mwamajinja mapunga
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 1,074
- 609
Dikiteta tumepata aiseee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ana nia mbaya na kuwachonganisha Wazanzibar tu, kauli zake zote ni za ovyo kwa wazanzibar sio za kuunganisha ni za kuwagawa ili aendelee kuwatawala.
Nimesikiliza hotuba ya Rais ya JPM akimshangaa Rais wa Zanzibar kuwa anasaini makaratasi ya mtu aliyekataa kumpa mkono siku ya mazishi ya Jumbe, na kusema kwake isingekuwa rahisi hivyo.
Nimejiuliza maswali mengi sana lakini mojawapo likawa ni Je stahiki za Maalim Seif ni za hisani ya rais aliyeko madarakani au ni matakwa ya kisheria/kikatiba?
Na je kama ni matakwa ya kikatiba; JPM anamanisha kwamba Shein avunje katiba kwa kutosaini stahiki hizo? Ama kweli safari ndo imeanza.
UKIJUA MORAL LAW UTAJUA MAGUFULI ALIMAANISHA NINI.Sikutegemea maneno kama yale toka kwa kiongozi wa nchi anayeamini utawala wa sheria! Hizi ni dalili za visasi, na zisipewe nafasi katika utendaji wa kazi za serekali.
Kupeana mikono kunahusiana nini na kazi za serekali, …kama si maswala binafsi?
Basi awaagize polisi wamkamate, afunguliwe mashtaka, kama kutompa mkono ni crime!?UKIJUA MORAL LAW UTAJUA MAGUFULI ALIMAANISHA NINI.
Naona unataka kubadilisha maandiko yangu kwa kujiridhisha tu. Hayo ni maandiko yako "Tanganyika wanayahitaji"........wewe alikwambia nani kuwa Tanganyika wanayahitaji !? Kishada04