jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Tamaa za madaraka..hivyo visiwa ata akiwepo mwinyi bila hata baraza maisha yanaenda tu.Yaani Zanzibar ni nchi ndogo huenda kieneo ni ndogo kuliko wilaya ya Ngorongoro lakini ina utitiri wa wizara, mawaziri na manaibu waziri.
Sijui wazanzibar tunakwama wapi?
Tulia wewe mchamba wima...ndio kwanza kumekuchaNaona pana kafir kalamba teuzi anaitwa Anna Paulo Atanasi
Hujamwona naibu waziri anaitwa Anna Athanas Paul?Sawa
Hivi Zanzibar hamnaga Wakristo ee?
Hata mm nimeshangaa! What is dini? Kuna mambo siyo ya lazima, siyo kila kitu kuna usawa! Tena nisisikie hoja kama hii tena inakera sana. Nadhani nimeeleweka!Hivi hoja kubwa mliyoiona hapo ni dini/ukristo? Nilijua mtauliza kuhusu uwezo na uadilifu wa walioteuliwa, badala yake mmekimbilia kwenye dini/ukristo..
Hii nchi imejaa wapumbavu.
Hacha kuita watu makafili shubamit ya rojo weweNaona pana kafir kalamba teuzi anaitwa Anna Paulo Atanasi
Yupo naibu waziri no 5Tulia wewe mchamba wima...ndio kwanza kumekucha
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa vile una familia ndogo chakula chako unapunguza baadhi ya mboga? Kwa mfano, hutoweka nyanya, vitunguu na chumvi kwenye mchuzi wako kwa vile una familia ndogo,Yaani Zanzibar ni nchi ndogo huenda kieneo ni ndogo kuliko wilaya ya Ngorongoro lakini ina utitiri wa wizara, mawaziri na manaibu waziri.
Sijui wazanzibar tunakwama wapi?
Wewe utawezaje kumsamehe mtu unayemdai halafu anakwenda vyombo vya habari anakwambia fanya unavotaka hata kunipeleka polisi wewe nenda tu.Kama Zanzibar wanaweza kugharamia maisha ya utitiri wa viongozi ni sawa. Wasichote kutoka Bara, maana deni la umeme walishindwa kulipa hadi JPM akawasamehe.
ππππ€£π€£π€π€π€π€Naona pana kafir kalamba teuzi anaitwa Anna Paulo Atanasi
Naibu waziri wa afya Athanas Paul atakua muislam wa irak eeeenhhivi Zenji HAKUNAGA MKRISTU hata mmoja kwenye serikal ya mapinduzi?