri mmoja mawazo na maoni yako yanashabihiana na taarifa zitakazotolewa na Mwema na wakuu wa nchi. mmejipanga sawasawa. Huu ni utekelezaji wa Siasa za Chama chako na mpango kamambe wa udini mliouasisi 2010.Sikushangaa kukuta comment kama hii tena toka kwako.
 
Mungu tunaomba amani yako. (Maombolezo 5). Kanisa ni wakati wa kujichunguza na kujitakasa tena kwani yawezekana Mungu ameyaruhusu haya yatokee kwa sababu tumeliacha agano lake badala yake tumejifanyia mambo yetu wenyewe na ndiyo maana uwepo wa Mungu unatuondokea. uislamu wala waislamu sio tatizo, tatizo ni sisi wenyewe. TUJITAFAKARI
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom