Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyerere angetuunganisha na Rwanda tuchakate papuchi za warembo wa kiwangoAnd on top of that wanatuita sisi Wabara machogo...kudadadeki..hapa tuliingizwa cha kike..Mwalimu alikuwa tu na tamaa ya kutawala eneo kubwa.
Watanganyika hapa tumepotea.
Mbona bidhaa ikitoka bara kuja Zanzibar hailipiwi kodi.Kulipa kodi ni haki lakini kutaifishiwa mali bila sababu za msingi ni unyanyasaji
Wewe ni chogo? Uko wapi kisiwa ndui au mchamba wima? Kiembe Samaki?wanatuita sisi Wabara machogo...
Unazungumzia Simba wa Yuda wa Uchaguzi wa 2020?Enzi za Simba wa yuda ujinga kama huu haukuwepo!!!
Je anahitajika simba wa yuda Mwingine!!?
Mungu ibariki Tanzania nchi yetu tuipendayo Sana!
Acheni kusema uongo. Kodi ni kwa bidhaa zote to and fro ZanzibarMbona bidhaa ikitoka bara kuja Zanzibar hailipiwi kodi.
Bora iwe hivyo.Zinaaandaliwa changamoto za Muungano za kimchongo ili kisaidia marekebisho ya katiba!
TUSUBIRI!
Hebu nioneshe rais wa baraMbona ardhi mnamiliki bara wapemba kwenu hamruhusu, hiyo ni fair!?
Mzenji anakuwa mpaka raisi wa bara, mbara haruhusiwi hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi hiyo ni fair!?
Wakina shaka na hangaya wanakula mema ya bara, mbara ananyang'anywa ndizi zake hiyo ni fair!?
Anyway ikifika uchaguzi huwa mnalipa gharama
Bwashe hili jambo ni la kukenua meno kichelo kweli?Hahaha....... banana
Hivi soko la ndani ya Zanzibar na Bara ni ipi? Hapohapo Rai wao leo amewatangazia kuagizwa mchele kuanzia tani 30 kutoka ng'ambo badala ya tani 3 au 5 wanazoagizaga ili kupunguza mfumuko wa bei.Mwenyekiti Wa Kijani Taifa Kimya Sana
HangayaHebu nioneshe rais wa bara
Hapana.Hii si nchi moja ?!
Mbona mnakuwa wajinga. Bidhaa za kilimo ambazo si za nafaka, embe, ndizi na matunda mengine na mboga mboga ukileta znz au ukileta Tanzania bara zinahitaji kibali maalum. Kama huna hicho basi ni kosa kuingiza.Mbona ardhi mnamiliki bara wapemba kwenu hamruhusu, hiyo ni fair!?
Mzenji anakuwa mpaka raisi wa bara, mbara haruhusiwi hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi hiyo ni fair!?
Wakina shaka na hangaya wanakula mema ya bara, mbara ananyang'anywa ndizi zake hiyo ni fair!?
Anyway ikifika uchaguzi huwa mnalipa gharama
Tumekusikia?Mbona mnakuwa wajinga. Bidhaa za kilimo ambazo si za nafaka, embe, ndizi na matunda mengine na mboga mboga ukileta znz au ukileta Tanzania bara zinahitaji kibali maalum. Kama huna hicho basi ni kosa kuingiza.
Hivi hamjiulizi kwanini maji ya kunywa ya znz huyakuti Tanzania Bara au sukari ya Znz si ruhusa kuingiza Tanzania bara. Wacheni mihemko ya kipuuzi na ujuaji ambao unatokana na ujinga wenu. Na kuchochea zana potofu kwa sababu mama yupo raisi na mzanzibar. Tangu mwenda zake yupo madarakani huwezi kuiona ndizi kutoka Tanzania bara ikiuzwa Zanzibar.
Tafuteni jengine
Umeme hatujasamehewa. Ile ilikiwa ni haki yetu. Mnauuza umeme kwa nchi jirani bila ya kutoka VAT. Lakini miaka yote mlikuwa mnaiuzia umeme Znz huku bei yakena include VAY ndiyo. Maana Znz wakagoma kulipa VAT. Kwa hivyo kilichosamehewa ni deni la VAT ambalo halikutakiwa kulipwa at first place. Kamtafute Ndungai YouTube utapata kujua na kutoa ujinga? Mnakumbuka si mlichoma vifaranga nyinyi. Kumbuka kilimo si mambo ya muungano shuba miti were!!Tumekusikia?
Kwa hiyo sheria ni kutaifisha mtu akivuka na ndizi na faini juu!?
Wazanzibari mnabebwa kila kona umeme mlisamehewa, ardhi mnatumia yetu
mikopo ya bara inaenda kujenga Zenj analipa mbara, nyie mnakula urojo tu.
Huku hakukataa kulipia kodi. Soma tenaunfair kivipi mbona bidhaa ikitoka Zanzibar kuja bara inalipiwa kodi.
Wadogo zangu mnapotukanana mnawakosea heshima babu zetu waliofanya muungano!!!!Au mmezaliwa miaka ya 90,s!!!!Sera za ASP na TANU ni umoja na mshikamanoUmeme hatujasamehewa. Ile ilikiwa ni haki yetu. Mnauuza umeme kwa nchi jirani bila ya kutoka VAT. Lakini miaka yote mlikuwa mnaiuzia umeme znz huku bei yakena include VAY ndiyo.maana znz wakagoma kulipa VAT. Kwa hivyo kilichosamehewa ni deni la VAT ambalo halikutakiwa kulipwa at first place.kamtafute ndungai YouTube utapatabkujua nankutoa ujinga? Mnakumbuka si mlichoma vifaranga nyinyi ngedere. Kumbuka kilimo si mambo ya muungano shuba miti were!!