taffu69
JF-Expert Member
- Feb 26, 2007
- 2,094
- 540
Kwa nini haya mambo yanatokea kipindi hiki, amani inayohubiriwa na watawala na kuwa Tanzania ni kisiwa cha amani iko wapi! kama viongozi wa dini wanauawa kiholela hivyo na Serikali inakaa kimya, itakuwaje kwa waumini wa kawaida, je! mauaji na mashambulizi yanayotokea kila uchao ni matokeo ya chuki ya kidini kweli ama kuna ajenda imefichwa kwenye matukio hayo?