I am confused kwakweli. Sijui niwachukie ama niwavumilie...
1. Wavumilie huku ukijihami
usiingie mtegoni. Vita ya kidin ni zaidi ya sunami wapo pembeni alshababu, alkaeda nk wanangojea tu mjitie kitanzi kwa kulipiza-Mogadishu na maiduguri imhamie tanzania.
2. Tunaweza kuwashinikiza waheshimiwa wabunge wakalijadili hili kwa undani ikibidi waziri mkuu na wa mambo ya ndani wajiuzuru kwa kushindwa kuisimamia amani ambayo ni haki ya kila mtanzania.
3. Tunapaswa kuingia ndani zaidi kuutafuta undani wa magaidi kama
Mohamedi Said, Hassani Ilunga, Baselahe na wengineo. Kwasababu hawa jamaa wanatumia umaskini wa watanzania na kukosasa elimu bora kwa vijana wengi kupandikiza chuki. Nakuambia hawa vurugu zikianza watakimbia kama osama na kuhama hama wakituacha tukichinjana kwasababu hatuna pakwenda. Sisi walalahoi kwetu ni Tanzania - Kigamboni, mwanakwerekwe, wawi, kojani, magomeni igalula, goweko kasulu, chunya nk.
Ni matunda ya utawala mbovu wa
kikwete na sera za ccm katika mkakati wakutuyumbisha watanzania kupitia udini.