Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Huyu ana nia mbaya na kuwachonganisha Wazanzibar tu, kauli zake zote ni za ovyo kwa wazanzibar sio za kuunganisha ni za kuwagawa ili aendelee kuwatawala.

Sikutegemea maneno kama yale toka kwa kiongozi wa nchi anayeamini utawala wa sheria! Hizi ni dalili za visasi, na zisipewe nafasi katika utendaji wa kazi za serekali.

Kupeana mikono kunahusiana nini na kazi za serekali, …kama si maswala binafsi?
 

Siku ukijua moral law ndiyo utajua Magufuli alimaanisha nini au nikuongezee mwajiri wako ukimtukana wakati huo huo anatakiwa asaini hundi yako akikataa utamshitaki kakataa kwa sababu gani???
 
UKIJUA MORAL LAW UTAJUA MAGUFULI ALIMAANISHA NINI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…