Chadema wana utu? Tuambie ni jambo gani jema Chadema wameshawahi kulifanya katika nchi hii. Siyo wakati majanga wala chochote kile, salamu za pole tu mwiko kwao. Misiba hawahudhurii, hata misaada tu ya kibinadamu hawana.
Ndio maana nimesema kuna chanzo ambacho kimefikisha taifa hapa, na ni siasa za awamu hii!!! Huko nyuma mbona haikuwa hivi, yaani toka kipindi kile lisu yupo hospital, hata kwenda tu kumuona kwa mwana ccm anaogopa!!!