Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
RIP Padre; damu yako haijamwagika bure. Someone somehow will pay for it for sure. Mimi sihukumu, si kazi yangu kuhukumu, the Living God of Israel knows what to do and when to do it!
 
It seems to be a 'professional hit'.. With the government uneasiness to act, make us believe only one thing..
RIP Padre.
 
kwa kweli si vizuri watu kuuana kama kuku, ni vizuri serikali ikachunguza na kutoa majibu lakn jamani suala hili lisikuzwe saana kana kwamba huyo padri kauawa na waislamu au labda ni sbb ya chuki za kidini, inawezekana hata wauwaji wakawa ni majambazi au wana visa na huyo padri, huezi jua

uislamu haufundishi watu kuua wengine sbb tu wao sio waislamu, isipokuwa unaundisha kuwafanyia wema wasio waislamu ili waone uzuri wa mafundisho ya dini hii..binafsi siamini kabisa kama huyo padri kauliwa kwa sabb za kidini
 
Mungu ailaze pema roho yake. inasikitisha sana sijui Askofu Augustino Shao anayo hali gani jamani> mbona Serikali haiingilii kati ili swala? watawauwa mapadri hadi lini.
 
Mungu ailaze pema roho yake. inasikitisha sana sijui Askofu Augustino Shao anayo hali gani jamani> mbona Serikali haiingilii kati ili swala? watawauwa mapadri hadi lini.:A S angry::crying::crying:
 
Askofu Augustin Shaw pamoja na kanisa la Katoliki kwa ujumla poleni sana. tumtumaini mungu maana Mungu ndiye majibu ya maswali yote.

Nafikiri wakristo wa Bara wanatakiwa kugoma ili serikali ichukulie uzito hili swala ikibidi kiongozi wa polisi awe mkristo uko Zanzibar
 
Nyamaza we kima; hujui madhila tunayopata kwenye kisiwa hiki..uhuru wa kuabudu ni next to null and it has become worse recently-----haya mambo yanajulikana

Acha unafiki wako Punda kiongwe! Zanzibar unaisoma Tanzania Daima

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Tatizo umeshalitaja mbele ya swali lako au unataka upewe tatizo gani tena?
Tatizo ni kuwa waislamu hawatupendi na wana vita na chuki kubwa sana juu ya ukristo at the same time wakristo wanaendelea kulala usingizi fofofo wakizani hawa jamaa ni ndugu zetu.

wote nyie hamjui tatizo lipo wazi nyie mnao ishi bara akili zenu ni udini tuuu
tatizo ni kwamba wazanzibari wapewe nchi yao mambo yote yatakwisha kila siku wanapiga kelele lakini watu hawasikii so wanatumia vurugu ili bara basi mkubali kuwaachia nchi yao kama wenyewe wanavyosema tuachiwe tupumue
kwa hapa bara nani umchonganishe vita vya udini mama mkristo baba muislam. binafsi napinga hili lakuwauwa wasio na hatia. ilanaomba basi na nyie mwache uchonganishi wakusema kuwa waislamu hawatupendi waislamu wabaya mtasababisha mambo yakupigana risasi na kujitoa muhanga ya hamie bara
 
ayo ni mawazo yako na yanatakiwa ya heshimiwe. Ila na mimi muyaheshimu mawazo yangu kua kilicho muua paroko ni wivu wa mapenzi. Kazoea kugonga wake za watu, sasa kakutana na wanao miliki cha moto ( bunduki )
palipo na kanisa kuna shule na hospitali ili mtu afundishwe neno la mungu akiwa na akili timamu na afya njema palipo na msikiti kuna madrasa na vikopo vya kuchambia unategemea nini kama si majibu kama hayo unayotoa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom