TANZIA Zanzibar: Salim Turky, Mwanasiasa Mkongwe na Mgombea Jimbo la Mpendae Zanzibar, afariki dunia

TANZIA Zanzibar: Salim Turky, Mwanasiasa Mkongwe na Mgombea Jimbo la Mpendae Zanzibar, afariki dunia

Ndege haikutolewa na CCM imetolewa na Turky kama Turky

..hivi kwanini SERIKALI haikutoa ndege yake kumsafirisha Tundu Lissu kwenda Nairobi?

..nakumbuka Dr.Omar Ali Juma alipozidiwa alisafirishwa na ndege ya serikali kwenda Afrika Kusini.

..Turky anastahili shukurani kubwa sana. Lakini hakutakiwa abebe mzigo ambao ulipaswa kubebwa na serikali.

 
Chadema wana utu? Tuambie ni jambo gani jema Chadema wameshawahi kulifanya katika nchi hii. Siyo wakati majanga wala chochote kile, salamu za pole tu mwiko kwao. Misiba hawahudhurii, hata misaada tu ya kibinadamu hawana.
Ndio maana nimesema kuna chanzo ambacho kimefikisha taifa hapa, na ni siasa za awamu hii!!! Huko nyuma mbona haikuwa hivi, yaani toka kipindi kile lisu yupo hospital, hata kwenda tu kumuona kwa mwana ccm anaogopa!!!
 
Rip Mzee Turku, huyu mzee alisaidia kulipia ndege ya kumsafirisha lissu kwenda Nairobi, mashetani yalipo mshambulia kwa risasi 38
Aliwadhamini CHADEMA na haukuilipia hata senti moja. Yeye alikuwa ni mdhamini wa CHADEMA kwenye malipo
 
Back
Top Bottom