Jamal Akbar
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 413
- 471
Hahahaahha, labda walipata chakula baadaMbona sijaona tende kwa meza kuchagiza kikao. Korosho tuu hazitoshi
Kwa imani Mungu anatuna soteRais Samia Mungu anamuona!
Enzi za yule bwana mwenye roho mbaya hatukuyaona haya,Asali inaendelea kurambwa
Kwani corona bado ipo? Naona wako Full MaskRais Samia ambaye yuko ziarani katika visiwa vya Pemba huko Zanzibar leo amekutana na viongozi wa vyama mbalimbali vya upinzani kwa majadiliano.
Rais Samia amekutana na kuzungumza na viongozi wa Chama cha CUF, ACT-Wazalendo na ADC Kisiwani Pemba.
Wakati fulani hapa Tanzania ilishakuwa ndoto kwa Rais kukutana na viongozi wa upinzani kujadiliana na kuzungumza.
Angalau Rais Samia ameturudisha kwenye utamaduni wetu wa kupendana na kuheshimiana japo tunakinzana kwenye mitizamo na mirengo ya kisiasa
View attachment 2291883
Mzee umemiss kauli tata za "kipigo cha mbwa koko" au " kupigwa mpaka wachakae" mie naipenda Zaburi hebu jaribu kusoma Zaburi 133 regardless ya imani yako.Asali inaendelea kurambwa