Ni habari iliyotangazwa na Radio Wapo FRequiredm this morning,nimesikia kuna mtangazaji muwakilishi kutoka ZNZ alikuwa akiripoti moja kwa moja kutoa huko,amepigwa risasi wakati akishuka kwenye gari kanisani ili aingie kuanza misa ya asubuhi.kuna gari inayosadikika kubeba wauaji hao mara baada ya kumpiga risasi alipoanguka gari hiyo iliondoka haraka eneo la tukio.
Haya ni matokeo ya utawala wa JK na CCM yao,wanachoendelea kututengenezea ni hatari sana,tukio baya sana hili ambalo implication yake iko based kwenye dini.utawasikia wanavyotoa pole za kinafiki,utwasikia wanavyotoa matamko ya kinafiki,utawasikia wanavyotoa kauli za kukemea kinafiki,mtawasikia pia watakavyotoa ahadi za kuwatafuta na kuwakamata wauaji wa Padri mushi lakini ni kinafiki,sana sana watamkamata mwendawazimu wajifanye wauaji wamewakata,kama ilivyokuwa sinema ya Dr Ulimboka.lakini ukweli ni kwamba machafuko yananukia ambayo mtengenezaji wa hali hii ni CCM na viongozi wao.Natamani sasa ZNZ itangazwe kuwa si sehemu salama kwa Wakristo.
Uliyoyaandika ni ya kweli tupu Mkuu! Ingekuwa tuna Viongozi wenye kuthubutu au wenye nia njema na Nchi hii,swala la Viongozi wa Madhehebu ya Dini ya Kikristo kuendelea Kuuwawa, lingesha komeshwa!
Tatizo la Viongozi wa Serikali, ni kufanya kila jambo Kisiasa zaidi! Tuliona kwa watu waliomteka na Kumtesa Dk Ulimboka,hadi leo hawajakamatwa, huku wakijulikana kwamba ni kina nani!
Wanaacha kudil na mambo makubwa kama haya ya mauaji ya Viongozi wa Dini, eti wanahangaika na Chadema, kwa nguvu nyiiingi!!
Wananchi wakitaka Kuandamana kwa Amani kupinga Mambo kama haya, Utawasikia wakisema, Intelejensia, ya polisi imegunduwa kuwa kutakua na uvunjifu wa Amani!
Na sasa kwanini Intelejensia iwe kwa kuwathibiti tu wanaowapinga CCM,lakini isiwe kwa wanaowauwa Viongozi wa Dini??
Serikali itambuwe kwamba Wakristo wana haki kuishi na kufanya Ibada mahala popote nchi hii,kwa mujibu wa katiba,ilimradi hawavunji Sheria za nchi! kama ilivyo pia kwa Waislamu!
Cha kusikitisha Waislamu [Baadhi] wamekuwa wakijichukulia sheria Mikononi, bila kuogopa eti kwa vile tu Viongozi wa ngazi za juu wa Serikali ni Waislamu wenzao!
Haya mambo yataendelea tena kwa sana tu kwa vile, Kiongozi Mkuu wa Nchi hana Uthubutu wa kuwakemea na hata kuwawajibisha wanao fanya haya Mauaji kwa kuwa ni Waislamu wenzake!
Kumbuka wakati walipo gomea sensa, Rais alipokuwa anatoa Hotuba ya mwisho wa mwezi,aligusia Mgomo huo na alikuwa akitumia Maneno ya WAISLAMU WENZANGU, nawaomba!! Hivi angetumia maneno ya Ndugu Wananchi, hususan Waislamu, nawaomba! Hapo kungekuwa na Tatizo gani? Anaposema Waislamu "Wenzangu"wakati yeye ni Kiongozi wa watu wa dini zote, huoni ni kuwapa Waislamu Kiburi!!
Wakristo watachoka na mwishoni wataamuwa kujibu Mapigo. Kuendelea kuwa kimya kwa Wakristo isitafsiriwe kuwa ni waoga!
MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!